US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Nyani Ngabu ee wewe Wamarekani si unawajua bwana?! Jina tu inaweza kuwa issue kubwa, mimi nimeona wanasema kabisa hilo jina Obama limekaa kama Osama, na hiyo Hussein inawakumbushia Saddam, yaani utadhani duniani hakuna watu wengine wenye majina hayo isipokuwa wale "maadui" wawili wa Marekani.

My take:

Kumwita kwa majina yake yote siyo hoja, si majina ni ya kwake tatizo liko wapi? Tatizo ni pale unapoyataja kana kwamba unawasisitizia watu "pamoja na mazuri anayosema kumbukeni huyu ni Hussein hana tofauti na yule mbaya wetu mkimchagua shauri yenu". Nadhani ndicho kambi ya Barack Hussein Obama inachokiona hapa, inawezekana they are justified la sivyo wanajiharibia wenyewe!

Kama hataki watu wamwite jina alilopewa na wazazi wake si alibadili basi...? mbona watu wanabadili majina kila siku
 
NYANI! Kabla sijaondoka umeonaje ile picha ya Mama na baba pamoja na besti Rezko?
GT, walidhani umepotea kumbe Obama fans tuko busy tunachimba dataz tu! Asante kwa msaada wa kupost hiyo picha!
Let the discussion continue!
 
Sikujua kama hataki watu wamwite hilo jina, kama ndiyo hivyo basi ana matatizo!
 
Hivi kwa nini Drug addict Cindy huwa anakaa kimya tuu ...
 
Sikujua kama hataki watu wamwite hilo jina, kama ndiyo hivyo basi ana matatizo!

Asikupotoshe huyo rafiki yangu Nyani! Obama hajakataa watu kumwita hivyo hata siku moja na ninakwambia atakapoapishwa President of the US atasema "I, Barack Hussein Obama, solemnly swear..." Kinachogomba hapa ni ile context.
Nyani! Obama hajauza madawa ya kulevya acha kuspin! Amekiri kutumia, but Cindy McCain aliiba madawa (medical) yaani tranquilizers from her OWN charity! Hii ilikuwa ni bonge la scandal! Ndo maana mama kaambiwa akae tu asiongee hovyo. We huoni yuko kama wax statute and then suddenly... she moves! Inatisha!
 
Unajua huu mjadala NN asingekuwepo ungekuwa very boring...kudos kwa NN kwa kusimamia upande wa pili.

Tukirudi kwenye jina la Hussein, nadhani baada ya Sept 11th Wamarekani wamejazwa hofu ya kuwa mtu yoyote mwenye jina la kiislamu au akiwa anavaa turban basi somehow ni terrorist au anajuana na kushirikiana na terrirst. Personally nimeshaulizwa mara nyingi kama ni muislamu na population ya waislamu Tanzania ikoje so wanaomuita Barack Hussein Obama wana ajenda yao ya siri, kama juzi nilikuwa nasoma article ya Ann Coultier kaandika B. Hussein Obama sasa intentions zake hapo zilikuwa nini?
 
Duh! Manaake nshauziwa mbuzi kwenye gunia! Kumbe yeye mwenyewe hajakataa kuitwa hivyo ni maneno tu ya watu!
 
Nyani unanikwaza ndugu yangu nirudi kujibu maoni yako:
Cindy Mccain belongs to the wax museum! She's an addict na full of botox!
Mrs Obama, mtamsema weee but it's not true that she cost votes for Obama, in fact amemsadia sana kupata black women votes. Lakini hata hivyo hayuko visible sana at least not more than Bill. Which brings me to a light touch moment: hasira za Bill ukiweka na hasira za Michelle, hebu imagine wakifanya debate na wote wanavyojua kuchonga.... sipati picha!

Wewe huyu dada anawaua, hata wenzako kule kwenye site ya Obama wamekiri hivyo. Soma hapo chini maoni ya mpenzi mojawapo wa Obama nimeyachota kwenye website yake, ni ya leo haya waki-reflect kipigo cha Ohio na Texas.

Here we go:

"...Today, has been frustrating to me. The ANTI-Obama emails have been coming fast and furious to my email box.

That poor man who could not name his accomplishments- I have received that video 4 times today. My response is to send this video. And finally our future first lady needs to be careful especially with her speech
. Thanks".
 
Asikupotoshe huyo rafiki yangu Nyani! Obama hajakataa watu kumwita hivyo hata siku moja na ninakwambia atakapoapishwa President of the US atasema "I, Barack Hussein Obama, solemnly swear..." Kinachogomba hapa ni ile context.
Nyani! Obama hajauza madawa ya kulevya acha kuspin! Amekiri kutumia, but Cindy McCain aliiba madawa (medical) yaani tranquilizers from her OWN charity! Hii ilikuwa ni bonge la scandal! Ndo maana mama kaambiwa akae tu asiongee hovyo. We huoni yuko kama wax statute and then suddenly... she moves! Inatisha!

Unaona sasa...eti aliiba madawa. Mama wa watu alikuwa na addiction...na hakatai. Sasa tatizo li wapi. Mpeni hongera kwa kuishinda hiyo addiction. Yeye ni binadamu kama mimi na wewe na ana mapungufu yake licha ya kuonekana kama mdoli wa barbie (lol).

Tukianza kutafuta malaika mbinadamu wa kutuongoza hakika hatutampata hata mmoja. Kwa hiyo acheni hayo ya oooh...eti ni drug addict....so what? That was then...she went thru it and overcame it.
 
Bora kimya yake maana hatujamjua kulikoni dada Michelle na kelele zake matokeo yake ndio hivyo tena anamwaga sumu!

Kwa hiyo issue ni kutokujulikana na sio kitendo cha kuiba madawa ... ni mawazo kama haya ndiyo yanayofanya nchi yetu iendelee kuwa masikini . Hivi unajua kama huyu mama angekuwa ni mtu wa kawaida na sio mke wa senator angekuwa jela leo . Sasa unataka kumcompare huyu mama na Michelle ...please give me a break
 
Barack Obama from a Nigerian Blogger

Black Folks:

Don’t vote for Obama because he’s black. By implicating that blacks were voting for Obama just because he’s black, the media is patronizing black people as a whole. As group, black people have shown extremely good judgment as voters. Blacks supported JFK in large numbers, opposed the Vietnam war, opposed Nixon, supported Carter (who in retrospect was an excellent president), opposed Reagan (who despite republicans best efforts to deify him, was an extreme asshole), supported Clinton, and voted against Bush 90-10 and opposed the war in Iraq. Pretty good choices huh?
Still there are some blacks amongst us who are not supporting Obama. This is puzzling why would African Americans vote for a white candidate who is less charismatic, less articulate, less believable who also voted to kill Iraqi civilians for no good reason, sending many young African American soldiers to their death and taking away resources from the victims of Hurricane Katrina. Even if you believe that Hillary Clinton would be an equal president to Obama, think of what a black president could do for our community. Obama would give a hero to young blacks whose only heroes are 50 Cent and Alan Iverson. Maybe more blacks would go to law school, run for office, have dreams of getting into politics, and believe that they could be anything, including president, rather than playing with a basketball all day or rapping and selling crack. Also Clinton (Bill) and by extension Hillary is a racist. After Obama won South Carolina, Bill Clinton said ‘yeah he ran a good campaign, just like Jesse Jackson did in 84 and 88’ Why the **** is he bringing up Jesse Jackson???? What does Obama have to do with Jesse Jackson? What he is really saying is ‘Obama’s a nigger just like Jesse Jackson’s a nigger and like Jesse Jackson he won in South Carolina because there’s lots of niggers here and so did Obama and Just like Jesse Jackson he won’t get votes anywhere else cuz we don’t vote for niggers in the US’ Bill Clinton is not the 1st black president. I was down with bill before he said that. He reminds of the white guy whose real cool with black people until one of them tries to take his job or position, and then they become a nigger to him.


White Folks


1st off imagine that you had a white candidate with Obama’s charisma, qualifications and distinctions and tell me you wouldn’t vote for him. Admit y’all fucked up by getting Bush in office. If it wasn’t for the black vote, Bush would’ve won by a landslide both times. Even if the fact that Hillary voted for the war, or that she has the charisma of a Turtle hasn’t persuaded you vote for Obama, think of this. Both Bushes and Reagan have given white people a bad name across the globe. Given the fact that Obama’s father is from Africa and went to school in Indonesia Obama has the power not only to regain America’s popularity during the Clinton years but also to exceed it. We are competing with Russia and China for influence across the world and the face of America’s president is important. Obama already has a great deal of support around the world and it would be nice to see people across the world cheering for an American president. With his charisma and background, Obama could counter the influence of Islamic-fascism, which is very pervasive in Africa and the Middle East, and encourage those who may have hated the US to join our side.


Women

I feel you: a woman in the White House would be a refreshing change just not Hilary. It is women who feel the pain when their husbands died in Iraq. It is women who feel the pain when their family is killed by an errant predator missile, where is Hillary’s womanly compassion? Wouldn’t it be better to support a woman who earned the presidential nomination without having a famous ex president husband? If not for Bill Clinton would any of us even have heard of Hillary. Wouldn’t it be better to elect a woman who became elected and governed on her own merits, like Nancy Pelosi or Diane Feinstein? If Hillary wins everyone will be saying it’s because of Bill and if she runs the country every one would say that Bill’s still doing it. I think America should and will have a woman president. Oprah would make an excellent candidate (especially if Barrack wins). Angelina Jolie, due to her extensive international activism, also would make an excellent candidate. I doubt anyone would think that Stedman or dumb ass Brad Pitt was secretly running country.


Latinos

I understand that Hillary has been courting the Latino vote very aggressively. Don’t get gassed. If she wins she will turn on you quicker than rattlesnake to win the red states trust me it her m.o. Once she doesn’t need you it's off to do what she can to get elected. Obama is the child of an immigrant and has faced the same color based discrimination that all minorities have gone through in the states. Hillary flip flopped on the issue of drivers licenses for illegal aliens (which makes sense to anyone who’s ever been in a hit and run), and gives the right to drive (very important in America) to millions of undeclared Latinos) While Obama declared that he supported the right for illegals (how can a person be illegal) to drive. Don’t believe the hype once one of y’all try and take a job from the Clintons you’ll become just another spic to them just like Barack became another nigger.
 
Kwa hiyo issue ni kutokujulikana na sio kitendo cha kuiba madawa ... ni mawazo kama haya ndiyo yanayofanya nchi yetu iendelee kuwa masikini . Hivi unajua kama huyu mama angekuwa ni mtu wa kawaida na sio mke wa senator angekuwa jela leo . Sasa unataka kumcompare huyu mama na Michelle ...please give me a break

Hayo madawa aliiba wapi? Rufiji unaniangusha sasa na wewe...yaani imefikia na wewe unaamini spin za kina Susuviri na mwenzie Koba?

Halafu watu huwa hawachagui mke wa mgombea...kumbukeni hilo
 
Nyani ni kweli atuchagui mke wa mgombea lakini lazima vile vile tujue ya kuwa mke wa rais anarole kubwa sana anayoplay katika utawala wa mume wake. Nyani kuhusu huyu mama kuiba madawa mbona hii ishu iko wazi sana , alikuwa akiiba madawa kutoka kwenye charity yake hata drug enforcement agent walikuwa wakimchunguza...

http://www.theagitator.com/2008/02/03/cindy-mccains-painkiller-problem/


http://en.wikipedia.org/wiki/Cindy_Hensley_McCain

Kwenye hayo yanayosemwa sijui ukweli ni upi na sijui uongo ni upi na sijui chumvi ni zipi. As far as I'm concerned, it is irrelevant. End of story.
 
Obama akataa kuwa mgombea mwenza wa Hillary Clinton.

Kuna tetesi kuwa Hillary Clinton amegusia kumualika Obama awe mgombe mwenza wake katika kiti cha uraisi wa Marekani.

Wana Democtarts wengi wangependa kuona kwamba Hillary Clinton na Barak Obama wanakuwa pamoja kuchuana na Jon McCain wa Republican ambae amekwishapitishwa na George Bush kugombania nafasi hio ya uraisi hapo mwezi November.

Lakini bwana Obama akiwa safarini kwenda Chicago alisema kwamba kwa sasa anazingatia kupigania nafasi ya kuwa mgombea wa Democrats na kwamba anamuheshimu sana Hillary Clinton na kwamba suala la kuwa mgombea mwenza wa mama huyo halipo kwa sasa.

Baadhi ya political observers wamesema kwamba Hillary Clinton anajaribu kuwavuta wale wapiga kura ambao bado hawajaamua kwamba wachague nani kati ya watu hao wawili.

Mpaka sasa Obama ana kura 1,477 dhidi ya 1,391 za mama Clinton.

Jumamosi ijayo ni zamu ya watu wa Wyoming kupiga wakifuatiwa na Mississipi wiki ijayo. Huko kuna watu 35 wa kutoa kura na Obama anatarajiwa kushinda katika majimbo hayo.

Lakini jimbo la Pennsylvania ndio ambalo litatoa mshindi hapo mwezi ujao ambapo jimbo hilo lina wapiga kura 158 na wataalam wanasema kwamba endapo mama Clinton atashindwa hapo ndio itakuwa basi tena.


Source: World at a glance
 
Mama hashindwi PA....

NN,

Unaonaje hii idea kwamba kama watu wanampenda Obama na kidogo wako na wasiwasi kuhusu uzoefu wake basi wanaweza kumpa nafasi mama halafu yeye ndio atamchagua Obama kwa mgombea mwenza wake?
 
Back
Top Bottom