US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Kitila ndugu yetu politics za US sio typical za kibaguzi kama unavyofikiria,ubaguzi upo lakini not to that extent,na yanayoendelea kwenye nyumba za wamarekani sasa hivi kutokana na policy za GOP mungu anajua,Clinton ni very strong na ni mzungu,kwanini asimmalize Obama basi? unachoona sasa ndio hiyo hiyo pattern utakayoona Nov,Obama is fine na atashinda na akishindwa ni kama election nyingine tuu na wala hakuna cha ajabu.
 
Kitila,

Unachozungumzia sidhani kama ni kweli , kama kweli Rush alikuwa anataka Obama ashinde kwa sababu itakuwa simple kumwondoa then kwa nini aliwashawishi wasikilizaji wake wa Texas wampigie kura mama? Ninachojaribu kusema ni kuwa hakuna mtu yeyote anayejua fate ya hii election na pia Obama sio simple kama watu wengi wanavyofikiri hapa.

Kitu kikubwa hapa wamarekani wameonyesha ya kuwa wanaweza kumchagua mtu regardless ya rangi yake . Hivi kweli nchi za ulaya kama Uingereza mtu wa color anaweza kufikiria kuwa waziri mkuu ? Na ndio maana watu wengi wa europe are not rooting for obama because they are scared of trickle down effect ... just kidin'
 
Kitila ndugu yetu politics za US sio typical za kibaguzi kama unavyofikiria,ubaguzi upo lakini not to that extent,na yanayoendelea kwenye nyumba za wamarekani sasa hivi kutokana na policy za GOP mungu anajua,Clinton ni very strong na ni mzungu,kwanini asimmalize Obama basi? unachoona sasa ndio hiyo hiyo pattern utakayoona Nov,Obama is fine na atashinda na akishindwa ni kama election nyingine tuu na wala hakuna cha ajabu.

Bado watakaosema kashindwa kwa sababu ni mweusi...je wewe utakuwa mmoja wao?
 
Nyani Ngabu,Kitila Mkumbo,Field Marshall ES,Koba,

..kuna wanaodai kwamba mara nyingi candidates hawana ugomvi baina yao. wenye matatizo, na wanaochukulia mambo personal, ni staffers na wapambe.

..kina Clinton wali-fundraise for Obama na hata Duvall Patrick. actually Duval alikuwa appointed na Clinton kwenye ofisi ya US-AG. kuna wanaodai alikuwa very controversial[sikubaliani nao] ktk masuala ya affirmative action.

..kwa kipindi kirefu Democrats wamekuwa wakimtegemea Bill Clinton ktk kuchangisha fedha. Bill kwa kipindi kirefu amekuwa kama ndiyo King Maker wa Democrats.

..CLINTON MACHINE ni dhana inayotokana na kipengele cha hapo juu; kwamba Bill Clinton na Hillary wana nafasi nzuri ya kurudishiwa fadhila na watu ambao wamekuwa wakiwasaidia KISIASA kwa muda mrefu sasa.

..Vilevile Hillary anapodai ana uzoefu wa miaka 35, ni pamoja na kufanya kazi ktk campaign za wagombea wengine wa Democrats. Bill na Hillary wameanza zamani sana shughuli hizi. toka wakiwa college.

..pamoja na hayo inaelekea kulikuwa na MACHINES nyingine zaidi ya hii ya Clinton. Kwa kila Democrats aliyefadhiliwa na kina Clinton, basi kuna mwingine aliyeukosa msaada wao. tena inawezekana alistahili zaidi.

..wale ambao hawakusaidiwa na kina Clinton ndiyo sasa wanamsaidia Obama. wengi hatukujua wako wengi kiasi gani.

..wengi tulibweteka kuamini kwamba kila Democrat anampenda Bill na Hillary. ukweli ni kwamba wako Democrats wengi tu, tena well established, ambao wanatofautiana na kina Clinton in a very fundamental and personal way. they just needed the right opportunity to come out their 'closets.'
 
Great and informative piece, makes a lot of sense! Umenisaidia sana, maana huwa najiuliza kila siku huyu Bill ambaye enzi za urais wake alionekana kupendwa iweje achukiwe kiasi hiki na ghafla namna hii? Kwa hiyo tunarudi kulekule, wanawachukia akina Clintons kwa sababu zao binafsi na wanaonekana kumpenda Obama sio kwa kuamini kwamba anafaa, lakini kwa kuwakomoa akina Clintons, sasa hapa ndio wengine pamoja na uweusi wetu tukaamua kumuunga mkono dada Hillary.
 
Jamani ee tulizeni mizuka, ngoma bado mbichi hii, si Hillary wala si Obama ambaye ameshapata nomination mkononi, it's going to go down to the wire, ila ukweli ni kwamba mama ana kazi ya ziada kukusanya delegates kumzidi Obama.

Another thing, Obama is not as naive as some might have us believe, (infact si ajabu ndivyo Hillary alivyodhani wakati hii ngoma inaanza kuja kushtuka Obama kachukua IA, ndio akaamka akaona ohoo hii kauli mbiu ya change inalipa akaitumia pamoja na machozi na yeye akapeta NH), he knew what he was getting himself into, didn't he say going against the Clinton machine is no cakewalk? So he's prepared, I believe, hajashtukizwa wala hajakurupuka kugombea labda Clinton campaign ndio walidhani hivyo, no wonder wengine wameachia ngazi ama wametimuliwa! If anything Hillary underestimated Obama from the get go, now she's got to play catchup meanwhile Obama shouldn't be snoring if he is to finish strong.

Vilevile tusisahau bado kuna McCain na genge lake ambao wanachukua notes tu saa hizi pamoja na sera za vita vya miaka 100, (who knew Bush angechukua tena the 2nd time around pamoja na Kerry kuwa vet?This is for those who hold McCain's war hero experience as some trump card, and yeah I know Kerry's swiftboat bit, but he was, compared to Bush ambaye hata jeshi lenyewe alijongojongo kimtindo...) si ajabu akaingia white house kwa nafasi na huo ndio wasiwasi wangu mimi, miaka mingine minne ya Republicans!
 
Nyani Ngabu,Kitila Mkumbo,Field Marshall ES,Koba,

..kuna wanaodai kwamba mara nyingi candidates hawana ugomvi baina yao. wenye matatizo, na wanaochukulia mambo personal, ni staffers na wapambe.

..kina Clinton wali-fundraise for Obama na hata Duvall Patrick. actually Duval alikuwa appointed na Clinton kwenye ofisi ya US-AG. kuna wanaodai alikuwa very controversial[sikubaliani nao] ktk masuala ya affirmative action.

..kwa kipindi kirefu Democrats wamekuwa wakimtegemea Bill Clinton ktk kuchangisha fedha. Bill kwa kipindi kirefu amekuwa kama ndiyo King Maker wa Democrats.

..CLINTON MACHINE ni dhana inayotokana na kipengele cha hapo juu; kwamba Bill Clinton na Hillary wana nafasi nzuri ya kurudishiwa fadhila na watu ambao wamekuwa wakiwasaidia KISIASA kwa muda mrefu sasa.

..Vilevile Hillary anapodai ana uzoefu wa miaka 35, ni pamoja na kufanya kazi ktk campaign za wagombea wengine wa Democrats. Bill na Hillary wameanza zamani sana shughuli hizi. toka wakiwa college.

..pamoja na hayo inaelekea kulikuwa na MACHINES nyingine zaidi ya hii ya Clinton. Kwa kila Democrats aliyefadhiliwa na kina Clinton, basi kuna mwingine aliyeukosa msaada wao. tena inawezekana alistahili zaidi.

..wale ambao hawakusaidiwa na kina Clinton ndiyo sasa wanamsaidia Obama. wengi hatukujua wako wengi kiasi gani.

..wengi tulibweteka kuamini kwamba kila Democrat anampenda Bill na Hillary. ukweli ni kwamba wako Democrats wengi tu, tena well established, ambao wanatofautiana na kina Clinton in a very fundamental and personal way. they just needed the right opportunity to come out their 'closets.'

Thanks Jokakuu,

Katika hao wanaotofautiana na the Clintons wapo, the Kennedys come to mind as I am typing this, I know there are others, I am not sure where Al Gore stands in this, could it be one of the reasons why he didn't bother running again this time around?
 
Kitila,

..siyo wote wenye chuki binafsi na kina Clinton. wengine wana tofautiana nao kiitikadi.

..mfano mdogo: Clinton alipoingia madarakani Democrats walipoteza majority ktk Congress. hii ni kipindi kile Newt Gingrich na kundi lake. sasa wapo democtrats wanaolaumu tukio hilo la kwa siasa na sera za Bill Clinton.

..kumbuka kwamba chama kikipoteza majority ktk congress na senate, basi kimepoteza nafasi ya ku-advance its political and social agenda.

..pia kuna liberals ambao walikuwa disappointed na Bill Clinton na tactics zake za kisiasa. kuna mambo ambayo aliyafanya yalikuwa kinyume na itikadi za ma-liberal wa US.

NB:

..kilichonishtua mimi ni FAULO zinazotumiwa na wale wasiomtaka Hillary Clinton.

..specifically, nilichukizwa na jinsi walivyompakazia Bill Clinton ati ni RACIST. yaani wali-ignore his whole record and body of work na weusi wa Marekani.

..Bill Clinton akiwa Raisi alianzisha Commision ya ku-encourage a constructive dialogue on race. sasa media networks ku-distort na kuanza kumshambulia ati ni racist ilinishangaza sana.

..Vilevile Clinton ndiye Raisi aliyeomba radhi kutokana na ile experiment ya syphilis kwa watu weusi.

..mwisho wa sakata hii ni Hillary Clinton kwenda ku-plead mbele ya mkutano wa weusi in New Orleans.
 
Wengi wanaosema Bill na Mama ni wabaguzi ni weusi ambao nao ktk kufanya hivyo wanaonyesha ubaguzi wao. Obama angekuwa mzungu wala usingewasikia weusi wanasema Bill na Mama ni wabaguzi.

Sijui uko wapi lakini hapa nilipo nasikiliza black talk radio na wapigaji simu wengi wanasukumwa na hisia na si ukweli wa mambo wala akili. Wanavyomzungmzia Hillary utadhani yuko GOP.

Michelle Obama keshasema atafikiria mara mbili mbili kumpigia kura Clinton kama mume wake asipopata uteuzi. Ina maana Bill naye asimpigie kampeni Obama kama mke wake asipopata nomination? Au Bill na Mama wasimpigie kura Obama kwenye uchaguzi mkuu kama akipata uteuzi? Michelle Obama alionyesha ujinga wa hali ya juu aliposema hayo...
 
Mwakilishi,

..Al Gore alikuwa na wakati mgumu kidogo. kwa upande mmoja alikuwa hataki kuwa associated na scandals za kimaadili za Clinton. halafu upande wa pili anataka awe associated na economic prosperity during that time.

..wengine wanamlaumu kwa kushindwa kwake kushinda his home state Tennessee. angeshinda huko Florida ingekuwa irrelevant.

..Al Gore angegombea kungekuwa na msuguano mkali kati yake na Hillary. Kwasababu wote si wangekuwa wana-run on Clinton's legacy?

..Kuna uwezekano Hillary amemuwahi Al Gore. Au labda Al Gore is more comfortable with his new role ktk masuala ya mazingira.
 
Shukrani kwa shule hiyo Joka kuu, nimekupata vema.

Shukrani Nyani, kwa kuraise hiyo point ya Michelle Obama, yeah ni kweli that wasn't the smartest thing to articulate, and there might be many who have the same thinking, may I also point out that on the flip side there are those who've said they would vote GOP if Obama gets the nomination. Infact, didn't someone in JF actually say they would "switch" camps if Obama got the nomination instead of Hillary? No need to name names now!
 
Nyani Ngabu,

..Nina mashaka makubwa kama Hillary atashinda hii nomination.

..Lakini nadhani wengi tutakubaliana kwamba media imekuwa very critical and unfair kwa Hillary.

..may be the liberal media is doing its "duty." kwamba Obama sasa ndiyo mrithi wa uongozi na torch bearer wa Democrats, hivyo wanapaswa kumuandika vizuri.

NB:

..naona hata kutamka jina Hussein imekuwa kama taboo. mbona kuna King Hussein wa Jordan alikuwa akiingia white house kama msalani?

..au lile vazi la Kisomali. they report it as an "african garb."

..ukikuta charges dhidi ya Hillary hakuna aliyeko tayari kumtetea.
 
Shukrani kwa shule hiyo Joka kuu, nimekupata vema.

Shukrani Nyani, kwa kuraise hiyo point ya Michelle Obama, yeah ni kweli that wasn't the smartest thing to articulate, and there might be many who have the same thinking, may I also point out that on the flip side there are those who've said they would vote GOP if Obama gets the nomination. Infact, someone in JF actually said they would "switch" camps if Obama got the nomination instead of Hillary, no need to name names now!

Yes, I know that is me. But I didn't say I would vote either. However, my frustration with these other so called Democrats is they are not about the core values. They are about style and personalities. At the end of the day when you hear a candidate's spouse saying she won't vote for the party's standard bearer if it's not her husband then that brings about questions about that person's Democratic credentials.

I agree with Hillary. The party, at the end of the day, should unite and rally around/ behind whoever is the nominee. Do you agree or not? I do.

See, one of the Ronald Reagan's rules of politics was 'thou shalt not speak ill of another Republican'....why can't that rule be applied to the Democrats? I don't like the way Mama has been vilified and demonized. I don't like her and her husband being branded 'racists'. That is uncalled for no matter which way you spin it.
 
Nyani mkuu,

I completely agree that dems should rally around whoever gets the nomination, but from the way things look right now I don't see that happening, I sincerely hope I'm wrong!

I think the media has been unfairly critical of Hillary in an attempt to ensure Obama wins the nomination, since the GOP perceives(or perhaps, perceived?) him to be less of a threat as compared to the good senator from New York, again this is just me and what I think!

I also think the idea of having Bill Clinton in her corner has helped her as much as it has hurt her, I mean if it was some lady senator from whatever state, not connected to Mr. Clinton, I don't think she would've gotten this far! I mean there are other women senators probably with equally good if not better resumes that aren't in the running! So, she's got to roll with the punches as it were, and she ain't naive either, she knows it's on!
 
....? I don't like the way Mama has been vilified and demonized. I don't like her and her husband being branded 'racists'. That is uncalled for no matter which way you spin it.

...aiseeh na wewe sasa ngoja tukuache tuu maana huo uwongo wako sasa hauna maana,au unafikiri hizi campaign unafuatilia peke yako? Obama hajasema kitu chochote kibaya kuhusu huyu mama lakini 24/7 mama yuko busy to attack Obama na hicho ndio kina piss off watu wengi na kibaya zaidi sasa anataka change rules of the game at the middle,nakuambia wakijaribu kufanya wanachotaka huko Fl na MI itakuwa civil war ndani ya Dems na guarantee babu atashinda na Clinton atapoteza hata senate sit ya NY,na kama hujaona racism from Clinton campaign basi yaishe ila kumbuka ile picha ya Somalia waliyotuma clinton ilikuwa na maana gani na vipi ile picha inacirculate sasa kwenye internet ambayo shows Obama more darker,you just dont get it,mama inabidi a play fair la sivyo hata akipata nomination damage itakuwa kubwa sana kwa yeyote kushinda from Dems.
 
Mjadala umekuwa mzuri sasa ngoja nimalizie kusoma posts zote...

hii kesi ya Vin Gupta ndio inaanza kuunguruma..

SEC EYE ON HILL $$ MAN

By DAPHNE RETTER, Post Correspondent

November 22, 2007 -- WASHINGTON - Federal investigators are probing a company run by a wheeler-dealer pal of Hillary and Bill Clinton that has already been accused by stockholders of wasting millions on the former first couple, it was revealed yesterday.

InfoUSA, a database marketing company founded and headed by Clinton friend and megadonor Vin Gupta, filed papers with the Securities and Exchanges Commission. The filing said that the company would comply with the SEC's efforts to obtain records related to its corporate spending and trades of some company stock.

Those SEC requests would suggest that the pending investigation parallels two lawsuits already filed against Gupta for sinking company dollars into lavish purchases - like a 80-foot yacht and real estate in vacation spots.

The lawsuits, filed by two hedge funds, revealed that Gupta sprung for almost $900,000 in jet rides on the company dime for both Clintons since 2001, and a $3.3 million consulting contract for the former president.

Additional allegations against Gupta include one that he improperly awarded 100,000 share options to Bill Clinton without board approval.

The company has denied those allegations.

The company did not respond to requests for comment on the investigation.

The Clintons have a well-documented relationship with Gupta, who reportedly named schools after both Hillary Rodham Clinton and her husband in India.

Bill Clinton lavished praise on InfoUSA for its nondiscriminatory hiring policies in his book on charity, called "Giving."

An employee of a subsidiary of InfoUSA told ABC News that the firm had put up for sale portions of a secret list of donors who helped Bill Clinton build his $165 million presidential library. Clinton had previously protected the identity of those donors, saying that many of them wished to remain anonymous.

Blake Zeff, a spokesman for Hillary Clinton, said the campaign would not comment on the investigation of the one-time family booster.

dretter@nypost.com
 
Nyani mkuu,

I think the media has been unfairly critical of Hillary in an attempt to ensure Obama wins the nomination, since the GOP perceives(or perhaps, perceived?) him to be less of a threat as compared to the good senator from New York, again this is just me and what I think!

..another myth AKA cry baby ya ku play victim wa media na nyie mnaamini tuu,Obama run good & clean campaign ndio maana anashinda ila sasa mama kaanza uchafu ambao ndio utammaliza mwenyewe kama sio Democratic party.
 
Comments za Limbaugh...

(CNN) — Many Democrats have called the prospect of Hillary Clinton and Barack Obama teaming up for the general election a "dream ticket."

But conservative talk radio host Rush Limbaugh said Wednesday a presidential ticket that included a "woman and a black" doesn't "have a prayer."

"Let's say it is Obama and Hillary…Let's put Hillary at the top — That's a position she's familiar with," Limbaugh said on his radio show Thursday. "Therefore, you've got a woman and a black for the first time ever on the Democrat ticket. Ahem. They don't have a prayer."

Donna Brazile, Al Gores former presidential campaign manager, called the comments "un-American."
 
Nyani Ngabu,Kitila Mkumbo,Field Marshall ES,Koba,

..kuna wanaodai kwamba mara nyingi candidates hawana ugomvi baina yao. wenye matatizo, na wanaochukulia mambo personal, ni staffers na wapambe.

..kina Clinton wali-fundraise for Obama na hata Duvall Patrick. actually Duval alikuwa appointed na Clinton kwenye ofisi ya US-AG. kuna wanaodai alikuwa very controversial[sikubaliani nao] ktk masuala ya affirmative action.

..kwa kipindi kirefu Democrats wamekuwa wakimtegemea Bill Clinton ktk kuchangisha fedha. Bill kwa kipindi kirefu amekuwa kama ndiyo King Maker wa Democrats.

..CLINTON MACHINE ni dhana inayotokana na kipengele cha hapo juu; kwamba Bill Clinton na Hillary wana nafasi nzuri ya kurudishiwa fadhila na watu ambao wamekuwa wakiwasaidia KISIASA kwa muda mrefu sasa.

..Vilevile Hillary anapodai ana uzoefu wa miaka 35, ni pamoja na kufanya kazi ktk campaign za wagombea wengine wa Democrats. Bill na Hillary wameanza zamani sana shughuli hizi. toka wakiwa college.

..pamoja na hayo inaelekea kulikuwa na MACHINES nyingine zaidi ya hii ya Clinton. Kwa kila Democrats aliyefadhiliwa na kina Clinton, basi kuna mwingine aliyeukosa msaada wao. tena inawezekana alistahili zaidi.

..wale ambao hawakusaidiwa na kina Clinton ndiyo sasa wanamsaidia Obama. wengi hatukujua wako wengi kiasi gani.

..wengi tulibweteka kuamini kwamba kila Democrat anampenda Bill na Hillary. ukweli ni kwamba wako Democrats wengi tu, tena well established, ambao wanatofautiana na kina Clinton in a very fundamental and personal way. they just needed the right opportunity to come out their 'closets.'

Joka Kuu, what you say is true but you fail to mention the DLC in this case yaani Democratic Leadership Council na cronies wa Bill Clinton ambao ndo walikuwa wanahakikisha that Bill remains Kingmaker. Hiyo ya kusema kwamba some democrats were waiting to come out of the closet is not true kwa sababu wapo wengi tu waliowa-oppose Clinton, DLC and their cronies openly mfano mzuri ni Howard Dean mwaka 2006 alipokuwa anagombania kiti cha uenyekiti wa chama cha Democrat. John Kerry pia hakupata msaada wa akina Clinton directly.
Hillary has been plotting her way back to the WH since 2000 and it was an open secret. And Americans hate dynasties. Kumbuka Obama alipotangaza lengo la kugombania the next Hillary who was always friendly alimpita bila kumsalimia because she felt ít was her turn'
Hillary hajaonewa na media in fact they have been too soft with her. Most of the so called media pundits are ex-Clinton staffers or DLC members. But I tell you, Clintons have never been and will never be VICTIMS. They are predators who want to win at all cost. It is ok, lakini kuplay this victim card doesn't suit Hillary or Bill.
 
Nyani Ngabu,

..Nina mashaka makubwa kama Hillary atashinda hii nomination.

..Lakini nadhani wengi tutakubaliana kwamba media imekuwa very critical and unfair kwa Hillary.

..may be the liberal media is doing its "duty." kwamba Obama sasa ndiyo mrithi wa uongozi na torch bearer wa Democrats, hivyo wanapaswa kumuandika vizuri.

NB:

..naona hata kutamka jina Hussein imekuwa kama taboo. mbona kuna King Hussein wa Jordan alikuwa akiingia white house kama msalani?

..au lile vazi la Kisomali. they report it as an "african garb."

..ukikuta charges dhidi ya Hillary hakuna aliyeko tayari kumtetea.

Joka Kuu, sasa umeanza kuspin! Jina la Hussein siyo taboo, ni ile intention. kama yule radio talk host Bill Cummings or whatever his name alivyosema openly kwenye rally ya McCain, he is a closet Muslim who wants to hand the country to terrorists. Don't pretend as if there's no 'malignant'intention to mention Hussein over and over again. kwani Hillary anakuwa mentioned kama Rodham? Get real! Hussein is not only King of JOrdan but most importantly it is the name of Saddam Hussein! Vazi la Kisomali can now be traced back directly to the Clinton aide. Wao wanadai hakupewa maelekezo, but PLZ! Unasema hakuna aliyeko tayari kumtetea Hillary, in what? What similar situation was our 'poor poor'Hillary in? Come on!
 
Back
Top Bottom