US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

posl01_obama0803.jpg

Two-year-old Barack Hussein Obama, in Honolulu, Hawaii, in 1963. His mother, Stanley Ann Dunham, was the white daughter of a Kansas furniture and insurance salesman who moved his family to Hawaii on the eve of statehood. There, she met and married Barack Hussein Obama Sr., a former Kenyan goatherd and the first African student to enroll at the University of Hawaii
posl03_obama0803.jpg

Barack and his ninth-grade class at Punahou School in 1976. His maternal grandparents arranged for him to receive a scholarship to the prestigious Honolulu school. Obama says his grandmother (who became the first female vice president of the Bank of Hawaii) “injected” into him “a lot of that very midwestern, sort of traditional sense of prudence and hard work.”
posl05_obama0803.jpg

Barack playing varsity basketball at Punahou in 1979. “Basketball was a good way for me to channel my energy,” he says. “It did parallel some of the broader struggles I was going through, because there were some issues in terms of racial identity that played themselves out on the basketball court.”
posl07_obama0803.jpg

The newly elected first black president of the Harvard Law Review, February 1990. His ambitions growing, Obama ran for president during his second year at Harvard Law. “I probably figured I would practice law for a while but then be part of some large-scale community-rebuilding effort,” he says. “I don’t think at that point that I was absolutely focused on politics.”
posl08_obama0803.jpg

Michelle Robinson and Barack Obama on their wedding day, October 18, 1992, with Michelle’s mother, Marian Robinson, at left, and Barack’s mother, Ann Dunham

This reinforces my opinion that the main reason Barack Hussein married his baby-mama Michelle is for his own political ambitions. I am guessing Barack Hussein's political ambitions pre-date his affirmative action admission into Harvard law school. Thanks for posting this.
 
..unatakiwa kufikiria zaidi, huwezi mfananisha huyo mama na obama, hamfikii hata robo.

..we'll see who win this election..........

If you are counting sitting in a hate-Whitey church listening to Rev. Wright for 20 years, then Obama has more experience than Palin. Other than that I don't think so.
 
'Maamuzi ya Mungu' kupitia Hurricane Gustav inaelekea yatabadilisha kwa kiasi kikubwa Convention ya Republican kama athari itakayofanywa na hurricane hiyo itakuwa ni kubwa sana. Vyombo vya habari vingi badala ya kutangaza hiyo convention ya kumsimika Mcsame na Kisura Palin kwa muda mrefu itabidi pia watangaze impact kutokana na hurricane hiyo hivyo kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya watakaongalia convention hiyo.
 
..umeongea kile nilichokuwa nafikiria.

..uki-sura wake ndio unaovutia zaidi, kuliko anajua na kuweza nini.

..nadhani jamaa wa GOP itabidi wasogeze mbele mkutano wao, kitu kitakachowaongezea gharama.
 
Nyani McCain nakupa big up. Wewe ni play maker hasa maana kama wote tukimshabikia "The next US President Obama", mjadala utadoda. Thank you, thank you so much!!!"

Ila ninajua kuwa kama unge/upo eligible ku vote kura yako "OBAMA!".

"This election is not so close, its because the forces of status quo are afraid of changes" - Al Gore

Kwa nini Gore katoa kauli hii?

my take

1. GOP and their lobbyists are trying to manipulate the data with hope that may give
people who support McCain a firm Support rather than switching to the wining team
OBAMA!!

2. The forces of status quo are afraid that Obama can not be declared a winner against
their support prematurely to give him another historic victory.

3. The forces of status quo and GOP expected the DNC to overturn the nomination to
Hillary after, with view that Obama is not a strong candidate, a focus which didn't
materialised and the Dems are United toward common goal of making Obama the next
President.

4. The Forces of status quo want to show that the DNC was not effective to give
Obama a Bump in opinion polls.

Conclusion: they will publish correct opinion polls on 3rd and 4th November that Obama
is leading McSame by 20 points to avoid losing credibility in next elections.
 
JF Obama team: Aisee GOP is in bigger trouble than they know, I have spent the past 24 hours checking what is available on Sarah Palin and the shit is about to hit the fan. There are already 3 major scandals that question Governor Palin's judgement, abuse of power and fiscal conservatism:
- Troopergate : alikuwa ana-engineer firing of her ex brother-in-law, despite her intial denial of knowing anything about this there is audio recording adn email that shows she pressured for her brother in law to be fired and finally fired the Chief of Public safety for not firing the b-i-l! It reads like a novel and the investigation is going on and she could be impeached!
- Leaking amniotic fluid: Despite some conspiracy theories about the Down syndrome baby being her daughter's which is more tabloid like, there is also now a call to look at Palin's lack of judgement to endanger her baby's health by flying more than 8 hours with leaking amniotic fluid to Alaska from Texas (she first delivered her speech) and then instead of delivering in the main hospital in Anchorage (hospitali ya rufaa) she drives to Wassila little hospital to deliver through induced labor!! Doesn't make sense but assuming everything is true this is reckless.
- Matanuska Maid - where she fired an entire board because they didn't do what she wanted which is accept 600,000 USD to keep an ailing milk factory alive. She appointed a new board full of unqualified people from the milk farmers interest gruop, they blew the 600,000 then announced that the factory has to be shut down! There are more details on this, terrible!
These are like that are out there and the webpages are disappearing by the minute as Rove and company are scrubbing the internet but they forgot about the cache files.
Hawa watu ni wazembe and they did not vet at all this woman. Mi yangu macho, maana I tell you hiii ishu itaishia kwa huyu mama kuwithdraw! The vetting has just begun na media and bloggers wame-google tu, bado hawajafika huko Alaska kuanza kuchimba vizuri!
 
Susuviri,
Kuna tucriminal case tuwili tutatu twa huyu mama...nitakupasia info kwa PM.....
 
Naona Wachangiaji wengi kwenye huu mjadala (nadhani wanajijua) wamevimba vichwa kujiona kama wao ni "Wataalamu", "Wachambuzi" au penginepo "Wasomi" wa mambo ya siasa za Marekani. Wengi wanaishia kusoma hoja (au arguments) za watu wengine kwenye blogs au news sites mbalimbali au pengine kusikia kwenye malumbano ya luninga halafu wanakuja humu kuzitema utadhani walizitunga wao, bila ya kutaja vyanzo vya hoja/habari zao. Ujumbe wangu kwao ni: Asilimia 99.9% ya hoja zinazoandikwa kwenye hii mada ni za kukopa (au tuseme kuibwa) na zinakosa "sense of originality". Shame on you fellas! We aren't fooled!

Wow, who the hell is this dude?
 
Nyani McCain,

..sikuwa na nia ya kumnyanyapaa Mama Sarah Palin hata kidogo.

..lakini ninachojiuliza ni: what is McCain trying to get by picking her as his running mate?

..Obama amemleta Joe Biden ili kumsaidia ktk masuala ya Foreign Policy.

She complements him on the executive side of things. Three out of the four (McCain, Obama, Biden) have never run anything...not even a business. This woman has the executive experience with results.
 
'Maamuzi ya Mungu' kupitia Hurricane Gustav inaelekea yatabadilisha kwa kiasi kikubwa Convention ya Republican kama athari itakayofanywa na hurricane hiyo itakuwa ni kubwa sana. Vyombo vya habari vingi badala ya kutangaza hiyo convention ya kumsimika Mcsame na Kisura Palin kwa muda mrefu itabidi pia watangaze impact kutokana na hurricane hiyo hivyo kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya watakaongalia convention hiyo.

Gustav will turn out to be a blessing because all the efforts of preparation bode well with the McCain campaign slogan of "Country First". He is putting aside his Republican hat and putting on his American hat. He has always put his country first and he has a record to show for it!!! And guess what? All the 5 states that Gustav may fall on are Republicans and so far they are doing an excellent job. This reflects the Republican brand in a positive way.
 
Waungwana, kwenye mtandao kuna rumours zinatembea kwamba mtoto wa mwisho wa Kisura Palin si mtoto wake, ni mtoto wa binti yake wa kwanza mwenye umri wa miaka 16/17 ambaye alipata uja uzito na mama katika juhudi za kuficha kama mwanae kapata mimba akaamua 'kufanya mambo' ili ionekane huyo mtoto ni wake.

Sijui hili lina ukweli kiasi gani, lakini kama waandishi wa habari wakiamua kulifuatilia na likadhihirika kwamba ni kweli kabla ya November 4th, basi Mcsame atakuwa hana chake kabisa na Republican watamchukia milele kwa kumpa uVP mtu aliyekutana naye mara moja tu na hajui chochote kuhusu background ya kisura Palin. Chaguzi huwa zinajaa habari za kila aina hivyo tuwe na tahadhari na hii habari inawezekana kabisa ikawa ni uzushi tu.
 
Yaani hoja...oops...vioja vingine bana. Kwani ugumu uko wapi kuthibitisha kuwa ni mtoto wake? Si waende tu kwenye ofisi husika waombe kuona cheti cha kuzaliwa huyo mtoto.....yaani mama wa watu afeki uzazi wa mtoto kwa minajili ipi? Nyinyi mkubali tu huyu mama kweli ni kiboko na mpaka sasa hamjajua jinsi ya kudeal naye.....grrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Ndiyo maana nimetoa tahadhari. Nakumbuka hadithi ya Monica Lewinsky ilianzia pia mtandaoni. Nilipomuona jamaa kapandisha mori na kutamka, "I did not have sex with that woman." basi nikamuamini kabisa, kumbe....
 
Uzinzi na uzazi wa mtoto ni vitu viwili tofauti. Uzinzi huwa hauwekwi katika rekodi na hupewi cheti.
 
Wow, who the hell is this dude?

Njabu the Dude ni "Ufudu" yule mtoto wa "Panga la Shaba" kama mnakumbuka zile katuni kwenye gazeti gani sijui enzi zile Bongo!! Jamaa domo lake limekaa kupulizapuliza moto...LOL!!! Seriously, jamaa ni Nyama Hatari, kama mnakumbuka ile avatar yake! ni loser tu flani na dawa yake ni kum-ignore...

hii ni forums bwana, watu wanatoa mawazo yao na kuwakilisha ya wengine..ili kama kuna wenzetu ambao wamelishwa sumu basi wapate kuujua ukweli! Mambo sijui watu wanajifanya kujua siasa za marekani yametoka wapi?? sisi tupo hapa kuelimishana na sio kutambishiana ujuaji kama mawazo yako finyu yanavyokutuma...tatizo lako ni hasira, chuki na utoto uliokithiri.

Njabu, kama wewe unaona thread hii haikusaidii labda kwasababu upo "minazi mirefu," basi kaa pembeni kwani hakuna aliyekulazimisha!! kama domo lako lilivyo basi ndivyo ulivyo, yaani kutoa mineno michafuchafu isiyo na msaada wowote kwa jamii!! Njabu the Dude, you're the worst person of the year...shame on you...
 
Uzinzi na uzazi wa mtoto ni vitu viwili tofauti. Uzinzi huwa hauwekwi katika rekodi na hupewi cheti.

ndio maana jamaa kasema ni fununu, usibishe tu kwasababu unaweza...angalie sie, waliposema kwamba BHO kazaliwa Kenya na vyeti vyake vya HI ni vya ku-forge si tulisema nini? tulisubiri, issue ikajichuja na kuonekana ni urongo!!

Biologically na nilishasema awali pale Susuviri alipoileta hii kuwa, ukiondoa sababu nyinginezo zinazoweza kusababisha mtoto kuwa na down's syndrome (ambayo utokana na nondisjunction ya x-some 21)..maternal age(umri wa mama) una changia sana hasa baada ya miaka 35 (huyu bibie atakuwa aliikwa mimba akiwa 42-43 na hivyo risk ktk mazingira ya kawaida kuongezeka)!! so, kutokana na hiyo fact, basi mtoto huyu ni wa mama Palin!! vinginevyo tusubiri, kwani Marekani hii hakuna siri ya kudumu...
 
Uzinzi na uzazi wa mtoto ni vitu viwili tofauti. Uzinzi huwa hauwekwi katika rekodi na hupewi cheti.

Naam ni vitu viwili tofauti, lakini kama la Kisura Palin lina ukweli, basi wote watakuwa wamesema uwongo (Clinton kwamba hakula uroda, na kisura Palin kwamba mtoto ni wake kumbe si hivyo) na hicho kwa wapiga kura ni kina uzito mkubwa sana, bahati nzuri Clinton walimsamehe na kumrudisha tena WH '96, lakini kama la Kisura Palin lina ukweli na likithibitishwa kabla ya November 4th basi wapiga kura hawatamsamehe.
 
Uzinzi na uzazi wa mtoto ni vitu viwili tofauti. Uzinzi huwa hauwekwi katika rekodi na hupewi cheti.

Hehe Clinton alikuwa bold kukana ile kitu knowing kuwa alitenda dhambi ndani ya Oval Office sijui SS waliokuwa duty siku hiyo walizima camera au waliendelea kukodolea macho.

Alafu uko Alaska nako naona kuna ufisadi mwingi sana sema ndio hivyo watu hawajui tuu...hivi issue ya seneta wao iliishia wapi?

Kuna mtu aliniambia kuna some local church walikuwa wanaomba mvua kubwa inyeshe Alhamisi iliyopita wakati wa hotuba ya Obama lol.

Electoral College

Obama 228, McCain 185, Toss Ups 125 | No Toss Ups: Obama 273, McCain 265

RCP
 
Back
Top Bottom