Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
- Thread starter
- #361
mimi huo mtanange wa serbia nilikua naucheki live,wakati marekani wamekoleza kuitwanga serbia,mwishoni wanataka kuikamata yote,bana we,wakashitukia vifaru vya mrusi vinaingia serbia bila yao kuwa na tarifa,marekani wakabaki hawajui wafanye nini?,wavitwange vifaru vya mrusi na hivyo kurisk vita na mrusi ama iwe vipi,hatimae mrekani akasitisha vita,nakumbuka ilikua usiku na nilishuhudia live coverage ya CNN ya tukio,kilichoendelea vita vikastop ghafla,mengine sikumbuki kwani imepita miaka mingi
Hata mimi naikumbuka sana, Warusi waliwashtukiza sana NATO - walijua fika kwamba jamaa wamekwisha jitayaliyasha kwa lolote ndio maana Cliton aliogopa. Kumbuka kisa cha Krushchev na Kennedy.