Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 785
- 2,333
Kama Jk anavaa tai ya mamlaka mbele ya mwenye mamlaka tujue ndo mkubwa kuliko tunayedhani ana mamlaka
Kimsingi Shamba la Bibi (Tanganyika) ndo imevamiwa na wahalifu, mafisadi, wezi, wanyang'anyi, watekaji, wauaji... dhidi ya Watanganyika.Usalama wa taifa umevamiwa?
Kuna kiongozi na wana siasa kiongozi yupo kwa kuongoza nchi na wananchi wake kwa kutumia katiba na sheria. Pia huongoza wananchi wake sawa haweki mwanachama wa chama chake bora kuliko mwanachama wa chama chengine.Kiongozi anayepewa pesa na mtu akatafute cheo akikipata atamtumikia mtu au watu?
Anayekuwa upande wa kulia ndiye mkuu,
kwaiyo anatengeneza yake lakini sio ya taifaHaya ya rushwa haya jaanza leo.
Tangu wakati wa Mzee Ruksa , na yakapanda chati wakati wa kapa na kikwete.
Magufuli alijaribu kuyapunguza lakini hakuweza.
Samia hana ubavu kuya punguza sababu cabinet yake ni ya wale walo ingia serikalini kwa Rushwa.
Sasa tu ngoje uchaguzi huu utakavyokuwa na serikali atakavyo simamia.
Kwa sasa atakuwa mkali sana maana hii ni awamu yake ya mwisho na anataka kuandika historia
MOD NIPIGE BAN ~ nimeingia Kwenye Mambo ya Usalama wa TaifaExactly