Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima.
Lakini usalama ni zaidi ya hapo
Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa
Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya pesa au ngono au uwe mtoto wa kiongozi ndio upate ajira au cheo?
Usalama wa kiafya haupo Kama ndugu yako anakufa anadaiwa milioni moja wanashikiria maiti Muhimbili?
Usalama wa uraia wako haupo kwa sababu mtu anaweza kutoka Rwanda, Burundi, Congo au Oman na kuja akaanza kuwa Chawa wa kiongozi mwisho wa siku anakuwa waziri mkuu
Ukiwa mzalendo na mzawa unaweza kuundiwa zengwe la kuambiwa si uraia Kama ilivyokuwa kwa wapili na watu kibao.
Wako wapi wengine wakina Nasari, Wenje, Zitto, kafilulila, Mdee walioibuka from no where na kuwa wabunge now bila pesa hakuna ubunge? Ingawa walikuja kukengeuka lakini tumeshindwa ku groom wapya?
Kiufupi usalama wa tiafa umevamiwa na umekufa!.