Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,131
- 29,789
Usalama Wa Taifa TISS kwa miaka ya karibuni imeprove failure wa sehemu kubwa katika miaka ya karibuni.
Mwaka 1982, kulikuwa na njama za kuipindua serikali ya Mwalimu Nyerere.
Wahusika walikuwa kina Mohammed Musa Tamimu, Capt Eugene Maganga, na Uncle Tom na wengine.
Usalama wa Taifa miaka hiyo ilikuwa very very smart.
Waligundua njama hawakupanic, walifanya uchunguzi kimya kimya bila kubugudhi wananchi.
Na wananchi walikuwa nyuma ya serikali na kuiunga mkono.
Tunakumbuka sokomoko lilikuwa wakati wa ukamataji.
Na walikamatwa wote na kupelekwa mahakamani.
Sasa mambo yakoje.
TISS ya sasa imekaa kisiasa zaidi kuliko kitaalam.
Mpaka kuwaachia Polisi waanze kuilinda serikali mitaani, hii ni failure ya System.
Na hapo tujikumbushe kuwa siasa si uhaini, na siasa zimeelezwa vizuri katika katiba ya nchi yetu.
Imefika mpaka tunajiuliza wale wanausalama nguli waliostaafu, hawajaweza kuacha kizazi kinacho faa kwenye recruiting ya wanausalama ambao wangeweza kuwa wabobezi wa kizazi hiki?
Inawezekana kabisa kuwa udhaifu uliopo unatokana kuajiri ndugu jamaa na marafiki wa karibu na viongozi, badala ya umakini mkali toka kuchukua vijana wenye akili mashuleni.
Hapo hapo tukumbuke kuwa TISS ya sasa imekuwa na wakuu karibia wanne katika kipindi kifupi.