1. I mean kama unazifahamu siasa za US ukweli ni kwamba sasa ndio uchaguzi umeanza rasmi, Jaluo was too naive kuamini kuwa The Clintons wata-go quitely, wakati Hillary anasema kila wakati kwenye kampeni kuwa ameishi all her life for this.
2. Jaluo kwenda negative, ni ku-fall kwenye mtego wa the Clintons ambao hataweza kuutoka akiwa na ushindi, tayari jana Hillary ameshaanza kuongelea tiketi na Jaluo as a mate, unafikiri ameona nini huyu mama?
3. The free media ride imeisha kwa Jaluo, it was too good to be true, uzuri na uchafu wote wa mama kisiasa unafahamika, lakini wa Jaluo ndio kwanza unaanza kutoka, kule Chicago ndio kwanza wameanza kum-prosecute rafiki wa Jaluo, hivi kwani ilibidi lazima hiyo kesi ifanyike sasa wakati wa uchaguzi tena wakati Jaluo anaongoza?
4. Halafu kuna guilty by association, hivi ni mzungu gani wa US atampa Jaluo urais, huku akijua kuwa ni Jaluo anaungwa mkono na Jesse Jackson, Luis Farrakhan, na Sharpton? Na kwamba akipata urais kuna possibility kuwa hawa watatu watakuwa wakiingia na kutoka White House anytime?
5. Jaluo amenisikitisha sana maana kumbe na yeye ni kama sisi tu Africans, hakuwa na plan B, hao kina Clintons wanazo plan A, B, na C yes, si unaona wanavyo-switch from one to another!
I mean we love Jaluo, lakini things are not what they were three days ago, na kwetu weusi either now with Jaluo or never! Reading between the lines I am lost, nimeishiwa imani unless a miracle itokee!
That is me reading between the lines toka juzi.
Mkuu salamu kwanza!
Naomba kwanza uelewe kwamba unachosoma na kusikia is a lot of spin, but inabidi kuchambua kidogo.
1.Jaluo is not naive and he did not think Clintons will go quietly. Mashabiki wake ndo tulidhani hivyo. Alisema even before "Remember New Hampshire". But also kumbuka ushindi wa Mama unaoshangiliwa sana na akina Nyani is not half as meaningful as New Hampshire, here is why as the main stream media has finally woken up and smelled the coffee:
The results enabled Clinton to reclaim momentum after losing 12 straight nominating contests to Obama. However, Obama maintained his delegate lead with fewer chances remaining for Clinton to catch up.
2. Jaluo haendi 'negative' but he is responding. Going negative ni kama umekuwa unprovoked na ukamshambulia mtu au ku-leak vijistory kama ile ya Muslim myth au NAFTA (see my previous post) etc. Jaluo amesema wazi kwamba Clinton amesema kwamba she has been vetted, sasa vetting ya kwanza ni release of Tax returns. FYI Clinton hajarelease since 2000 walivyoondoka White House, ametoa 'financial information' lakini there's a lot of information missing. Another argument from Obama ni kwamba amesema she's ready and more experienced in National Secutiry azitaje achievements zake na experience. Akaanza kutaja Ireland Peace na Kosovo! Sasa jamani hiyo ni kweli? Maana dili zote wamefanya akina Holbrooke and others. So, that is what 'negative' inayosemwa but it is mild.
3. Uchafu wote wa Mama haijulikani na kuna vingi ambavyo walianza waandishi lakini hawakumaliza including a CHinese businessman ambapo trial hii ya Nsu inannza October! Kama unafikiri kesi ya Rezko ndo imeanza it is not bad news for Obama maana hamna kipya cha kusema! FYI si Rezko pekee yake on trial bali wapo wengine 5 na kati yao hao 3 wamedonate money to Clinton (Bill) na co-chair wa Clinton! So wait a little when the sh** starts to hit the fan! Why do you think Rush Limbaugh alitaka wasikilizaji wake wampigie kura Hillary:
Tuesday night was a good night for Rush Limbaugh. "I want Hillary to stay in this," he said on Fox News, because "I want the Democrats to lose. They're in the midst of tearing themselves apart right now. It is fascinating to watch, and it's all going to stop if Hillary loses."Limbaugh was interviewed Feb. 29 by Laura Ingraham, guest-hosting on the Bill O'Reilly show on the Fox News Channel.
"If Obama is the nominee, we are doomed, " Limbaugh said on Feb. 6 to a Republican caller to his radio program.
On Fox News, Limbaugh listed "another reason why we need Hillary to stay in:" the Clinton campaign can attack Obama in ways the Republicans cannot. "Who was it that first used Obama's middle name of Hussein? It was not us. It was [Clinton supporter] Bob Kerrey, over and over again, former Democrat Senator of Nebraska."
"Who was it that talked about Obama not just using drugs, as he admitted in his book, but maybe even selling them and dealing them? It was [Bill] Shaheen, Clinton's co-chair in New Hampshire."
4. Issue ya Farrakhan, Jesse Jackson etc, siwezi kulizungumzia but neither can anyone, maana only in Ohio was where 20% of voters said race played an important role in their decision. Jesse Jackson sioni kama ni burden, Farrakhan nadhani has been put to bed maana kwenye debate ya Cleveland ilishaongelewa sana. Swali: who wants to see Mark Penn, Bill Clinton and James Carville again in the White House? Unafikiri GOP hawana file kubwa kuhusu Hillary? They are saving it for the general elections.
5. It is not true that Jaluo has no plan A, B, C,D It is that Clinton does not have plan A,B,C, D mpaka Z
Clinton camp walidhani that after Super tuesday atakuwa the nominee they ran out of steam and money. Ilibidi mama atoe loan (personal) ya 5 m USD. THey have changed their message 5 times since Iowa. They still fighting within the campaign and they are not even sure what helped Hillary win!
Soma washingtonpost:
http://www.washingtonpost.com/wp-dyn/content/article/2008/03/05/AR2008030503621.html
The depth of hostility toward Penn even in a time of triumph illustrates the combustible environment within the Clinton campaign, an operation where internal strife and warring camps have undercut a candidate once seemingly destined for the Democratic nomination. Clinton now faces the challenge of exploiting this moment of opportunity while at the same time deciding whether the squabbling at her Arlington headquarters has become a distraction that requires her intervention.
So let us take a deep breath and put on our thinking cap. Obama alisema tht he works the 50 state strategy. And he insisted that votes matter. it is Clinton anayesema oh, Wyoming doesn't count etc. When the dust settles atajutia hizi states ndogo alizo-ignore maana ndipo Obama alipopata delegate na popular vote leads amabazo sasa ni ngumu kupita.
FMES: kama kweli ni mshabiki wa Jaluo, ngoja kidogo Hillary and co wamalize kushangilia. Tayari media zinazungumza ni jinsi gani ameshindwa kupata ushindi naomba nikupe links uzisome:
HIllary's road to Nowhere:
http://www.huffingtonpost.com/nathaniel-bach/hillarys-road-to-nowhere_b_89942.html
Obama still ahead
http://www.usatoday.com/news/politics/election2008/2008-03-05-obama-delegates_N.htm
Mi naomba niulize if Hillary has thrown the Kitchen sink, table and chairs at Obama, there's nothing left to throw (see above Rush Limbaugh anakiri that Hillary has done the job for them), sasa je Hillary amekuwa vetted? BAAAADOOOO! Naomba kazi ianze!