SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
Syria hawana S-300
wanazo putin aliwapa bure kwa ajil ya defense endapo israel atawashambuli..but i wonder wanashambuliwa and nothin hapens...je s-300 iz useless!?
Syria hawana S-300
Sio kwamba sielewi Mkuu Nyani Ngabu , mimi nasema Conventional / UNConventional warfare WAKATI WA WAR - siongelei hiyo Conventional / UNConventional KABLA YA WAR maana kuna 2 sides ya kila scenario!
Wewe unaongelea UNConventional warfare kabla ya war ambapo ni kuforce au malengo in covertly au ambayo siyo well-defined tactics and weapons intensify environments of subversion au intimidation ambapo nia au malengo ya muda mrefu ni coercive au subversive kwa opponent.
Sasa hii Unconventional warfare (KABLA YA WAR) lengo lake ni achieve ushindi kupitia acquiescence au a-agree na kukubali kushindwa kupitia njia mbalimbali kama ku-ipressure nchi husika au kwa kutumia intelligence au clandestine activities ili nchi husika iweze kushinda katika mgogoro fulani bila ya kutumia au kuingia vitani.
The same scenario pia inatokea wakati tayari vita imeshatokea na ndio maana mimi nipo kwenye vita tayari nasema nako pia kuna Unvonventinal war pia ambapo hutumii Traditional means means.
Mimi na wewe hatuelewani sehemu moja - wewe unaangalia kabla ya actual war kutokea ambapo kuna vita ya chini chini - while mimi nilikuwa naongelea kwenye actual war (yaani wapo tayari wanapigana) ambapo huko kuna conventional (traditional) VS UNconventional (Untraditional means.
Anyway, najua kuwa huwa hupendi kushindwa, but anyway Weekend njema na wewe!.
Duh, katika jamii forums kuna vichwa kweli kweli,. Kuna watu wanashusha nondo kama hawana akili nzuri. Hongereni. Ukweli wa mambo mjadala kuhusu Urusi na Marekani ni mgumu. Why? Bcause wengi wetu tumekuwa brainwashed na propaganda za West. Piga ua Russia iko juu ya Marekani kwa teknolojia na hasa military tecknology. Pamoja na mbwembwe z a Marekani hawathubutu kamwe kupambana na Russia. Marekani na nchi zote za West zitafumuliwa na kubaki majivu. Teknolojia yaMrusi katika masuala ya kijeshi ni kama ya 'aliens from other planets'.
SirChief... na wewe katika grounds zipi una uhakika kuwa US kashinda Iraq?in what grounds that u.s was defeated in iraq war?
.Maswala.. With nukes? Nobody... hakutakuwa na mshindi! ... itakuwa ni failure kwa kizazi cha binadamu as whole! .. hapa duniani!Ndugu wachangiaji, tuondoe ushabiki wa nchi, vita ni km kamili, karata au hata mchezo wa mpira. Dakika 90 ndio huamua matokeo ya mechi.
Sana sana USA na washirika wake wamepigana vita ya uharibifu wa miuondo-mbinu, majengoo na mali. Lakini si vita ya kushinda, na wala hawana uzoefu wa kushinda vita kama alio nao mrusi wa WW2, kwa yeye ndiye alieplay big part katika ushindi huo.
So, ikitokea USA na Urusi wapigane, mshindi atajulikana mwisho wa vita. Wala huweszi kutabiri. War is a game of timing kama ngumi! Mkisoma historia ya falme kuu za dunia, nyingi ziliangushwa kinyume na matarajio ya wengi.
....
Overwhelming victory for the cockroaches!!.
maziku Masunga, samahani sitaendelea kushiriki katika hizi porojo za Waswahili, US haters at their best. US na the former formidable USSR zimewahi kukabiliana mara moja tu ambapo redline ilichorwa and the whole world almost came to a standstill...guess who pulled back? Nawatakia mjadala mwema...I have better things to do.sawasawa kabisa so you have to give us facts and not blah blah, we do not entertain gambling here.!! At JF, gambling should never become more than entertainment and we are always prepared to help those for whom it does.
Mkuu Mr. President
..
Hiyo list yako ya expenditure sio jibu la kuwa Jeshi lako lipo vizuri!
Kama huna home grown Military Industry basi tegemea kuwa utaspend a lot of money katika ulinzi tofauti na wale ambao wana home grown military machines!
Mfano angalia, huwezi kuifananisha nchi kama China na India ambapo China wana make wenyewe for export wakati India wana-import silaha kwa ajili ya Ulinzi.
Sasa US wamezoea kuwaiba na kuwanunua Scientist ambao ni wazuri katika masuala ya silaha kutoka nchi nyingine na kuwapa uraia ndo maana unakuta military xpenditure zao zipo juu.
hali hii ni tofauti na nchi kama Russia ambayo kama ni nyuklia wanazo, scientists wanao hivyo hawahitaji kuwekeza sana katika kuingia gharama za kuwaajiri wanasayansi wapya wa masuala ya kijeshi as anachukua wa ndani tu!
Angalia kwa mujibu wa "data" za image yako ... imagine KSA (Kingdom of Saudia Arabia) ana-spend almost sawa na Russia! - sasa je ina maana kuwa jeshi la Saudia Arabia ni sawa na Russia?!!!!!!!!!! - nonsense!! -
Hawa KSA (Saudi Arabia) wanaspend sana kwa sababu wananunua silaha kutoka US & very expensive! & it means angalia kwanza mfano Yemen, Saudia Mabomu yake yameisha amemuomba US amuongezee mabomu ya kushambulia Yemen! (sasa kuna jeshi hapo?)
So kuniambia kuwa kwa sababu US wana-spend sana katika military basi ndo kiashiria kuwa wapo juu -- hiyo ni nonsense!
Dude somewhere in this forums, i said that it is not a myth that Russia are best in air defense systmes. Americans know this very well, we are talking of S-300, not S-400 or leave alone the thing that they are testing now. If you look are most American air defence systems are basically Russian or at least have russian input.
But again looks like US has best offenses, that is why they say the system to them is not a big problem. If persians manage to upgrade the system by a single bit, then Iran will as a whole will be well defended like white house.
ni wapi hapo walichora redline? nyakati waliyotaka kupigana makonde ni kwenye cuban missiles crisis. ni US ndiyo ali surrender hii kitu (kama unafuatilia mambo kiundani). kwenye 6 days war US alitaka kuingilia lakini alimuogopa mrusi. jiangalie, isije kuwa wewe ndiyo mswahili unaeleta porojo!maziku Masunga, samahani sitaendelea kushiriki katika hizi porojo za Waswahili, US haters at their best. US na the former formidable USSR zimewahi kukabiliana mara moja tu ambapo redline ilichorwa and the whole world almost came to a standstill...guess who pulled back? Nawatakia mjadala mwema...I have better things to do.
Mkuu mag3 najua unataka kusema kuwa USSR pulled back! - siyo kweli, ila ilikuwa ni negotiated agreement between US & USSR!maziku Masunga, samahani sitaendelea kushiriki katika hizi porojo za Waswahili, US haters at their best. US na the former formidable USSR zimewahi kukabiliana mara moja tu ambapo redline ilichorwa and the whole world almost came to a standstill...guess who pulled back? Nawatakia mjadala mwema...I have better things to do.