Umeongea kweli tupu,na ni matumaini yetu uongozi wa juu wa chama utayapa uzito maoni yetu.sisi wanachama wa chadema tumechoshwa na chokochoko za huyo kinara wa usaliti na tunataka kuona akipewa mlango wa kutokea sasa.nawahakikishia wana cdm kuwa alishakuwa mwepesi huku field toka alipoanza kujitenga na chama na kuongoza kundi la wasaliti.huu ni wakati wa kuwafukuza wote wenye harufu ya usaliti na roho chafu za kuhujumu chama.nipo igoma mwanza.