US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Habari zinazovunjika (breaking news)
Haya jamani wanaJF, wher there's smoke there's fire. Binti yake Sarah Palin - Bristol Palin mwenye miaka 17 ambaye ilisemekana ndiye mama mzazi wa mtoto Trig, sasa imetangazwa rasmi kwamba ana mimba na anaolewa na kijana aliyempa mimba

ST. PAUL, Minn. — John McCain's running mate Sarah Palin said Monday that her 17-year-old unmarried daughter is five months pregnant, an announcement aimed at rebutting Internet rumors that Palin's youngest son, born in April, was actually her daughter's.

A statement released by the campaign said that Bristol Palin will keep her baby and marry the child's father. Bristol Palin is five months pregnant, and the baby is due in late December.

"Our beautiful daughter Bristol came to us with news that as parents we knew would make her grow up faster than we had ever planned. We're proud of Bristol's decision to have her baby and even prouder to become grandparents," Sarah and Todd Palin said in the brief statement.

"Bristol and the young man she will marry are going to realize very quickly the difficulties of raising a child, which is why they will have the love and support of our entire family," they added.

Sarah Palin's son Trig was born in April with Down syndrome. Internet bloggers have been suggesting that the child was actually born to Bristol Palin but that her mother, the Alaska governor, claimed to be the mother.

McCain adviser Mark Salter said the campaign announced the daughter's pregnancy to rebut those rumors.

Senior McCain advisers said the Arizona senator and his top aides had known about Bristol's pregnancy before offering Palin the No. 2 spot on the GOP ticket.

"Senator McCain's view is this is a private family matter. As parents, (the Palins) love their daughter unconditionally and are going to support their daughter," said McCain spokesman Steve Schmidt.

Said Schmidt: "Life happens."

Lakini naomba niseme hawa evanglicals ni wanafiki sana, wanasema watoto wafundishwe absitenace tu, sasa mimba hizi ndo zinawaharibia watoto maisha yao! Kumwozesha binti na miaka 17 ni aibu! Bongo tunalia kila siku na wazazi, kumbe wenzetu nao wamo!!!
Also it does not answer the rumor that Bristol may be the mother of Trig, sasa news hii imejibu vipi rumors. Wazushi!!!
Naomba niwakumbushe kwamba it is only 72 hours since Sarah palin has been announced as VP. Bado mengine yaja!
 
BuBu: uliniwahi kidogo.. hahaaa... sasa namsubiri besti wetu Nyani McCain aje na yeye atetee upuuzi huu. Lakini GOP mna wakati mgumu! Mpaka watu wazima na akili zao kama Cindy wanalazimika kusema kwamba Palin ana more international experience because Alaska is near Russia!!!! Kwikwikwi... sijui kama huyu mama atasurvive mpaka election. Itabidi wakubali hata huyo Joe Lieberman....
 
Susuviri, akina Paparazzi na Mamarazzi wakiamua kulala mbele na huyu Kisura Palin ili kupata nyeti zake basi Mcsame anaweza kulia kilio cha mbwa mdomo juu na kujilaumu kwa kutofuata principles za mwenyewe kwamba VP ni lazima mtu ambaye anamfahamu vizuri kwa kipindi kirefu. Badala ya kufanya kampeni itakuwa ni kujibu tuhuma moja baada ya nyingine. Inasemekana huyu binti hajakanyaga shule kwa kipindi cha miezi mitano sasa ili kuficha ujauzito wake.
 
Duh!!! Aisee Babu yake Nyani ana kaaazi kwelikweli! Sasa huyu kisura Palin ambaye ni champion wa reform inasemekana 'she was for the Bridge to Nowhere before she was against it'' Hivi McCain camp hawajui siku hizi kuna YouTube na pia hata ukifuta page kuna cache file unaweza kupata! Shughuli ipo
 
Habari zinazovunjika (breaking news)
Haya jamani wanaJF, wher there's smoke there's fire. Binti yake Sarah Palin - Bristol Palin mwenye miaka 17 ambaye ilisemekana ndiye mama mzazi wa mtoto Trig, sasa imetangazwa rasmi kwamba ana mimba na anaolewa na kijana aliyempa mimba

Lakini naomba niseme hawa evanglicals ni wanafiki sana, wanasema watoto wafundishwe absitenace tu, sasa mimba hizi ndo zinawaharibia watoto maisha yao! Kumwozesha binti na miaka 17 ni aibu! Bongo tunalia kila siku na wazazi, kumbe wenzetu nao wamo!!!
Also it does not answer the rumor that Bristol may be the mother of Trig, sasa news hii imejibu vipi rumors. Wazushi!!!
Naomba niwakumbushe kwamba it is only 72 hours since Sarah palin has been announced as VP. Bado mengine yaja!

Yaani wewe sijui nikuweke kwenye kundi gani tu. Hebu nambie kipi ni bora: atoe hiyo mimba au azae?

Msichana wa watu ana miaka 17 na usikute by the time anaolewa atakuwa keshafikisha miaka 18. Ubaya uko wapi hapo? Unashangilia jamba la kijinga kweli. Hivi unajua ni Wamarekani wangapi wanajifungua wakiwa na umri huo? Sometimes its just s hard to reason with you. My goodness
 
Duh!!! Aisee Babu yake Nyani ana kaaazi kwelikweli! Sasa huyu kisura Palin ambaye ni champion wa reform inasemekana 'she was for the Bridge to Nowhere before she was against it'' Hivi McCain camp hawajui siku hizi kuna YouTube na pia hata ukifuta page kuna cache file unaweza kupata! Shughuli ipo

Just admit it!! Palin has changed the whole game and you guys don't know what to do now......bwahahahahahahaaaaaaaa
 
Yaani wewe sijui nikuweke kwenye kundi gani tu. Hebu nambie kipi ni bora: atoe hiyo mimba au azae?

Msichana wa watu ana miaka 17 na usikute by the time anaolewa atakuwa keshafikisha miaka 18. Ubaya uko wapi hapo? Unashangilia jamba la kijinga kweli. Hivi unajua ni Wamarekani wangapi wanajifungua wakiwa na umri huo? Sometimes its just s hard to reason with you. My goodness
Was this a typing error or intended pun ... kwikwikwi
 
Hizo Poll zote ni geresha tu Gore aliishasema kuwa uchaguzi huu sio close. Kuna hujuma Obama anafanyiwa na Forces of status quo and lobbyist ambao ndio wanamiliki servey centres. Obama anaongoza na utaona siku ya uchaguzi ni land slide Obama anashinda, Labla waibe kama 2000 na 2004

Al Gore hajui chochote zaidi ya global warming na kudai kuvumbua internet...Lol. Mtu aliyeshindwa hata nyumbani kwao hana ubavu wa kusema lolote. BTW, only Democraps lose their home states.....bwahahahahahahaaa
 
Just admit it!! Palin has changed the whole game and you guys don't know what to do now......bwahahahahahahaaaaaaaa
Nyani, actually DEmocrats don't have to do anything, Sarah palin is dgging her way out of the nomination fast. Tulichotaka ni vetting ifanyike and we are doing our own maana mainstream media ni wazembe. Sasa bloggers walivyoanza kufukua wameanza kuadmit a number of things. This is going to be SWEET!!! Game changer indeed! Watch babu yako loose the election!
Pamoja na kuwa Jindal was a little crazy lakini kheri hata huyu jamaa alionekana competent zaidi kuliko Kisura wenu and her weird family values.
 
So far the bloggers have found nothing and as a result they are just making up stuff. Now that the fake pregnancy rumor has been shut down.... where is the apology? Of course I wouldn't expect your type to apologize for civility is a foreign concept to you people.
 
NM, kunywa maji kidogo eh mbona unakuwa na jazba namna hiyo lol..unanikumbusha ile issue ya HRC alivyokuwa Ohio, "Shame on You Barack" lol...
 
NM, kunywa maji kidogo eh mbona unakuwa na jazba namna hiyo lol..unanikumbusha ile issue ya HRC alivyokuwa Ohio, "Shame on You Barack" lol...

Yeah...shame on you Obamanites especially Susuviri. Hii issue ya binti wa Plain ni family matter lakini yeye anavyoifurahia utadhani kapata bonge la smoking gun litakalom-disqualify Palin......kuwa nzima anashinda kwenye vi-liberal blog kuendeleza uzushi utadhani analipwa....who knows...maybe the Obama campaign pays.....
 
Baada ya No 4 kuna hatari wengine wakala kona moja kwa moja JF......najua hata John Mc cain anamkubali Obama basi tu
 
Grande Old Party, a party strong in familiy values, abstinance, no abortion and all other family values crap!

Sasa this revelation kuwa Binti ni mja uzito, is a blow! In fact kusema ataoana na huyo jamaa it seems like a shove on the throat ili mtoto asizaliwe Haramu, mtoto is always haramu kwa maana hakutungwa katika mimba (Rethuglicans conservative theology)!

Ikiwa hawa Rethuglicans wanasema shombo kwa teenage pregancy, hili la Binti watalipokeaje? This is where The Rethuglicans tha Party of De Values is going to be tested! Nataka nimsikie Dobson na Rush on this, maana Binti wa Chenney kuwa shoga ilikuwa kero na kelele kibao, McCain kushindw akujieleza msimamo wake wa Kikristo ilikuwa ni kero, sasa SuperConservative woman anatarajia kuwa Bibi?

Sasa tukirudi kwa Sarah Palin mwenyewe, this by itself is a distraction and damaging kwa image yake kama conservative christian na mwenye family values.

Kama mama mzazi wa Binti, suali linakuja, alikuwa wapi wakati Binti anatafuta mapenzi (love not lusting) nje ya nyumba? Was Mother Supreme Commander of Alaska National Guard busy with Politics to the point at time of birth of baby Trig she went back to work in 3 days? Where was Papa Palin? busy hunting, fishing and unionizing in oil rigs?

So watoto wako nyumbani, Mama na Baba wako busy kutumikia Kazi na maslahi yao, Binti anajaribu kupata attention ya Wazazi, anaikosa na kukimbilia kuchugana na kisha ka-boom, moto chini, tumbo limejaa!

Nilipoongelea suala la diapers, pamoja na kuwa nilikuwa natumia masihara, lakini swali la msingi lilikuwa ni sacrifice anayofanya Sarah Palin kukimbilia kazi ya Kisiasa na si kuijenga nyumba yake!

Talk about judgement!
 
Talk about Unafiki wa Conservatives na GOP, angalia kauli hii ya Perkins, kwenye inner cities, hawaendi na wanafanya ubaguzi na hata kulaani kutumia dini na values lakini kwa hili, sala ziko na Mgombea wao?

No wonder mara nyingine Waislamu wanatushangaa Wakristo kwa kuwa na undumilakuwili!

Tony Perkins, president of the influential conservative Family Research Council, on Monday issued a statement supporting the Palin family.
"Fortunately, Bristol is following her mother and father's example of choosing life in the midst of a difficult situation. We are committed to praying for Bristol and her husband-to-be and the entire Palin family as they walk through a very private matter in the eyes of the public," Perkins said in a written statement.
 
Talk about Unafiki wa Conservatives na GOP, angalia kauli hii ya Perkins, kwenye inner cities, hawaendi na wanafanya ubaguzi na hata kulaani kutumia dini na values lakini kwa hili, sala ziko na Mgombea wao?

No wonder mara nyingine Waislamu wanatushangaa Wakristo kwa kuwa na undumilakuwili!

..ndio maana mimi YNIM, mtu yeyote hasa wanasiasa wakija na karata za dini ua nawapa chubwiiiii!! sitaki kusikia, kwani najua wengi wao ni wazushi na hii ni kwa dini zote kubwa, wahususani uislamu na ukristo!! Unafiki na uzandiki mtupu.....imagine kwamba hii kitu ingekuwa imetokea kwa liberals, masikio yangezibuka kwa kelele za kina Rush na shoga zake kina Hannity!

Ila wewe Kishoka (mchungaji) nawe hujatulia, unachekesha sana na ile nukuu yako toka kwa Bill Maher ilikuwa offensive sana (naongelea MILF). LOL...lakini yote heri tu, kwani ndio mambo ya baraza al bazawatu.
 
bilde

bilde

bilde

DSC01384.JPG

MORE PICTURES HAPA!!!
 
Back
Top Bottom