US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

USHINDI UNAENDELEZWA KATIKA NYANJA ZOOTE!

Barack just won a Grammy for the audio version of his book The Audacity of Hope... This is his second Grammy award; he also won for the audio version of his first book, Dreams from My Father.

Kila ya kheri to Bibi na campagn team yake mpya!
 
Susu,
ebu wape break kidogo, maana kibanda chao kimeshika moto!! kama haupo busy, angalia pro bowl from Honolulu ktk ur local FOX channel. NN anatumia kitabu cha Rush Limbaugh na Ann Coulter, ukizidi kum-press hapo, atakwambia kwamba yeye yupo US toka mwaka '80...............kumbe kuna hata waliozaliwa hapa na bado hawana idea!!!.
 
Hahaaa! YNIM nimecheka sana! Lakini unajua mimi naamini Obama is not out of the woods yet, na ninajitahidi not to gloat na kama nimefanya hivyo naomba radhi kwa Billary supporters. However naomba tu Obama apewe respect, maana wengi walim-underestimate including Clinton kwa vile alifkiri hawa ma-black huwa wanachemka siku zote, kumbe jamaa kichwa!
 
Na nyinyi acheni kumchukia Mama wa watu kama vile amewaulia ndugu zenu.
 
updated 1 minute ago

VIEW RESULTS BY: Political Party--Democrats Political Party RESULTS: Democrats | TOTAL DELEGATES

Delegate Definitions

Hillary Clinton Pledged: 915 Superdelegates: 224 Total: 1,139

Barack Obama Pledged: 971 Superdelegates: 135 Total: 1,106

Delegates Needed to Win: 2,025

Bado naaamini kuwa Jaluo anayo nafasi kubwa ya kushinda nomination, ila wasi wasi wangu tu, ni iwapo uchaguzi utaamuliwa na Superdelegates, then mambo huenda yakamuwia vibaya, kani so far so far so good na tunamuombea Jaluo, apite!
 
nilikuwa na wasiwasi na ME, lakini nayo kwa pocket!! eeebwana huko Maine ni maporini na watu weusi wachache kinoma tena wengi ni wasomali in Portland......huyu jamaa kweli kiboko!!.
Kama endorsements hazina mpango!? sasa mama alikuwa anafanya nini kwenda kwa John Edwards kuomba endorsement uso kwa uso?
 
......katika sehemu amabzo sikuwa naamini huyu jamaa atachukua ni pamoja Maine.....NN don't underestimate this Obama
 
Noana Campaign manager wa mama kaachia ngazi anachukua nafasi nyingine.
 
......inaelekea kuna kutoelewana ktk kambi ya Mama........huku Obama akiendelea kupunguza gap la delegates......
 
Huyo si Bangusilo, kafukuzwa.. Fagio la jana limacha mikwaruzo, Mama kipusa kimedoda kazichota kwenye kibuyu....fagio lingine laja Jumanne!
 
......inaelekea kuna kutoelewana ktk kambi ya Mama........huku Obama akiendelea kupunguza gap la delegates......

by the time its all over kwa watumiaji wa chesapeake turnpike next tuesday, jambo moja litakuwa dhahiri...Obama atakuwa anaongoza kwa margin flani hivi healthy hata ukiweka superdelegates!!

Hizo za ku-reshuffle staffers ni dalili za panic......hiyo ndio matokea ya "fear and loathing on '08 campaign trail." Kikubwa hapa cha kujifunza ni kwamba hakuna permanent "bed partners" ktk politics, si busara ku-underestimate opponents wako na zile politics za attacks zimepitwa na wakati!!.

NN aka JF's Rush Limbaugh upo wapi?? njoo hapa uoshe kinywa!!
 
Nyani Ngabu yuko wapi leo? hahahahahah Mama Clinton labda amteue mume wake Bill kuwa Campaign Manager.
 
Double N, kani-PM a while ago.....anasema yupo Honolulu kuangalia Pro Bowl, saa hii anakunywa maji ya madafu kwa mrija!!. Hana cha kusema, vidole vimepatwa na ganzi/kigugumizi! twi twi twi twi twih
 
nilikuwa na wasiwasi na ME, lakini nayo kwa pocket!! eeebwana huko Maine ni maporini na watu weusi wachache kinoma tena wengi ni wasomali in Portland......huyu jamaa kweli kiboko!!.
Kama endorsements hazina mpango!? sasa mama alikuwa anafanya nini kwenda kwa John Edwards kuomba endorsement uso kwa uso?

We unaishi wapi? Hivi hujasikia kama Osama na yeye ataenda kuonana na Edwards? Bado nasema endorsements hazina mpango..
 
Nyani Ngabu yuko wapi leo? hahahahahah Mama Clinton labda amteue mume wake Bill kuwa Campaign Manager.

Oyaaa Mazee nipo. Nyie msiwe na wasiwasi kwani hata iweje John McCain atashinda Novemba kama Osama akiwa nominee.
 
by the time its all over kwa watumiaji wa chesapeake turnpike next tuesday, jambo moja litakuwa dhahiri...Obama atakuwa anaongoza kwa margin flani hivi healthy hata ukiweka superdelegates!!

Hizo za ku-reshuffle staffers ni dalili za panic......hiyo ndio matokea ya "fear and loathing on '08 campaign trail." Kikubwa hapa cha kujifunza ni kwamba hakuna permanent "bed partners" ktk politics, si busara ku-underestimate opponents wako na zile politics za attacks zimepitwa na wakati!!.

NN aka JF's Rush Limbaugh upo wapi?? njoo hapa uoshe kinywa!!

Tulia kaka kwani it's not over till it's over. Kama Osama akipata nomination basi mimi nita-root for McCain kwani sijafurahishwa hata kidogo na jinsi media inavyom-treat Mama.
 
We unaishi wapi? Hivi hujasikia kama Osama na yeye ataenda kuonana na Edwards? Bado nasema endorsements hazina mpango..

bwaaaaaahahahaha mie najua hilo, kwamba MR. Change atakuwa NC @ the ealiest by tuesday. lakini sisi hatuna shida na endorsements kwani zinabaki kuwa ni endorsements tu!! wewe unaesema hazina mpango, inakuwaje mnaenda kujikombakomba?? kama hazileti votes, sasa za nini??

Ebu ngoja nijiangalizie zangu 50th Annual Grammy Awards hapa.....
 
Back
Top Bottom