Kheee!!! Icadon, YNIM, Koba, Susu....mko wapi leo?
Kitila kaka njoo bana tupige stori kwani mambo leo bien!
Nipo babu, dah!! Congrats kwa McCain, amesema nini cha kusisimua kwenye hotuba yake?
Truthful speaking hizi siku mbili nimekosa kabisa hamu ya kufuatilia siasa..Ngoja nicheck results.
Nyani,
Hongera bwana naona Mama anachukua 3-1 leo! Well nafikiri hata kama Mjaluo ana kura nyingi za delegates, kuokoa chama kisivunjike inabidi ajitoe na kumwacha Mama aendelee kugombea cheo kwa nguvu na mishipa yote!
Kwa mkao huo, nyie Tembo mtachukua Urais November na Hillary atakumbukwa rasmi kama mgombea aliyetaka kukigawa chama!
Hahahaaaa....don't hate man...congratulate
....congratulation to mama,lakini TX will be in our column na ndio mwisho wake!
Nyani ndo naamka nakuta Mama anasherekea! Hongera Nyani, I hope at least for now you put on hold your plans to vote for McCain maana nilishaanza kusikitika. Keep the faith, Nyani, Mama naona has come back fighting. Naomba nisikuharibie leo mood, tutaendelea na mjadala later in the day what this means bt for now CONGRATS!🙂
Kheee!!! Icadon, YNIM, Koba, Susu....mko wapi leo?
Kitila kaka njoo bana tupige stori kwani mambo leo bien!
Hata mseme vipi mimi namzimia sana huyu Mama. Ana tenacity ambayo watu wengi hatuna. Her grit is bona fide.
Maaan...I'm listening to Obama's speech and it's boring as hell....
He's too long winded for me...
Mzee Nyani Congrats...........na Congrats to Mama pia............naona hata Texas atachukua tu huyu Mama!!....si mchezo
Kaka ndio nimeamka hapa saa ndio saa 10.45 asubuhi, ndio nakutana na hii kitu: CNN projects Clinton wins key state of Ohio
Sasa unafiri mimi nina cha kusema tena zaidi kucheka tu hapa, acha kabisa!
Mzee Nyani Congrats...........na Congrats to Mama pia............naona hata Texas atachukua tu huyu Mama!!....si mchezo
Maaan...I'm listening to Obama's speech and it's boring as hell....
He's too long winded for me...
Small chance. Hawezi kuchukua TX, kwasababu ukiangalia the counties anazo-win Clinton, ni ones zina very small population, na anamzidi Obama in very small margin--In the the meantime, Obama ana win all places kwenye population kubwa,so far ana-lead Houston, Dallas and even Austin...