Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,267
- 144,418
Jibu hoja
Nawe jibu hoja.
Jibu hoja
Nawe jibu hoja.
huna hoja tena
We unayo?
pole sana mkuu kwa kupitwa na huo mnakasha,uzuri wa JF huwa hakifutwi kitu,labda kiwe kimeenda/kilienda kinyume na sheria/kanuni za forums.mnakasha huu HAPA. upitie post kwa post.utaelimika pia.
Yaani wewe nashindwa hata kukushangaa ... kwa kifupi usimdharau usiemjua.
Unapenda kujisifia vitu ambavyo na vyenyewe huvijui
Mimi sijakujibu hoja yako hata moja juu ya masuala ya Energy kwa sababu nimeziona hazina mashiko. Unaongea vitu usivyovijua. Nimeona tu unabishana na member mmoja hapa unamwambia sijui unajua Texas sijui nini sasa ili iweje?
Kama ni masuala ya Mafuta na gesi nayajua vilivyo! ... sikukujibu tu kwa sababu niliona utanipotezea muda. Tunajua hayo Mafuta na gesi na Geopolitical effects zake katika mabara yote ... wewe unaongelea Marekani tu!
Ukiona watu wamekaa kimya usione kuwa hawajui ... nyie ndio kama kina Macain ambao walienda kuwashawishi nchi ya Bulgaria waucheleweshe mradi wa gesi wa South Stream ili usipite Bulgaria kwenda Europe na matokeo yake ili kulazimisha ubakie Ukraine!
Wamewatisha viongozi wa Bulgaria wakakubali baada ya kununua hisa ya kampuni ya gesi ya Ukraine mkaona mradi ukihama mtakosa hela yenu! - then what happened? - mwenye gesi yake (Russia) akaamua ku-cancel mradi mzima sasa wakaanza kulia eti siyo fair! - hiyo ni kwa sababu hamjui hata geopolitics za gas! - ndio watu kama nyie. Nilipoona unaongea vitu usivyovijua nikaamua nikuache tu nisikujibu. Haya sasa South Stream imekufa na mtoto wa Biden hana kazi kwenye ile Kampuni aliekuwa anaiongoza - mambo yamehamia Turk Stream! alafu mmeanza tayari kumuita Rais wa Turkey eti Dictactor - kisa hatekelezi matakwa ya US! - enzi za nchi kutekeleza kila anachotaka Marekani blindly zinafikia mwisho!
Unajidai wewe sijui ni Pilot, ooh mara najua masuala ya ndege mara sijui nipo na-fly, punguza mbwembwe - mwenzio alikuwa anaendesha ndege yenye thamani ya almost 2 bil dollars - ndege ambayo wewe mpaka unakufa huwezi kuiendesha lakini jamaa alityunguliwa na akaenda kumuona aliemtungua na akampa heshima yake - hayo ndio maisha - sasa wewe mara ooh! najua sana, mara sijui nini, kama ungekuwa mtu makini ungetulia usikilize hoja, pinga constructive ujue zaidi!
Yaani ukitaja kitu unafikiri wewe ndio wa kwanza kujua huku duniani, eti AIPAC wewe ndio umeitaja - kwanza AIPAC yenyewe unaonekana umeijua juzi juzi tu - kama kweli unaijua AIPAC basi niambie ni nani / Institutions zipi zinazoi-control hata hiyo AIPAC yenyewe? au wewe unajua AIPAC tu? - ukinijibu hapo ndio ntaona kama kweli unaweza kujadiliana na mimi kama huwezi basi mimi ntahamia kwenye mada nyingine - wewe ndio hujui kitu alafu unakuwa na jazba
teh teh teh huyo jamaa ni mtupu kichizi, rubani sio ishu ya kuzungumzia humu JF labda aende huko kwa mwakareli. Ndio tatizo la kusomea ukubwani,anakuwa kama limbukeni flan hivi..
Hata nikiwaambia ni kazi bure maana tayari mshaamua misimamo.
Tuendeleeni tu na ligi na unazi.
Sijali anakoyatoa hayo mapicha. Kwangu ni vurugu tu.
Walau angekuwa hata anaweka viunganishi tu basi, ingetosha.
Na nyie mmebaki kuwa cheerleaders wa dotworld tu.
Shameful.
Mtupu, ni ww, ENSLAVED in DARK MIND...!!! Kwa ujinga wenu, you plus others, umeingizwa mkenge sbb
ww ni KENGE...mnadanganywa na hamjui kitu...very hooligans...!!!
I repeat, KENGE ww ndio empty headed...!!! Naongelea UKENGE wako KIAKILI....sio in Physic appearance...!!! UPSTAIRS ww ni KENGE...!!! Ur lucky being born HUMAN BEING, but with MIND ya KENGE...!!! So sbb we are living using our MIND, hence ur KENGE...!!!
Aah umekutanA na kigingi Kaka, utang'oa mguu ukikazana kupiga mashuti, kubali tu kwenye mjadala huu ushindi haujawa kwako na ndo uungwana huo mjomba
Mtupu, ni ww, ENSLAVED in DARK MIND...!!! Kwa ujinga wenu, you plus others, umeingizwa mkenge sbb
ww ni KENGE...mnadanganywa na hamjui kitu...very hooligans...!!!
I repeat, KENGE ww ndio empty headed...!!! Naongelea UKENGE wako KIAKILI....sio in Physic appearance...!!! UPSTAIRS ww ni KENGE...!!! Ur lucky being born HUMAN BEING, but with MIND ya KENGE...!!! So sbb we are living using our MIND, hence ur KENGE...!!!
teh teh teh punguza jazba, jaribu kutumia lugha moja kama kiingereza au kiswahili sio unaleta kiingereza chako cha bashasha hapa. Kuanzia hapo ndio ntakujibu..
Huh!, yamekuwa haya?!, oh no, someone is pisssed!, you all!
Jamani, halafu topic ilikuwa imenooga!
I went OFF track, to humiliate one guy...to make him/her HUMAN minded...!!! Coz haelewi, is like NEGOTIATING WITH TERRORISTS...!!! How can u do tht...!!!?
Dotworld moja ya Watu wanaojua kujenga hoja...Yaani wewe nashindwa hata kukushangaa ... kwa kifupi usimdharau usiemjua.
Unapenda kujisifia vitu ambavyo na vyenyewe huvijui
Mimi sijakujibu hoja yako hata moja juu ya masuala ya Energy kwa sababu nimeziona hazina mashiko. Unaongea vitu usivyovijua. Nimeona tu unabishana na member mmoja hapa unamwambia sijui unajua Texas sijui nini sasa ili iweje?
Kama ni masuala ya Mafuta na gesi nayajua vilivyo! ... sikukujibu tu kwa sababu niliona utanipotezea muda. Tunajua hayo Mafuta na gesi na Geopolitical effects zake katika mabara yote ... wewe unaongelea Marekani tu!
Ukiona watu wamekaa kimya usione kuwa hawajui ... nyie ndio kama kina Macain ambao walienda kuwashawishi nchi ya Bulgaria waucheleweshe mradi wa gesi wa South Stream ili usipite Bulgaria kwenda Europe na matokeo yake ili kulazimisha ubakie Ukraine!
Wamewatisha viongozi wa Bulgaria wakakubali baada ya kununua hisa ya kampuni ya gesi ya Ukraine mkaona mradi ukihama mtakosa hela yenu! - then what happened? - mwenye gesi yake (Russia) akaamua ku-cancel mradi mzima sasa wakaanza kulia eti siyo fair! - hiyo ni kwa sababu hamjui hata geopolitics za gas! - ndio watu kama nyie. Nilipoona unaongea vitu usivyovijua nikaamua nikuache tu nisikujibu. Haya sasa South Stream imekufa na mtoto wa Biden hana kazi kwenye ile Kampuni aliekuwa anaiongoza - mambo yamehamia Turk Stream! alafu mmeanza tayari kumuita Rais wa Turkey eti Dictactor - kisa hatekelezi matakwa ya US! - enzi za nchi kutekeleza kila anachotaka Marekani blindly zinafikia mwisho!
Unajidai wewe sijui ni Pilot, ooh mara najua masuala ya ndege mara sijui nipo na-fly, punguza mbwembwe - mwenzio alikuwa anaendesha ndege yenye thamani ya almost 2 bil dollars - ndege ambayo wewe mpaka unakufa huwezi kuiendesha lakini jamaa alityunguliwa na akaenda kumuona aliemtungua na akampa heshima yake - hayo ndio maisha - sasa wewe mara ooh! najua sana, mara sijui nini, kama ungekuwa mtu makini ungetulia usikilize hoja, pinga constructive ujue zaidi!
Yaani ukitaja kitu unafikiri wewe ndio wa kwanza kujua huku duniani, eti AIPAC wewe ndio umeitaja - kwanza AIPAC yenyewe unaonekana umeijua juzi juzi tu - kama kweli unaijua AIPAC basi niambie ni nani / Institutions zipi zinazoi-control hata hiyo AIPAC yenyewe? au wewe unajua AIPAC tu? - ukinijibu hapo ndio ntaona kama kweli unaweza kujadiliana na mimi kama huwezi basi mimi ntahamia kwenye mada nyingine - wewe ndio hujui kitu alafu unakuwa na jazba
You really went off mkuu!,....most important ni kuelimishana na kueleweshana, and you don't have to use such strong words as they don't really serve a purpose at least in most cases. Najua wengi wetu tumejifunza mengi from this particular topic, and especially from you and Dotworld the way you guys have been going back and forth on each other. You both seem to be brilliant individuals and you can always learn a thing or two from each other even if you differ ideologically.

Kigingi gani? Na kiko wapi hicho kigingi?
Mimi sishindani na mtu hapa na sikujiunga ili kushindana.
Sasa hayo mambo ya ushindi sijui wewe unayatoa wapi.
Kama kuna anaye au wanaoshindana na mimi basi wanafanya hivyo bila utanabahi wangu na kusema kweli wala sijali.
Nachangia mawazo yangu vile nionavyo yafaa.
Baada ya kusema hayo, wewe endelea kuwa mshabiki tu maana yaelekea ndicho unachokiweza.
Mengine yapo juu ya bichwa lako.
Mtupu, ni ww, ENSLAVED in DARK MIND...!!! Kwa ujinga wenu, you plus others, umeingizwa mkenge sbb
ww ni KENGE...mnadanganywa na hamjui kitu...very hooligans...!!!
I repeat, KENGE ww ndio empty headed...!!! Naongelea UKENGE wako KIAKILI....sio in Physic appearance...!!! UPSTAIRS ww ni KENGE...!!! Ur lucky being born HUMAN BEING, but with MIND ya KENGE...!!! So sbb we are living using our MIND, hence ur KENGE...!!!
Ha! ha! ha! ... Mkuu kui tumeshamzoea huyo Mr Prez ... hatupi shida!! ... wenyewe wakiongeza vituko na sisi tunazidi kutetea points zetu ... wala hututingishiki! ... Teh! teh! teh!!
Usijali Mkuu Mr Prez ... mimi kwangu hiyo haina tatizo!True...I deeply beg SORRY for Maziku Jr...!!!
I blasted & busted at him, tht WAS MY WEAK SIDE as a human being...!!! salute u...!!!
To SAY SORRY doesn't mean always some one is WRONG, & UR RIGHT...sometimes YOU SHOW UR MATURED, TRUE AND CARE ABOUT OTHERS....and tht is ***** LOVE****
Heartly Sorry Maziku jr...!!!