Changamoto sio kubwa sana labda kuna baadhi yasehem masai wanadai nimaeneo yao mimi pia kuna wakati niliambiwa kuna mashamba eka laki tano sijaenda japo niko maeneo hayo kuna jamaa yangu maeneo huko kikubwa nenda siku ukaongee na wenyeji usiamini sana viongozi waserikali zamitaa wengi nimatapeli