JustDoItNow, hebu nipe jibu moja tu...Mmarekani ni nani? Kwangu jibu lolote utakalotoa ni sababu ya pekee kuitazama Marekani kwa jicho tofauti kabisa na mataifa mengine. Chukua mfano mdogo tu wa jimbo kama California. Wachina walifika pwani ya Magharibi ya Marekani miaka mingi tu kabla hata Christopher Columbus kuvuka bahari la Atlantic akitokea Ulaya, wao walivuka wakipitia bahari la Pacific.
Ninalotaka kusema hapa ni kuwa Warusi wanabakia Warusi lakini Wamarekani wanakuwakilisha wewe, mimi na yule au kwa kifupi wahamiaji na hadi
Waswahili wamo. Leo hii jimbo la California peke yake linao watu wenye asili ya China karibu milioni mbili na wanaongezeka kila saa, siku na mwaka! Nikikutana na mtu anasema haipendi Marekani kwa sababu yoyote ile, namtazama halafu nabaki tu nikitikisa kichwa.
Whether you like it or not, US is currently the world police, you wanna know why? They seem to be, they claim to be and they prove to be. USSR ilisambaratika yet the world moved on but, on the other hand, USA ikisambaratika the bottomline is the world will come to a standstill. Kila taifa, kila rangi, kila dini, kila kabila na kila utamaduni...vyote vinawakilishwa ndani ya Marekani and you can take that to the bank!
Nondo zote unazozisoma humu chanzo chake kikubwa ni Marekani na data zote zinazotolewa humu chanzo chake kikubwa ni Marekani. Sina haja ya kutoa za kwangu...any Tom, Dick and Harry can come up with the said data; all one needs ni macho, vidole na computer competency na bahati nzuri panya (mouse) ipo, unahitaji kugonga tu. Kwa kumalizia, kingine kinachoifanya Marekani iwe tofauti ni uhuru wa kutoa mawazo, asanteni.