USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

Siku
Nashukuru umekubali kuwa huyo mwandishi ilikuwa na staged! - ndio uungwana huo

Mkuu Nyani Ngabu sikatai kuwa RT ni TV ambayo inafadhiliwa na Serikali ya Russia!

Lakini pia ukumbuke kuwa RT watangazaji wake wengi ni Foreigners (Wamarekani wapo kama 10!) - na wala si kuwa wanamshabikia Putin! - (mfano mzuri ni huyo ulioona kajiuzulu OnAir! kutoka RT) lakini ni dili lilipangwa na CIA ili kuichafua Russia!

Lakini njoo kwa US na wenyewe wana TV na Radio za Propaganda na wanapewa Funding mara 3 zaidi ya RT! - na zinaendeshwa na US gevernment kupitia CIA!.

Voice of America (VOA) is the official external broadcast institution ya United States federal government. The VOA inatoa programming for broadcast on radio, TV, na kupitia Internet nje ya U.S., in English and some foreign languages.

The Voice of America inatangaza katika 41 foreign languages (sina sababu ya kuzitaja hizo lugha zote) lakini ni Chombo cha Serikali ya Marekani kwa ajili ya kueneza Propaganda za US

Alafu pia kuna Redio 2 nyingine (CIA)! – namaanisha:

  • Radio Free Europe (RFE) na
  • Radio Liberty (RL)

Radio Free Europe (RFE) na Radio Liberty (RL), zilianzishwa na George F. Kennan (United States Department of State) na Frank G. Wisner (Office of Policy Coordination, baadae CIA - United States Central Intelligence Agency kama sauti ya US kueneza propaganda wakati wa Cold War na kuelezea na kuitetea American foreign policy.

Hizi redio mpaka leo zipo! na zinafanya kazi ile ile! (propaganda!)

Unaweza kuisikiliza hii redio hapa: (link)

. http://www.rferl.org/.

Hizi redio zote RFE na RL zinapata funding kutoka U.S. Congress kupitia Central Intelligence Agency (CIA) lakini pia RFE walikuwa wanapata supplemental private donations.

Miaka ya siku hizi mpaka leo zinaongozwa na kupewa pesa na Serikali ya Marekani kupitia Congress chini ya Broadcasting Board of Governors (BBG).

Bajeti yao ni mara 3 ya RT!.

Lengo lao kubwa ni kueneza Propandanda za Serikali ya Marekani kwa kutumia CIA.

Sasa Mkuu Ngabu ... hebu niambie Redio zinaendeshwa na CIA na hata hapo juu Kerry alikuwa anaziombea Funding zaidi kwenye Congress.

Je CIA inafanya kazi ya kueneza dini?! ... ni kueneza Propaganda za US tu!.

Sawa RT inafadhiliwa na Russia Government vivyo hivyo VOA, Radio Liberty & Radio Free Europe nazo zinafadhiliwa na US gov na mbaya zaidi zenyewe zinaendeshwa na CIA!.

Ha! ha! ha! ... Pot calling the Kettle black!!.

648.jpeg
cc:

.Bukyanagandi.Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER Mag3 RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 Nyani Ngabu PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. President ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau retroviridae kadoda11 idawa TUJITEGEMEE . lee van cliff.

I can tell hapa hujajibu kitu mkuu. Nakushauri..
Ningependa sana, kuwa kusema kitu kimoja, RT inakila sifa ya kutoa taarifa za kweli. Lakini kwasababu za kutaka kutenda haki, haiwezi kutusaidia kwa majibu yenye kugusa maslahi ya taifa (Moscow).

. Sikuzote jambo la kisomi halina reference moja peke yake.
Pia na general knowledge haiitaji references.
May take Tafuta supporting document yoyote kutoka kwenye free medias Ili tuunganishe vidoti. Ili tujue pengine dunia ilikuwa duped kuamini kuwa Crimea was part of ukrane soil. Kama usemavyo.
But as far as i know..We can not trust RT.
 
Mkuu kwa hiyo RT huitaki?! ... vipi VOA? ... BBC je?

Basi nakupa Riport ya VOA - Yes Voice of America - tena wanamuhoji Rais wa Marekani Jimmy Carter anasema - Crimea ni Russia!

Haya basi nakupa maelezo ya Rais wa Marekani (Mstaafu Jimmy Carter) anasema waziwazi kuwa Crimea ni sehemu ya Russia ila Ukraine alipewa zawadi!

Vipi Mkuu 2013 ... unataka ushahidi zaidi?

​

Jimmy Carter: Reunification With Russia Was "Something Crimean People Wanted"

Carter has also said he believes that Russia genuinely wants the Minsk peace deal for Ukraine to succeed and is adhering to it

Carter also recalled the history of the Crimean issue. In the 1950s then Soviet leader Nikita Khrushchev transferred control of Crimea to Ukraine as a gift. However, Khrushchev made this move as he could never have imagined that the USSR would ever disintegrate.

"It was something the Crimean people wanted, I believe," Jimmy Carter said in an exclusive interview with VOA radio's Russian Service.

Crimea rejoined Russia in March 2014 following a referendum in which 96 percent voted in favor of the move.

Earlier this week, the former US president participated in a series of meetings in Moscow as part a group of famous politicians and diplomats ‘The Elders', which had been founded by Nelson Maldela.

Former UN secretary-General Kofi Annan and former UN and Arab League Special Envoy to Syria Lakhdar Brahimi were among those well-known politicians who accompanied Jimmy Carter during his visit to Russia.

cc
. Ngongo Consigliere Bukyanagandi Elungata Gagnija 2013 MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. kui lee van cliff MBULAMATALI kadoda11 Kimweri Red Giant Aleyn Bulldog .TUJITEGEMEE . kui .
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru umekubali kuwa huyo mtangazaji wa TV aliejiuzulu ilikuwa ni staged! by CIA - ndio uungwana huo

Hapana. Sijakubali kwamba kujiuzulu kwa huyo mtangazaji kulikuwa staged na CIA. Hizo ni propaganda zako.

Hivyo huna cha kushukuru hapo. Nilicho na tatizo nacho ni huyo mtangazaji kufanya kazi kwenye propaganda mouthpiece ya huyo Putin wako halafu baadaye ndo anajidai kuwa eti kastuka.

Mkuu Nyani Ngabu sikatai kuwa RT ni TV ambayo inafadhiliwa na Serikali ya Russia!

Oh nashukurukwa kukiri kuwa hiyo RT ni propaganda mouthpiece ya Putin wako.

Lakini pia ukumbuke kuwa RT watangazaji wake wengi ni Foreigners (Wamarekani wapo kama 10!) - na wala si kuwa wanamshabikia Putin! - (mfano mzuri ni huyo ulioona kajiuzulu OnAir! kutoka RT) lakini ni dili lilipangwa na CIA ili kuichafua Russia!

Watangazaji hawana editorial control yoyote ile. Anaye call shots ni Putin wako.

Lakini njoo kwa US na wenyewe wana TV na Radio za Propaganda na wanapewa Funding mara 3 zaidi ya RT! - na zinaendeshwa na US gevernment kupitia CIA!.

Mimi hakuna nilipokataa kuwa US haipigi propaganda. Wewe na wapiga vigelegele wako ndo mnajifanya kama vile Russia wao ni watu wakweli sana na wasiopiga propaganda. Mnachekesha sana.

Voice of America (VOA)
is the official external broadcast institution ya United States federal government. The VOA inatoa programming for broadcast on radio, TV, na kupitia Internet nje ya U.S., in English and some foreign languages.

So what's your point exactly?

The Voice of America inatangaza katika 41 foreign languages (sina sababu ya kuzitaja hizo lugha zote) lakini ni Chombo cha Serikali ya Marekani kwa ajili ya kueneza Propaganda za US

Moot point.

Alafu pia kuna Redio 2 nyingine (CIA)! – namaanisha:

  • Radio Free Europe (RFE) na
  • Radio Liberty (RL)

Radio Free Europe (RFE) na Radio Liberty (RL), zilianzishwa na George F. Kennan (United States Department of State) na Frank G. Wisner (Office of Policy Coordination, baadae CIA - United States Central Intelligence Agency kama sauti ya US kueneza propaganda wakati wa Cold War na kuelezea na kuitetea American foreign policy.

Hizi redio mpaka leo zipo! na zinafanya kazi ile ile! (propaganda!)

Unaweza kuisikiliza hii redio hapa: (link)

. http://www.rferl.org/.

Talking plenty but saying nothing. I'm used to it by now.

Hizi redio zote RFE na RL zinapata funding kutoka U.S. Congress kupitia Central Intelligence Agency (CIA) lakini pia RFE walikuwa wanapata supplemental private donations.

Weka ushahidi kuwa CIA wanazifadhili hizo redio la sivyo ukishindwa utakuwa mzushi tu.

Miaka ya siku hizi mpaka leo zinaongozwa na kupewa pesa na Serikali ya Marekani kupitia Congress chini ya Broadcasting Board of Governors (BBG).

Bajeti yao ni mara 3 ya RT!.

Lete ushahidi na si kusema sema tu kuwa zinafadhiliwa na mara sijui Congress mara CIA...lete ushahidi.

Lengo lao kubwa ni kueneza Propandanda za Serikali ya Marekani kwa kutumia CIA.

Lete ushahidi kuwa lengo lao kubwa ni kueneza propaganda za serikali ya Marekani.

Sasa Mkuu Ngabu ... hebu niambie Redio zinaendeshwa na CIA na hata hapo juu Kerry alikuwa anaziombea Funding zaidi kwenye Congress.

Hujatoa ushahidi wowote kuwa hizo redio zinaendeshwa na CIA. Unadai tu kuwa zinaendeshwa na CIA.

Nachoona hapa ni wewe kuwa paranoid na CIA.

Je CIA inafanya kazi ya kueneza dini?!
... ni kueneza Propaganda za US tu!.

Na KGB kazi yake nini?

Sawa RT inafadhiliwa na Russia Government vivyo hivyo VOA, Radio Liberty & Radio Free Europe nazo zinafadhiliwa na US gov na mbaya zaidi zenyewe zinaendeshwa na CIA!.

Teh teh teh....kwa RT yenyewe haifadhiliwi na KGB, siyo?

Ha! ha! ha! ... Pot calling the Kettle black!!.

Precisely! Pwa! Ha! Ha!
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:

Mkuu kwa hiyo RT huitaki?! ... vipi VOA? ... BBC je?

Basi nakupa Riport ya VOA - Yes Voice of America - tena wanamuhoji Rais wa Marekani Jimmy Carter anasema - Crimea ni Russia!

Haya basi nakupa maelezo ya Rais wa Marekani (Mstaafu Jimmy Carter) anasema waziwazi kuwa Crimea ni sehemu ya Russia ila Ukraine alipewa zawadi!

Vipi Mkuu 2013 ... unataka ushahidi zaidi?

​

Jimmy Carter: Reunification With Russia Was "Something Crimean People Wanted"

Carter has also said he believes that Russia genuinely wants the Minsk peace deal for Ukraine to succeed and is adhering to it

Carter also recalled the history of the Crimean issue. In the 1950s then Soviet leader Nikita Khrushchev transferred control of Crimea to Ukraine as a gift. However, Khrushchev made this move as he could never have imagined that the USSR would ever disintegrate.

“It was something the Crimean people wanted, I believe,” Jimmy Carter said in an exclusive interview with VOA radio’s Russian Service.

Crimea rejoined Russia in March 2014 following a referendum in which 96 percent voted in favor of the move.

Earlier this week, the former US president participated in a series of meetings in Moscow as part a group of famous politicians and diplomats ‘The Elders’, which had been founded by Nelson Maldela.

Former UN secretary-General Kofi Annan and former UN and Arab League Special Envoy to Syria Lakhdar Brahimi were among those well-known politicians who accompanied Jimmy Carter during his visit to Russia.

cc
. Ngongo Consigliere Bukyanagandi Elungata Gagnija 2013 MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. kui lee van cliff MBULAMATALI kadoda11 Kimweri Red Giant Aleyn Bulldog .TUJITEGEMEE . kui .

Mkuu i respect personal opinions, carter na hao Wengine. But will still remains personal opinions . thats it.

Tukumbuke
hata mlima Kilimanjaro
Ulikuwa wa Kenya, ila tulipewa kama zawadi kwa watanzania.so do Crimea.
Sasa swali la kujiuliza. Kenya Wana haki ya kumchukua Leo hii?
Alaska ilikuwa sehemu ya Russia lakini Leo hii ni ya USA.
Mara ya kwanza wakati Russia inaichukua Crimea, ilitoa utetezi kuwa inalinda RAIA wake waliopo huko.
Sasa. Hayo ya kusema ni ardhi yake yanatokana na military muscle .

Like i said earlier, The whole world(UN) knows that land belongs to Ukraine.
Russia annexed it by force.
Ukraine's inability to fight Russia is what cost him to accept the loss.

Na utaona kuwa hao Russian separists ni sehemu ya mkakati wa
Moscow kupigana vita indirectly (Proxy war). Ili kiirudisha Ukraine kuwa inatii maagizo ya Moscow badala ya west.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye issue ya Liz Wahl kujiuzulu mimi wala si tatizo nayo.

Kwa sababu, kwanza alifanya kazi hapo RT muda wote huo na kuchukua paycheck huku akijua inatoka kwa nani. Hivyo naye anawajibika kwa hilo kwa kiasi fulani.

Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa RT ni propaganda mouthpiece ya Putin na serikali yake.

Na katika dunia hii hakuna mtu aliye juu ya propaganda. Hata Wamarekani wanapiga sana propaganda.

North Korea ndo hawana mpinzani ikija kwenye propaganda.

Hata habari sijui za Idd Amin kula watu zaweza kuwa zilikuwa propaganda za serikali ya Tanzania vilevile.

Ila nitakuona mpumbavu na juha kabisa endapo utakataa kuwa Urusi yenyewe haipigi propaganda kupitia hiyo RT.

Je, hivyo ndivyo uonavyo kwamba Russia ni wa kweli kwenye kila jambo na kwamba wao hawapigi propaganda kabisa?

Mkuu Nyani Ngabu nianze na Idd Amini - kwanza hakuwa nonda mla watu (hizo zilikuwa ni propaganda za kitoto), alikuwa anasingiziwa tu - (wakimbizi wa Obote na Mseveni) ndio walikuwa wanamchokoza mara kwa mara wakitokea Tanzania walipo mchosha akatugeuzia kibao.

Ni kweli propaganda zipo kila kona ya Dunia lakini kwa viwango tofauti, binafsi kwa uzoefu wangu RT kama ina propaganda basi ni kwa kiwango kidogo sana sana uwezi kulinganisha na MSM ya magharibi ambao ni mabingwa wa Disinformation ambayo ni mbaya zaidi kuliko misinformation na Propaganda - ni watu hatari sana hawa, we jaribu kusoma comments za baadhi ya raia wao ambao wamekwisha kuwa brainwashed na vyombo hivyo, wana amini kwamba Warusi ni Monsters wana mpango wa kuvamia Taifa lao - oh yes matra yao ni "watch out Russians are coming" they're so horribly brainwashed by American Media they honestly see enemies in their friends, and friends in their enemies!!!

Hawajiulizi hata siku moja kwamba mbona Land mass ya URUSI ni kama robo ya Dunia na ina utajiri mkubwa wa mali asili, leo hii URUSI itake kuvamia Taifa lenye time zone tatu kutafuta nini? Talking of annexing nchi za watu mbona Wamerikani ndio mabingwa kunyanga aridhi za watu si wanajifanya ni wastaarabu na watetea haki za binadamu na demokrasia za kuchonga tu- wambie wawarudishie Wa Mexico states zifuatazo:California, New Mexico, Utah, Arizona, Texas na Nevada ambazo waliwapora mwaka 1836 na 1846, bila kusahau Hawaii, Porto Rico, Marshal Island, Diego Garcia nk si hilo tu wawaombe pia msamaha Wahindi wekundu 50Millioni walio chinjwa na wawarudishie Taifa lao au wawalipe fidia hilo hawafanyi badala yake wanahangahika tengeneza movies za kudhalilisha races nyingine eti zina onyesha "HOW THE WEST WAS WON!!" udhalimu huu wa kuwaonea wanyonge ndio wanaundeleza Duniani mpaka leo. Udhalimu niliyo taja hapo juu uwezi hata siku moja kusikia MSM inawaeleza/elimisha Raia wao kuhusu ushenzi waliowahi kufanya miaka/karne ya nyuma - akili zao zipo kutaka kupigana na Wakomunist siku hizi wameongezea Waislaam kwenye list - masaa yote wamekazania kuisema URUSI eti imeipora Crimea as if Crimea hajawahi kuwa sehemu ya Urusi, Ma neocon wa Kimerikani hawampendi Putin kwa kuwazidi akili na kwa kuwawahi Wamerikani wasianzishe a "PRO-NATO" Navy PORT pale Sevastopol, kuzidiwa kete na PUTIN kwenye suala la Sevastopol kuliwahuma sana Wamerikani ndio maana wana throw temper tantrums kila sehemu.

Leo hii Merikani inaburuza NATO kwa kuwahadaa eti Urusi ina mpango wa ku-annex nchi zao kumbe ni ulaghai mtupu, wanacho taka ni kujifanya wanawalinda kumbe wao wanatafuta kisingizio cha kusambaza Military bases zao na makombora kuizingira URUSI na kuwahuzia silaha washirika wao yaani NATO, sijui kama washirika hao wamekwisha washtukia Wamerikani au la maanake wanaonekana kama mazuzu vile, hawana kauri/mahamuzi mbele ya Wamerikani!!

Mimi sio mtume wala nabii lakini matendo ya Taifa hili yana kila dalili ya kuhashiria the begining of the end ya Taifa la Merikani kama tunavyo lijua itabidi likae chini lijirudi na kuheshimu Mataifa mengine, nilisha sema hapa kwamba wakijitia kuivamia URUSI basi wakae wakijua kwamba URUSI haitakuwa na haja ya kuipiga Continental Europe(NATO Members) - badala yake itaelekeza nguvu zake zote kuipa fundisho Merikani - itapigwa back to stone AGE na China itaisadia URUSI katika harakati za kuimaliza Merikani kwa kuwa inajua hisipo fanya hivyo inaweza kuwa next Victim wa vitendo dhalimu vya Wamerikani kwa hiyo watahakikisha wainaimaliza kabisa hisije kuinuka TENA na kusumbua DUNIA.

CC: DotWorld MALCOM LUMUMBA Ngongo Maziku Masunga Jr Elinagu lee van cliff FaizaFOXY........
 
.Maswala.. With nukes? Nobody... hakutakuwa na mshindi! ... itakuwa ni failure kwa kizazi cha binadamu as whole! .. hapa duniani!

So, what would a war between the U.S. and Russia look like? - Nuclear Armageddon!

Nuclear war with Russia is still mutually assured destruction. Hopefully, that's still deterrent enough.
If there is a major nuclear war the entire planet is doomed, so if you want to report on something get your facts straight!

Anyone left alive after the initial exchange will die from radiation, poison, starvation or thirst because everything will be contaminated!.
.

...... can this be prevented? Yes!, Will it be Unavoidable?!,.....Unknown!

THE AMERICAN CONSCIENCE ONLINE MAGAZINE - NATO, Russia And China: A Deadly Game Of Chess
 
Mkuu Nyani Ngabu nianze na Idd Amini - kwanza hakuwa nonda mla watu (hizo zilikuwa ni propaganda za kitoto), alikuwa anasingiziwa tu - (wakimbizi wa Obote na Mseveni) ndio walikuwa wanamchokoza mara kwa mara wakitokea Tanzania walipo mchosha akatugeuzia kibao.

Anhaa...nimefurahi umekubali kuwa propaganda zipo. Tuliaminishwa kuwa Idd Amin alikuwa anakula watu pasipo hata na ushahidi wowote ule. Wengine hatukudanganyika.

Ni kweli propaganda zipo kila kona ya Dunia lakini kwa viwango tofauti,

Hilo ni kweli kabisa. Na mimi huwa napenda sana kutolea mfano North Korea. Huko watu hufundishwa propaganda tokea chekechea na ndo maana ikija kwenye hayo mambo sijaona mpinzani wao bado.

binafsi kwa uzoefu wangu RT kama ina propaganda basi ni kwa kiwango kidogo sana sana uwezi kulinganisha na MSM ya magharibi ambao ni mabingwa wa Disinformation ambayo ni mbaya zaidi kuliko misinformation na Propaganda

Kwa vile wewe ni pro-Russia na anti-US huwezi kabisa kuiona RT kuwa ni chombo cha propaganda. Na hata ukiona bado utatafuta namna ya ku minimize extent yake.

Na pia sitegemei kabisa uzione mainstream media outlets za west kuwa vinginevyo na ulivyozielezea.

- ni watu hatari sana hawa, we jaribu kusoma comments za baadhi ya raia wao ambao wamekwisha kuwa brainwashed na vyombo hivyo, wana amini kwamba Warusi ni Monsters wana mpango wa kuvamia Taifa lao - oh yes matra yao ni "watch out Russians are coming" they're so horribly brainwashed by American Media they honestly see enemies in their friends, and friends in their enemies!!!

Na wewe jaribu kusoma maoni ya baadhi ya raia wa Urusi na wapambe wao uone. Na wala usiende mbali. Humu humu mpo kibao na wewe ni mmoja wao.

Kila kitu mnasingizia CIA. Hata gonjwa la ebola wapo wanaosingizia CIA. UKIMWI ndo usiseme kabisa. Mnaiona Marekani kuwa li monster libaya sana.

Hawajiulizi hata siku moja kwamba mbona Land mass ya URUSI ni kama robo ya Dunia na ina utajiri mkubwa wa mali asili, leo hii URUSI itake kuvamia Taifa lenye time zone tatu kutafuta nini?

Nani anayesema kuwa Urusi inataka kuivamia Marekani? Kwanza haiwezi hata kuthubutu kujaribu. Pili, usikute ni hao hao ma pro-Russia ndo wanatoa hayo maoni na kujifanya wao ni Wamarekani.

Give me a break!

Talking of annexing nchi za watu mbona Wamerikani ndio mabingwa kunyanga aridhi za watu si wanajifanya ni wastaarabu na watetea haki za binadamu na demokrasia za kuchonga tu- wambie wawarudishie Wa Mexico states zifuatazo:California, New Mexico, Utah, Arizona, Texas na Nevada ambazo waliwapora mwaka 1836 na 1846, si hilo tu wawaombe msamaha Wahindi wekundu 50Millioni walio chinjwa na wawarudishie Taifa lao au wawalipe fidia - niliyo taja hapo juu MSM huwa hawaelezi Raia wao ushenzi waliowahi kufanya miaka ya nyuma - masaa yote wamekazania kuisema URUSI eti imeipora Crimea as if Crimea hajawahi kuwa sehemu ya Urusi, Ma neocon wa Kimerikani hawampendi Putin kwa kuwazidi akili kwa kuwawahi Wamerikani wasianzishe a "pro-nato" Navy PORT pale Sevastopol, kuzidiwa kete na PUTIN kunawahuma sana Wamerikani.

That's a whole bunch of hogwash!

Leo hii Merikani inaburuza NATO kwa kuwahadaa eti Urusi ina mpango wa ku-annex nchi zao kumbe ni walaghai tu wanacho taka ni kujifanya wanawalinda kumbe wao wanatafuta kisingizio cha kusambaza Military bases zao na makombora kuizingira URUSI na kuwahuzia silaha nchi za NATO, sijui kama washirika hao wamekwisha washtukia Wamerikani, mimi sio mtume wala nabii lakini matendo ya Taifa hili naona ndio tuna kwenda kwenye phase ya the begining of the end ya Merikani kama haitakaa chini ikajirudi na kuheshimu Mataifa mengine, nilisha sema hapa kwamba wakijitia kuivamia URUSI basi wakae wakijua kwamba URUSI haitakuwa na haja ya kuipiga Continental Europe

Marekani wala haina haja ya kumhadaa yeyote yule. Ni hizo nchi zilizokuwa kwenye shirikisho la nchi za Kisovieti ndizo zenye hofu. Hofu kuwa Putin alivyo mwendawazimu anaweza kuzivamia katika jaribio la kutaka kuirudisha USSR.

badala yake itaelekeza nguvu zake zote kuipa fundisho Merikani itapigwa back to stone AGE na China itaisadia URUSI kwa kuwa inajua kwamba hisipo fanya hivyo inaweza kuwa next Victim wa vitendo dhalimu vya Taifa hilo kwa hiyo waimalize kabisa hisije kuinuka TENA na kusumbua DUNIA.

Teh teh teh.....eti itapigwa back to stone age. In your dreams.
 
Video ya propaganda tu hiyo.
Na kwa vile wewe na cheerleaders wako mmenyweshwa na kulewa kool-aid ya Warusi basi mnaamini chochote kile hata kiwe cha kipuuzi namna gani.

Mkuu naomba upumzike tu maana naona umeishiwa point za msingi na sasa unabwabwaja.
Nimefuatilia kwa makini majibizano yenu na kama ningekuwa mwalimu basi ningempa Dotworld alama nyingi kuliko wewe kwa sababu anajua kujenga na kuisimamia hoja vizuri kabisa kila mtu akaelewa kitu ambacho wewe huna zaidi ya kejeli tu ninazoziona toka kwako.
Mimi nilikuwa naamini kama unavyoamini wewe ila baada ya kufuatilia na kupata shule nimegundua nilichokuwa nakiamini si sawa.
Kama unatetea hoja yako ni vema ukaja na maelezo na uthibitisho unaoridhisha kama alivyofanya mwenzio hapo mimi nitakuwa wa kwanza kukubaliana na wewe.
Leta uthibitisho wa kuonyesha marekani ndege zake za kisasa hazitunguliki,radar zake ni za kisasa zaidi,aircraft carriers zake haziwezi shambuliwa na makombora ya Urusi,tuonyeshe kwamba Marekani ina Intercontinental ballistic missilles bora kuliko za Urusi na ututhibitishie kwamba si kweli B-52 na F 117 zilitunguliwa na technology ya Mrusi.
Hii thread inafuatiliwa na wasomi ambao tunataka tujifunze zaidi toka kwako hebu pangilia vizuri hoja zako kwa facts na evidence maana tupo tayari pia kujifunza toka kwako hatupo hapa kukubishia kama unaongelea ukweli ulio wazi kabisa.
 
Na KGB kazi yake nini?
Teh teh teh....kwa RT yenyewe haifadhiliwi na KGB, siyo?

Mkuu .Nyani Ngabu.. labda tu small correction!

KGB imekufa - ilishavunjwa!

Siku hizi Russia wana shirika jipya ambalo linaitwa FSB hiyo ndio imechukua nafasi ya KGB so instead of saying KGB say FSB

The FSB (ФС&#1041😉
Gerb_fsb.png
FSB ni kifupi cha (Russian: Federalnaya Sluzhba Bezopasnosti (FSB) - Federal Security Service

Is a state security organisation in Russia. It is the organisation that came after the KGB, relating to internal affairs inside the country.

It is usually simply called the FSB in English-language sources. Its headquarters are in Moscow.

RIAN_archive_846846_Dozens_killed_in_Domodedovo_airport_blast.jpg
.​

Its main responsibilities are within the country. It does counter-intelligence, internal and border security, counter-terrorism, and surveillance.

AyJWYqT.jpg

It also investigates some other types of serious crimes.

The Director of the FSB since 2008 is army general Aleksandr Bortnikov

Its headquarter is in Lubyanka Square, Moscow's centre, in the main building of the former KGB.

The-Lubyanka-Square-in-downtown-Moscow.jpg

Lubyanka Square - Makao Makuu ya zamani KGB sasa FSB
 
teh teh teh kuna huyu mwingine anajiita Mr president kila kitu anacopy hata hajui maana yake, nimemshangaa sana anatoa links zinazo onesha eti US inaongoza kwa oil & gas production in the world.!!

Ha ha ha jamaa anatoka nje ya point kabisaaaaa na hii ni dalili ya kushindwa.Ila tunawashukuru sana maana ubishi wao umetufanya tupate nondo za maana sana.
 
HAHAHAH upo sahii mkuu 100%,
huyo ndg.hapo kwenye RED ukiondoa ile mijadala yake ya kutotambua uwepo wa MUNGU,ambayo kiukweli imempatia sifa kwa wasio amini, kuna wakati alikumbana na genius mmoja aliye bobea ktk elimu ya sayansi ya anga (astronomy),anaitwa Monstgala aka Mgalanjuka.basi watu tukatenga mda kuufatilia mnakasha ili tuone ukipanga wake ktk anga hizo.kumbe hamna lolote.alipigwa shule mpaka akaingia mitini.JF raha sana.imekusanya mabingwa wa kila fani,ukijifanya mjuaji unatolewa nishai.

Hiyo thread inaitwaje niifuatilie maana napenda thread za namna hii.
 
AzdTUlN.jpg
.
helcopter ya mrusi Mi 26 ikiwa imeibeba helcopter ya marekani chinook,kule afaghnistan baada ya kuwa damaged.marekani ilibidi wakodi helcopter ya mrusi kwa kazi hiyo kwani wao hawakua na yenye uwezo huo.

Break down helicopter ya Mrusi hiyo ha ha ha Mrusi ni matatizo aisee inaonekana ina nguvu sana hiyo kitu mpaka inabeba mwenzake.
Russia ana karibu kila kitu kwenye maswala ya military.
Hiyo budget yote kubwa ya marekani kwenye maswala ya military na bado vitu vidogo na vya msingi kama hivi hawana hiyo pesa wanaifanyia nini sasa maana hii ni aibu kubwa.
 
antonov-an-225-shuttle.jpg

original.jpg

​

cc: .The mountain lion. kadoda11 .
 
Last edited by a moderator:

Hivi kwa nini hii Project ya BURAN ilisitishwa gafla ingawa Wamerika wanakiri kwamba BURAN ilikuwa more advanced kuliko SPACE SHUTTLE zao na nasikia zilihundwa mbili tu - je tatizo lilitokana na kuvunjika iliyo kuwa SOVIET au Ukraine hawakutaka tena kuendelea kushirikiana na RF?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naomba upumzike tu maana naona umeishiwa point za msingi na sasa unabwabwaja.

Ngoja tuone 'pointi' ulizonazo wewe.

Nimefuatilia kwa makini majibizano yenu na kama ningekuwa mwalimu basi ningempa Dotworld alama nyingi kuliko wewe kwa sababu anajua kujenga na kuisimamia hoja vizuri kabisa kila mtu akaelewa kitu ambacho wewe huna zaidi ya kejeli tu ninazoziona toka kwako.

Huo ni mtazamo wako tu na si vinginevyo. Na ni haki yako kuwa na mtazamo wowote ule uutakao.

Mimi nilikuwa naamini kama unavyoamini wewe ila baada ya kufuatilia na kupata shule nimegundua nilichokuwa nakiamini si sawa.

Wewe siyo mimi na mimi siyo wewe na kamwe huwezi kufikia viwango na ufahamu wangu wa mambo. Na ndo maana unazungumzia mambo ya 'kuamini' ilhali wengine tupo kwenye viwango vya ufahamu na ujuzi.

Hivi unajua hata tofauti kati ya kujua, kufahamu, na kuamini? Sidhani. Kwa hiyo endelea tu kuamini.

Kama unatetea hoja yako ni vema ukaja na maelezo na uthibitisho unaoridhisha kama alivyofanya mwenzio hapo mimi nitakuwa wa kwanza kukubaliana na wewe.

Sina haja ya wewe ukubaliane na mimi kwa sababu huniongezei wala kunipunguzia chochote. Endelea kumkubalia huyo huyo unayemwamini. Achana kabisa na mimi. Sawa?

Leta uthibitisho wa kuonyesha marekani ndege zake za kisasa hazitunguliki,

Ona sasa usivyo makini. Unaniambia eti nilete uthibitisho kuwa ndege za Marekani hazitunguliki kwani kuna popote nilipodai kuwa ndege za Marekani hazitunguliki? We vipi wewe? Ebo!

radar zake ni za kisasa zaidi,aircraft carriers zake haziwezi shambuliwa na makombora ya Urusi,tuonyeshe kwamba Marekani ina Intercontinental ballistic missilles bora kuliko za Urusi na ututhibitishie kwamba si kweli B-52 na F 117 zilitunguliwa na technology ya Mrusi.

Wewe ni zaidi ya jinga. Unabuni tu mambo kichwani mwako yasiyo na mbele wala nyuma.

Hii thread inafuatiliwa na wasomi ambao tunataka tujifunze zaidi toka kwako hebu pangilia vizuri hoja zako kwa facts na evidence maana tupo tayari pia kujifunza toka kwako hatupo hapa kukubishia kama unaongelea ukweli ulio wazi kabisa.

My oh my! Nawe unajiita ni msomi? Seriously?

Kwa heri.
 
Back
Top Bottom