US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Illinois,Georgia,Delaware hopefully Alabama went to Obama na mama na 6 states NY,NJ,Ma,Ark,TN lakini what matters ni delegate numbers...i have no idea hii kitu itaisha vipi lakini kama ni betting nampa mama leo.
 
muhimu hapo kwa obama ni kuzuia landslide tuu maana mathematically hakuna nomination clinching leo kutokana na delegate numbers...ok Obama naona kachukua na Alabama
 
Romney alikuwa anamwita Hucker boom spoiler and vote for Huckboom is a vote for mccain lakini hapa naona huckboom is beating Romney almost everywhere
 
mambo yakiendelea hivi, Obama anaweza kuchukua CT, naona Huckabee anakula vichwa south, Romney ajitoe tuu.
Duh this is funny kuna mimtu bado imevote kwa jamaa waliojitoa kwenye race.
 
Kansas went to Obama....sweeeet si unajua mama yake ndio anatoka huko
 
NN,
TN ilikuwa obvious, MA in roads zilianza late.......usije kukashangaa mwisho wa siku Obama ana-delegates wengi kushinda billary!! Cha msingi hapa ni kwamba HRC hapati landslide wins!.

Sidhani kama TN ilikuwa obvious maana kuna weusi wengi sana Memphis na Chattannooga....ila MA hiyo ndio imenishangaza maana establishment nzima ilikuwa nyuma yake. How good does it get when you have both senior and junior senators backing you? You have the governor and half of the Kennedy clan...geez!!!!!!
 
Mama anachukua bragging rights na ushindi wa MA.....thats a big big win....angalieni hiyo margin ya MA....mimi sikutegemea hiyo!!!!
 
sweet home alabama.......KS, thts a big win!!!
furaha yangu kubwa ni kushindwa vibaya kwa romney, huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana.
Cali ndio kiboko yao, Obama anatakiwa kuwa na showing nzuri ili ku-pick up delegates!!.
 
NN,
Politics za MA zipo complicated sana!!! Tafuta nini jamaa wa NBA wanasema juu ya MA hasa Boston........zile endorsements zimesaidia kupunguza hiyo margin, ama sivyo ingekuwa balaa. Mie HRC aliposhinda NH kwa dizaini ile nikajua Obama kwisha habari yake hapa MA...kwani waliompa HRC ushindi kule NH ni "implants" wanaokimbia taxes in MA na wanaishi kwenye boarder towns and cities. Kwahiyo kulikuwa na ka-trend flani hivi......na kama Pats wangeshinda na kuwa na parade leo, basi hiyo ingekuwa ni balaa nyingine kwa Obama!!
 
Obama naona kashinda Utah na Connecticut,huyo romney alinichefua alivyoanza immigrant bashing akafikiri atawapata conservative..mpuuzi sana huyu!
 
NN,
Politics za MA zipo complicated sana!!! Tafuta nini jamaa wa NBA wanasema juu ya MA hasa Boston........zile endorsements zimesaidia kupunguza hiyo margin, ama sivyo ingekuwa balaa. Mie HRC aliposhinda NH kwa dizaini ile nikajua Obama kwisha habari yake hapa MA...kwani waliompa HRC ushindi kule NH ni "implants" wanaokimbia taxes in MA na wanaishi kwenye boarder towns and cities. Kwahiyo kulikuwa na ka-trend flani hivi......na kama Pats wangeshinda na kuwa na parade leo, basi hiyo ingekuwa ni balaa nyingine kwa Obama!!

Ila huyo bichwa Kennedy ni loser tu hana influence tena na ni mtu hatari uki-associate naye ktk general election. Huyo Kerry naye hana lolote...kashindwa na Bush sasa amebaki anahaha tu....
 
Ila huyo bichwa Kennedy ni loser tu hana influence tena na ni mtu hatari uki-associate naye ktk general election. Huyo Kerry naye hana lolote...kashindwa na Bush sasa amebaki anahaha tu....

....acha hizo wewe,bila hao leo hapa States ungekuwa mbuzi tuu
 
....acha hizo wewe,bila hao leo hapa States ungekuwa mbuzi tuu

Chukua time wewe mburukenge....ungeniambia Martin Luther King, Ralph David Abernathy, Andy Young, Rosa Park....ningekuelewa
 
Ebanae naona jamaa kachukua ND hapa.

Mie mwenyewe nimezima fagi kwa ushinda wa ND. Jamaa pia ana-lead ID na CO......unbelievable!!!
Nay sayers, think again!! its real maaan, its happening right now....change in the air!.
 
Oya Champs(Koba na NN)

I hope hamtavuka kam-stari.....nina "chill pills" hapa kwa anayehitaji!!
Hii thread watu tunakula good tymes, "madaluga" ni kule kwenye thread za mafisadi.
 
Oya Champs(Koba na NN)

I hope hamtavuka kam-stari.....nina "chill pills" hapa kwa anayehitaji!!
Hii thread watu tunakula good tymes, "madaluga" ni kule kwenye thread za mafisadi.

Kula tano mzee nimekubali kama nisivyokataa maneno yako
 
Back
Top Bottom