Geeque
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 936
- 319
Sasa kuna ubaya wowote hapo kama Koba anavyotaka tuamini?
Unajua aliesema hiyo issue ni mtu kutoka Clinton Camp ambaye ni Latino Pollster, yeye alisema kutokana na kuongea na Latino wengi, Inaonekana wengi wao hawako tayari kuwapigia kura black candidates na akasema hii ni kutokana na Black and Brown rivalry. Latino wanasema wao wako wengi kwenye kundi la Minority hapa US lakini priority huwa wanapewa Blacks kwenye US politics.