Usijali Mkuu Mr Prez ... mimi kwangu hiyo haina tatizo!
Hiyo unaonekana namna ulivyo passionate katika your believes kuwa 'Murica is Super Power katika KILA KITU na haina limitations katika powers zake to the extent unakasirika kuona watu wanasema siyo Superpower katika everything!!!
I hope ... our friend here Maziku Masunga Jr. ... will understand!
Haya tuendelee!
There you are...!!! I appreciated ur BELIEVES TOO...!!!
But we DIFFER one BIGGEST THING HIDDEN in our believes...tht is TIME....!!! TIME EVOLVES...!!! I hope u know this....!!!
Most things, u posted are of PAST TIMES....U.S.S.R..has gone, buried....so ukilinganisha Nguvu ya PAST U.S.S.R na U.S.A ya wakati ULEE wa PAST TIMES uko kidogo sahihi....!!!
BUT we are living AT PRESENT TIMES.....!!! PAST is PAST...nothing we can do about it, U.S.S.R has gone....
So at PRESENT.....U.S.A ni habari nyingine...NI DHAMBI KUU HATA MBINGUNI UILINGANISHE NA Russia kwa sasa, ukijua hilo vizuri kiundani, KISAYANSI, KIUCHUMI, KISIASA, rough zao, UTAJUA NASEMA NN....!!! I assure you, Israel inapiga kelele,
inafanya ITAKALO SBB YA U.S.A...tht is it...!!! Na ukijua UCHUMI WA U.S.A inashikiliwa na Jewish BILLIONERS hupati shida kuelewa kwnn Israel HADI NETANYAHU anaenda U.S. Congress na kuongea hovyo....SBB wao ni wamoja, GEOGRAFIA TU INAWATENGANISHA.....niwamoja KI DAMU, KIIMANI, KISERA na hata ktk Siasa kidogo...ukijua hilo hupati shida....Any Jewish in U.S A feels 100% at home, hata kama kaenda kusoma tu...!!!
So TIME EVOLVES again, AT PRESENT ni U.S.A....hatujui huko mbeleni kutatokea nn, miaka 200, 500, 1000 ijayo....kwani Kulikuwa na FALME KADHAA IN THE PAST HAZIPO NA ZIMEKUFA...eg Roman Empire, Egypt, Hitler alikuja kwa pupa akataka
kutawala dunia kutoka Germany....ila ZOOTE ZILIANGUKA...so in the FAR FUTURE MM NA WW HATUTAKUEPO....HATUJUI NANI ataendelea kutawala DUNIA....tumeona juzi tu, DICTACTORS wanauawa, so DICTACTORSHIP has gone, HAINA CHANCE TENA DUNIANI, tht is PAST....huwezi kuwa Dictactor kwa sasa, lazima ukubali vitu WITH REFERENCE TO TIME...
So kila kitu at the END OF THE DAY, AGES, is subjected to TIME at last....!!! Britons say * Time will TELL" or "TIME is the TRUE FRIEND" ndivyo ilivyo..
Ila mwenye HEKIMA NA BUSARA, HUKUBALI UKWELI....kwa wakati HUSIKA...!!! KWA SASA NI U.S.A mkubwa na baba lao....!!!
Eg in sports as well, UEFA...2012/13...Barca alipigwa kama mtoto mdogo na Bayern Munich, iliniuma sana..unakubali matokeo unasonga mbele UNAJIPANGA KISAWASAWA.... that was PAST...
Umeona juzi, 2014/15 UEFA, Barca kampiga 3-0 Bayern Munich yule yule, wachezaji almost wale wale
...HUO NDIO UKWELI...at PRESENT BARCA WAKO JUU SANA....
So, ukiwa mshindani, KWANZA PAMBANA KISAWASAWA till the last DROP...then wait for RESULTS.. ukishindwa, unakubali MATOKEO KIUNGWANA...THEN UNARUDI KUJIPANGA UPYA VIZURI ZAIDI KUWA BINGWA IN THE FUTURE....!!! KUSHINDWA SIO KUFELI....!!! Labda umezidiwa tu kwa wakati husika, hujawa BINGWA, ila unajua....SO NEVER GIVE-UP...huwenda in the FUTURE ukawa CHAMPION kumshinda yule yule BINGWA ALIEKUSHINDA.....and that is the SPIRIT OF LIVELYHOOD WE NEED TO KEEP ALWAYS ....ALWAYS ...kushindwa sio KUFELI...!!! Umeanguka chini, amka, simama, TWENDE MBELE...ONGEZA JUHUDI...sasa ukianguka, ukakaa na kulala kabisa, IT's OVER....hv the spirit....IT'S NOT OVER till it comes OVER... !!!!
Mm sikatai Mrusi kuwa ni HOHE HAHE...No, ila AT PRESENT ukianza KUSEMA Russia INAIZIDI U.S.A sijui kwa nn na nn, ni UONGO...SCIENTIFIC DATAS ZOOTE ZINAKATAA....Hata SERA ZAO ZA KIKOMUNIST ZIMEFELI SANA Worldwide...Rais wao kwa SASA NI CAPITALIST Number ONE...kuliko Marais woote duniani...the RICHEST PUTIN....hata yeye kajua, Ukomunist umefail, Hata Nyerere alikiri mfano wazi, UJAMAA ULIMSHINDAA...!!!
So TIME is ALL, is LIFE and will TELL EVERYTHING...keep ur watch....!!! I am a very busy dude...it's hard to be here most of time...!!!
So enjoy ur BRIGHTEST FUTURE DAYS ahead...don't deal with PAST...but keep it as a referrence in case...!!!
Hellow, be blessed, CHEERS....& Goodbyeeeee....!!!!