---sorry wakuu, out of topic:
Hivi wewe Nyani unamtokea Chelsea nini?!!!!! lol
..ujanja huo autoe wapi,kazoea kujipigia mabeef ya kizungu tuu.
---sorry wakuu, out of topic:
Hivi wewe Nyani unamtokea Chelsea nini?!!!!! lol
..ujanja huo autoe wapi,kazoea kujipigia mabeef ya kizungu tuu.
Haya bana kwa nini tuandikie mate wakati wino upo? Naomba maMods waiwekee sticky hii topic hadi Novemba. Sitaki tena kubishania kuhusu nani atashinda Novemba lakini nitamtetea kwa nguvu zangu zote Mama kila atakapopakwa matope. Sio haki kabisa jinsi anavyotendewa.
Hater....halafu kumbe uko wakuja hivyo...yaani unaona kumtokea Chelsea ndo ujanja? You're a Lamo dude!!!
..sio ujanja nawala sio mzuri sana ila ukweli uko palepale ni mtoto wa CLINTON!
..safi sana ila acha kudharau jaluo,na usiwe na wasiwasi mama akitushinda Nov tutakuwa nyuma yake maana republican ni devils!
Mbona nimekuuliza kuhusu wajomba zako Bichwa na Fli-Flopper hujanijibu?
Romney suspends his presidential bid!!! Hold on a minute......sio kwamba amedrop!, bali ka-suspend tu. Kwahiyo anaweza kurudi.......lakini hizo ndio dalili za awali za ku-withdrawl completely.
Nimeona hapa!! anafanya tathmini, vipi boat ya mama imeshanyanyua bendera nyeupe? alafu kuna mtu alimsikia Dick Morris jana kwenye O'reilly factor?
Romney kajitoa kijumla......McCain kidedea kwani Huckbees ni cha mdoli tu!!! Tuna subiri mama nae kujitoa, come November kiulaini WH.......kwani kibabu McCain kinapigwa stroke mitaa ya late sept/early oct, kwahiyo kutakuwa hakuna upinzani!!! LOL.
Nadhani Bibi ameanza kuplay the victim eti hana hela, na kwamba ni mwanamke ndiyo maana she is loosing and she says 'It's our time'. Lakini that's true for all non-whites who vote for Obama and say "it's our time"--Obama fares somewhat better against McCain than Clinton; much of the difference can be attributed to the way independents would seem to break in the two different match-ups.
--Theres a split in the way voters regard the effects of Obama choosing Clinton as a running mate and vice versa.
--Also, when we drilled down into the data, we found that Clinton supporters were more enthusiastic about having Obama on the ticket than Obama supporters were about having Clinton on the ticket
Susu,
Ulisikia ile dini ya Uranium Kazhakstan ambayo Bubba alimfanyia yule mshikaji wetu Frank Giustro? Unaambiwa Frank ana-finance Mama si kawaida. Pesa zapelekwa maktaba ya Bubba, halafu wanatoa kama trust/estate money ndio maana wameongeza mtaji wa $5m!