Nyani: kuhusu watoto wa Obama na Chelsea Clinton kutumika katika campaign naomba nitofautishe: watoto wa Obama wanaonekana na wazazi wao like Chelsea in Bill's campaign. Chelsea mwaka huu anawapigia superdelegates? Big difference! Watoto wa kerry na Bush hawakuwapigia superdelegates. Hiyo naomba usibishe! Superdelegates huwa wanatafutwa na surrogates yaani wapambe kama ilivyokuwa kwa Kennedy na Kerry kwa Obama. sasa Bill naye kajisahau kuwa ni ex-president kawa surrogate! Kazi kwelikweli - huu ujasiriamali wa kifamilia unanikumbusha u-lowassa! I agree that the mainstream media cannot use terms like 'pimping' na hata Obama campaign wamelaani MSNBC commentator, but kuna ukweli mwingi in that.
Kuhus endorsement ya NY times kuna mpambe wa kiBibi kasema eti walimendorse Obama, yet Bibi alishinda, naomba nimsahihishe, New York Times endorsed Hillary! New York Post ndiyo ilimendorse Bibi!
Kuhusu delegate count - zipo nyingi sana out there, but all agree that now Clinton can no longer claim to be ahead, kwa sababu hata advantage yake ni precarious if any exists! Hata Clinton News Network (CNN) imebidi wabadilike na wakubali. The worse news for Hill-Billy ni kwamba more and more establishment speakers wanamwona Obama as the viable candidate after many polls showed that Obama convingingly beats McCain, while in Hillary's case it's even au McCain beats her! Superdelegates want to win the election! In the case of pledged delegates yaani who are appropriated according to the popular vote, Obama ameshampita Hillary. So that's where the debate is!
Speech ya HIllary at Virginia mimi nimeona kama kiBibi ameshaanza kuwaza life after the election that she might not get the nomination.I think kama anataka kuendelea kupata heshima katika chama chake ni lazima a-weigh kama anataka kuaibika and fight tooth and nail and later be blamed for loosing the White House for the Democrats au anaweza kuendelea honorably not challenge seating Michigan na Florida delegates and accept the results for whoever it goes. Kumbuka Howard Dean hataki vituko katika Democratic Convention na ameahidi the nomination will be settled before the convention and I can see pressure piling on Bibi. But I admit that this is speculation on my part.
Nadhani tuendelee kuangalia primaries zilizobaki and I think tusipuuze hizi state ndogo because they are important now more than the Hillary camp thinks!