Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Sahihi, ila elimu ya sayansi kimu iliyokuwa inafundisha watoto wa shule mambo ya msingi kama haya ya usafi ya namna sahihi ya kunawa/kusafisha mikono vizuri iliondolewa shuleni muda mrefu sana kwa hiyo watu wengi ni vilaza kabisa katika kusafisha mikono, wanafikiri ukinawa kwa kupaka maji tu mikono tayari umeisafisha.
Naunga mkono hoja
 
We Koma tena ukomae, hayo mavi unakula wewe siyo wa Tanzania, jiheshimu mwana haramu usokuwa na staha.
Kuna wale wanaenda na kopo la chooni lenye uwezo wa kubeba kama lita 1 hivi ya maji

Hiyo lita moja atachambia halafu yanayobaki kidogo ndio ananawa mikono

Hawa sijui niwaweke kwenye kundi gani la wachafu sugu
 
Hivi wakuu hili suala la kwenda haja kubwa, halafu wakati wa kuchamba mtu anashika shika mavi ili kujiosha mnalionaje?

Ukweli ni kwamba wengi wamelishwa mavi. Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni.

Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa anaendelea kuaanda chakula au kupakulia chakula wateja wake. Hivi kweli kuna usafi unazingatiwa hapo?

Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?

Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi Watanzania waachane nao. Unatia kinyaa sana.
Ukimchunguza Sana bata Hauwezi kumla mfano mpishi ana pika jasho lake linaingia katika chakula je hautakula?
 
Kunawa kwa sabuni kabla ya kula na kuandaa chakula.
Lakini ni kuhusu kujisafisha tundu ya haja kubwa baada ya kumaliza habari zako.....

Mtoa mada anasema watu wengi hawasafishi ipasavyo mikono yao.....

Matumizi ya mikono sio kula tu unaweza ukashika vitu vinavyokwenda kutumiwa na wengine kabla ya kula.....
 
We Koma tena ukomae, hayo mavi unakula wewe siyo wa Tanzania, jiheshimu mwana haramu usokuwa na staha.
TUliza mihemko wewe mama na kisha uangalie kiini cha mada kinasema nini halafu ndio ujibu, sio unabubujikwa na maneno ya ovyo hasubui hasubui yote hii bila kutafakari, au jamaa ameishia kukupiga kimoja tu na hajakufikisha ndio maana hasira zote unazimalizia kwa mleta mada?
 
Lakini ni kuhusu kujisafisha tundu ya haja kubwa baada ya kumaliza habari zako.....

Mtoa mada anasema watu wengi hawasafishi ipasavyo mikono yao.....

Matumizi ya mikono sio kula tu unaweza ukashika vitu vinavyokwenda kutumiwa na wengine kabla ya kula.....
Mwisho wa story yote ya usafi wa mikono ni chakula na kula, kama sio wewe basi mtu mwingine. Hao watu watakaoshika vitu vilivyoshikwa na mikono yako nao story yao inaishia kwenye kula, wanapaswa wanawe mikono kwa sabuni hata kama hawajatoka chooni.
 
Back
Top Bottom