Hehe Clinton alikuwa bold kukana ile kitu knowing kuwa alitenda dhambi ndani ya Oval Office sijui SS waliokuwa duty siku hiyo walizima camera au waliendelea kukodolea macho.
Alafu uko Alaska nako naona kuna ufisadi mwingi sana sema ndio hivyo watu hawajui tuu...hivi issue ya seneta wao iliishia wapi?
Kuna mtu aliniambia kuna some local church walikuwa wanaomba mvua kubwa inyeshe Alhamisi iliyopita wakati wa hotuba ya Obama lol.
Obama 228, McCain 185, Toss Ups 125 | No Toss Ups: Obama 273, McCain 265
RCP
Ted Stevens yupo indicted na Feds, Repubs wenzake karibia wote wamemruka including kichaka...kesi itamnyea na pengine kwenda lupango kama Duke Cunninghams...
Ni kweli Alaska kuna rushwa za ajabu sana, hata huyu mama aliunga mkono "bridge to nowhere" kabla hajawa against it!! Palin ana dirty laundry mingi sana, time will tell.
Nyani,
NFL season ndio inakaribia kuanza, vipi li-Falcons lipo safi au ndio bado mdebwedo? Sie hapa tupo 0-4 kwenye pre-season, lakini guyz wapo ready to go and we're looking forward for a great season.
Man...thank God it's football season again. Sina imani na Dirty Birds....tokea Michael afungwe morali ya timu nzima ik chini sana. Halafu cha kusikitisha ni kwamba timu nzima ilikuwa ni kama ya mtu mmoja na sasa huyo mtu hayupo basi hata washabiki na wapenzi wake wameitosa. Natumaini watakuwa na season nzuri. BTW, I have always been an New England Patriots fan ever since Tom Brady took the helm. I'm not sure if they'll duplicate last season's success but I sure hope they do well. Hivi schedule ya season hii umeiona? Nataka kujua kama watacheza na Colts na mchezo utakuwa wapi...
Man...thank God it's football season again. Sina imani na Dirty Birds....tokea Michael afungwe morali ya timu nzima ik chini sana. Halafu cha kusikitisha ni kwamba timu nzima ilikuwa ni kama ya mtu mmoja na sasa huyo mtu hayupo basi hata washabiki na wapenzi wake wameitosa. Natumaini watakuwa na season nzuri. BTW, I have always been an New England Patriots fan ever since Tom Brady took the helm. I'm not sure if they'll duplicate last season's success but I sure hope they do well. Hivi schedule ya season hii umeiona? Nataka kujua kama watacheza na Colts na mchezo utakuwa wapi...
Lazima kucheza na Colts kwani wapo conference moja! Schedule nimeichungulia kiana...game la Pats na Colts litakuwa in Indiana Nov 2nd 8:15 pm na litarushwa hewani na NBC (your local channel) kwa hapa kwetu itakuwa kwa WHDH News Seven, Joe Amorosino atakuwa anakandamiza..LOL
Unaweza kuicheck schedule nzima kwa google " NE Patriots 2008 schedule"...
Sidhani kama itakuwa kama last season kwani kuna injuries na Brady hayupo fit kihivyo na ukichangia penzi la Gissele basi taabu kweli...uzuri namba 81 bado yupo, so expect ma-touchdown ya kukufanya uzimie!! Wamekata sana watu leo, pia Faulk kakamatwa na "msuba" so hatocheza game one ambayo nadhani ni against Chief next sunday....
TED aliomba kesi hiyo irudishwe maeneo yake ya kujidai, Alaska toka DC ili akanunue ushindi dhidi ya kesi hiyo, jamaa wakamtolea nje.
Hivi kwa niin hawa NFL kila season Colts wanakuwa kwao wakicheza na Pats...? grrrrrrrrr.....dizaini kuna conspiracy flani hapo....
Mie napenda Peyton Manning, kwani nadhani yupo entertaining zaidi ya Tom Brady!! Umeona ile AD ya Peyton/Eli against Venus/Serena? inapendeza sana...unajua kwamba hiyo Nov 2nd ni siku mbili kabla ya uchaguzi? mie naamini kama Indiana watashinda basi Obama nae atakuwa kidedea tuesday yake...forget mambo ya "the tribe" (Washington Red Skins)...mimi na wewe, unaijua namba yangu ya simu!!! hahahaha, sijasahau my mid-western roots.
I'll hit you up soon....possibly tomorrow.....
Republican they're sick, i cant believe wapo watu wanamtetea huyu VP wa McBush kwamba ana experience. Huyu mama alikuwa kwenye city councel ya mji huko Alaska wenye wetu 9000. Wengine wana suggest kwamba ana foreign experience sababu Alaska iko karibu na Russia. Can that non sense be a solid argument?
As John kerry Jana asubuhi kwenye this week na george, alisema this is desparate ya McBush, sababu anachofanya hapa ni kucheza politics card. Huyu mama anaweza kuongea na Ahmadinajad au waziri mkuu wa Russia? Huyu mama amechaguliwa sababu McCain ana babysitt right winger orthodox. Kina Rush Limbaugh, Sean Heanitty and the Great. Lakini conservative kama Michael Savage wameita ili chaguo kwamba ni non sense.
Hii ni big dice, lakini inaweza kuwa na faida. Kwenye dibate huyu mama anatacheza kama victim, joe bidden ni popular wa kushambulia, na akimshambulia sana wanawake wanaweza kuwa energetic kuwa behind republican. Kingine huyu mama ataamsha shamra shamra ndani ya republican. Lakini kibaya muda wa kumtambulisha huyu mama ni mdogo.
For god sake wakishinda tena republican mimi naamia zangu kwetu Lushoto, huu ni wehu.
Todays numbers show a one-point improvement for McCain, but Obama still leads 47% to 44%. When "leaners" are included, its Obama 49%, McCain 46% (see recent daily results). Obama is now viewed favorably by 57% of the nations voters, McCain by 56%.
Yaani hii kitu bado tight tu? Obama should be like 45 points ahead right now....Lol