USA are not able to overcome S-300 air defense system

Ha ha haaaa...naanza kuvutiwa na Nyani Ngabu kwa namna alivyo die harder. Kwa kweli mmarekani Nyani Ngabu anaonyesha kwa vitendo jinsi alivy mkatoliki kuliko papa. And franly speaking, bila Nyani Ngabu mjadalla huu ungepooza sana.

mkuu Consigliere,
binafsi huyo bwana tangu nijiunge JF mwaka 2011,sijawahi ona akijadiliana ktk mjadala "fikirishi" kama huu,zaidi ya kusoma posts za wadau hasa baadhi ya wadada wa MMU wakimsifia kwamba anajua kizungu and bla bla bla,hata yeye mwenyewe huwa anajisifia sana kwa uwezo wake wa kingereza.sasa wengine tumepata pa "kumpimia",ni kwenye huu mjadala,tumevaa mewani ya 3D ili tuthibitishe yaliyomo yamo?.
je?, zile sifa anazo sifiwa zina-reflect kiwango chake cha uelewa au "chai tu".maana sisi wengine tunaamni kujua kingereza siyo kujua maarifa ya kidunia.

CC Dotworld
 
Mimi wala siyo die-harder au right-or-wronger.

Huyu bwana Dotworld kakamata wajinga wajinga humu na wanampa kichwa kwa vitu anavyokopi huko Liveleak.com na kuvileta hapa.

Talk about about being brainwashed then look no further than Dotworld's cheer-leading club!
 
Nyani Ngabu ingependeza sana kama ungekuwa unavipinga hivi vitu kwa ushahidi, lakini kwa maneno yako haya signature inaaksi mawazo yako unapinga tu bila hata ushahidi.

Napinga kwa kuhoji vizibiti feki anavyoviweka Dotworld.

Huyo ana-spam tu hili jukwaa kwa hiyo mipicha yake ambayo haithibitishi chochote.
 
mkuu Consigliere,
binafsi huyo bwana tangu nijiunge JF mwaka 2011,sijawahi ona akijadiliana ktk mjadala "fikirishi" kama huu,zaidi ya kusoma posts za wadau hasa baadhi ya wadada wa MMU wakimsifia kwamba anajua kizungu and bla bla bla,hata yeye mwenyewe huwa anajisifia sana kwa uwezo wake wa kingereza.sasa wengine tumepata pa "kumpimia",ni kwenye huu mjadala,tumevaa mewani ya 3D ili tuthibitishe yaliyomo yamo?.
je?, zile sifa anazo sifiwa zina-reflect kiwango chake cha uelewa au "chai tu".maana sisi wengine tunaamni kujua kingereza siyo kujua maarifa ya kidunia.

CC Dotworld

Ha ha haa Kwa hivyo mkuu kadoda11 huku mkuu Nyani Ngabu kapotea njia? Ina maana yeye kwake ni Jukwaa la MMM? Ila jamaa ana roho ngumu sana kiasi cha kustahili pongezi, ku argue na Dotworld inahitaji shingo ngumu sana. Binaadam ana mwaga miushahidi utadhani rushwa kipindi cha uchaguzi!!
 
Last edited by a moderator:
kadoda11;mkuu Consigliere,

its a simple fact Nyani Ngabu na Mwenzake Kiranga wanapenda kuwa the centre of attention:When they dont get that wanachukia saana.
Hasa member mpya akisifiwa nahisi huwa wanataka kufa,....
cult of character ndiyo inatesa watu hapa.
 
Napinga kwa kuhoji vizibiti feki anavyoviweka Dotworld.
Huyo ana-spam tu hili jukwaa kwa hiyo mipicha yake ambayo haithibitishi chochote.
Hii mada mahali pake muafaka ni jukwaa la porojo.
 
Ha ha haa Kwa hivyo mkuu kadoda11 huku mkuu Nyani Ngabu kapotea njia? Ina maana yeye kwake ni Jukwaa la MMM? Ila jamaa ana roho ngumu sana kiasi cha kustahili pongezi, ku argue na Dotworld inahitaji shingo ngumu sana. Binaadam ana mwaga miushahidi utadhani rushwa kipindi cha uchaguzi!!

ndio hivyo mkuu,
kaingia kichwa kichwa International Forum,kakutana na mwamba Dotworld,anampiga nondo "mwanzo mwenga".ila huko tunako enda,sidhani kama ataweza kuhimili,''atasanda" tu na ndio utakuwa mwisho wa mjadala na sifa nyingi zitaenda kwa dotworld kwa kuufanya mjadala upate wafatiliaji wengi.
 
Last edited by a moderator:
Mimi wala siyo die-harder au right-or-wronger.

Huyu bwana Dotworld kakamata wajinga wajinga humu na wanampa kichwa kwa vitu anavyokopi huko Liveleak.com na kuvileta hapa.

Talk about about being brainwashed then look no further than Dotworld's cheer-leading club!
Kwa hiyo na BBC World Service TV ni wajinga wajinga? ... maana na wao wanaripoti ninachosema mimi na wameenda mpaka kwenye makumbusho ya Serikali ya Serbia ambapo wanaonyesha mabaki ya hiyo ndege na kuwahoji wahusika tena kwa Video Clips ambazo ti taarifa ya TV imetazamwa Dunia nzima!

Sasa "wajinga wajinga" ni BBC au wale ambao wanakataa ripoti ya BBC?!
 
its a simple fact Nyani Ngabu na Mwenzake Kiranga wanapenda kuwa the centre of attention:When they dont get that wanachukia saana.
Hasa member mpya akisifiwa nahisi huwa wanataka kufa,....
cult of character ndiyo inatesa watu hapa.

Mi napenda kuwa center of attention kivipi?
 
Kwa hiyo na BBC World Service TV ni wajinga wajinga? ... maana na wao wanaripoti ninachosema mimi na wameenda mpaka kwenye makumbusho ya Serikali ya Serbia ambapo wanaonyesha mabaki ya hiyo ndege na kuwahoji wahusika tena kwa Video Clips ambazo ti taarifa ya TV imetazamwa Dunia nzima!

Sasa "wajinga wajinga" ni BBC au wale ambao wanakataa ripoti ya BBC?!

Ushahidi wa kwamba hiyo ndege ilitunguliwa uko wapi bana?

Kuweka picha za huyo sijui Mserbia siyo ushahidi.
 
Mkuu kwa kweli mimi haya masuala ya kutunguliwa ndege ya Stealth sitaendelea kujadili.

Nilimwahidi Mr President kuwa ntamjibu hoja yake ya Israel na Marekani na Israel Lobby ya Marekani. Sasa hii hoja imenichukulia muda mwingi.

Bythe way kwa wasiofahamu Israel lobby ni American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) sasa hii lobby's influence on U.S. foreign policy pamoja na negative effect kwenye American interests

Ngoja nifanye mpango nimjibu Mr President maana hayo mambo ndio yapo Interesting zaidi & challenging na ntamjibu hapa hapa as yana connections karibu na kila political movements, war or peace duniani.
 
kadoda11;mkuu Consigliere,
binafsi huyo bwana tangu nijiunge JF mwaka 2011,sijawahi ona akijadiliana ktk mjadala "fikirishi" kama huu,zaidi ya kusoma posts za wadau hasa baadhi ya wadada wa MMU wakimsifia kwamba anajua kizungu and bla bla bla,hata yeye mwenyewe huwa anajisifia sana kwa uwezo wake wa kingereza.sasa wengine tumepata pa "kumpimia",ni kwenye huu mjadala,tumevaa mewani ya 3D ili tuthibitishe yaliyomo yamo?.
je?, zile sifa anazo sifiwa zina-reflect kiwango chake cha uelewa au "chai tu".maana sisi wengine tunaamni kujua kingereza siyo kujua maarifa ya kidunia.

its a simple fact Nyani Ngabu na Mwenzake Kiranga wanapenda kuwa the centre of attention:When they dont get that wanachukia saana.
Hasa member mpya akisifiwa nahisi huwa wanataka kufa,....
cult of character ndiyo inatesa watu hapa.

HAHAHAH upo sahii mkuu 100%,
huyo ndg.hapo kwenye RED ukiondoa ile mijadala yake ya kutotambua uwepo wa MUNGU,ambayo kiukweli imempatia sifa kwa wasio amini, kuna wakati alikumbana na genius mmoja aliye bobea ktk elimu ya sayansi ya anga (astronomy),anaitwa Monstgala aka Mgalanjuka.basi watu tukatenga mda kuufatilia mnakasha ili tuone ukipanga wake ktk anga hizo.kumbe hamna lolote.alipigwa shule mpaka akaingia mitini.JF raha sana.imekusanya mabingwa wa kila fani,ukijifanya mjuaji unatolewa nishai.
 
Kwa hiyo na BBC World Service TV ni wajinga wajinga? ... maana na wao wanaripoti ninachosema mimi na wameenda mpaka kwenye makumbusho ya Serikali ya Serbia ambapo wanaonyesha mabaki ya hiyo ndege na kuwahoji wahusika tena kwa Video Clips ambazo ti taarifa ya TV imetazamwa Dunia nzima!

Sasa "wajinga wajinga" ni BBC au wale ambao wanakataa ripoti ya BBC?!

Hao BBC walishawahi kushitakiwa na Dr. Salmin Amour na wakashindwa kesi na kuamrishwa kumlipa fidia.....
 
Dotworld;Mkuu kwa kweli mimi haya masuala ya kutunguliwa ndege ya Stealth sitaendelea kujadili.

Nilimwahidi Mr President kuwa ntamjibu hoja yake ya Israel na Marekani na Israel Lobby ya Marekani. Sasa hii hoja imenichukulia muda mwingi.

Bythe way kwa wasiofahamu Israel lobby ni American Israel Public Affairs Committee (AIPAC).

Ngoja nifanye mpango nimjibu Mr President maana hayo mambo ndio yapo Interesting zaidi & challenging na ntamjibu hapa hapa as yana connections karibu na kila political movements, war or peace duniani.

Dotworld this ain't rocket science hadi ushindwe kujua kwamba these are just the LAST KICKS OF A DYING HORSE.
Nyani Ngabu kamwe hawezi kukujibu hata kidogoo
King Solomon once said GIVE KNOWLEDGE TO A WISE MAN AND HE WILL BE YET WISER
Nyani Ngabu hana tofauti na wale watu wa kwenye Allegory ya Plato and the CAVE
 
Nyani Ngabu;Hao BBC walishawahi kushitakiwa na Dr. Salmin Amour na wakashindwa kesi na kuamrishwa kumlipa fidia...
hivi unajua kwanini mtu huwa anashindwa kesi mahakamani?
 
HAHAHAH upo sahii mkuu 100%,
huyo ndg.hapo kwenye RED ukiondoa ile mijadala yake ya kutotambua uwepo wa MUNGU,ambayo kiukweli imempatia sifa kwa wasio amini, kuna wakati alikumbana na genius mmoja aliye bobea ktk elimu ya sayansi ya anga (astronomy),anaitwa Monstgala aka Mgalanjuka.basi watu tukatenga mda kuufatilia mnakasha ili tuone ukipanga wake ktk anga hizo.kumbe hamna lolote.alipigwa shule mpaka akaingia mitini.JF raha sana.imekusanya mabingwa wa kila fani,ukijifanya mjuaji unatolewa nishai.

How on hell nilikosa huu mjadala? Naomba unipe link mkuu. Yaani mkuu Kiranga alisanda? Hii itakuwa ilikuwa ni kubwa kuliko.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom