US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

You are right about Michelle's intellect (or lack thereof). Take a look at her college thesis below. She writes like a 10 year-old and to think she was accepted into Princeton. If it wasn't for affirmative action this woman would be cleaning Princeton's toilets not enrolled there.

Michelle's college thesis

http://www.politico.com/news/stories/0208/8642.html

mmmh?? a 10 year old??? Well she must be a helluva-of-a-ten-year-old to be able to convince us of a racial divide. In so saying, we should go back and declare Princeton graduates as 10-year-olds as well.
interesting...........very interesting
 
Sorry Obama, I got to give it to the Republican.... this is upstaging the choice of Biden.

sarah-palin-214x300.jpg
hana tofauti na Latoya wa Big Brother Africa 3....Nyani ubishi tu najua moyoni unamkubali Obama....
 
hana tofauti na Latoya wa Big Brother Africa 3....Nyani ubishi tu najua moyoni unamkubali Obama....

Obama is just a bumbling first term senatot who can't talk without a prompter. He just reads well. I'll give him that...
 
Ile houtba ya Palin ilinifanya nimkumbuke sana mama Clinton............ She is way far ukimkompea na mgombea mwenza wa makopo.

I noted that too! She has a long way to go in order to become articulate when speaking in front of many people.

Mcsame alidai kwamba VP wake ni lazima awe na strong relation naye kabla ya kumchagua. Huyu kakutana naye mara moja tu Alhamisi halafu Ijumaa kamchagua!!! Mccain anaweza kushinda lakini amefanya kosa kubwa sana kumchagua huo Palin ingependeza sana kama VP wa OB angekuwa Hillary maana kwenye debate ya VPs Hillary angemwadhiri vibaya sana, Biden inabidi aminye kidogo ili asiitwe 'macho man'
 
Rev.Kishoka said:
Just imagine a funny pungent smell throws West wing into chaos with gas mask, come to find that Veep just changed the baby's diper!

Hivi watampa hako katoto Agent Hanna Montana kumlinda akiwa kwenye West Wing daycare?

Mama anatumwa trip London, Madrid, Jerusalem na Istanbul, detail ina involve baby food and dipers!

Ama kweli Grandpa John kazeeka, is it the right choice of poor judgement?

Mjukuu tueleze...

Rev.Kishoka,

..orodha ya viongozi waliokuwa na watoto wakiwa madarakani ni ndefu mno.

..nina hakika Nyerere,Kaunda,and Samora, wote walipata watoto wakiwa Ikulu. JFK naye nadhani alipata wakwake Ikulu.Tony Blair majuzi nao walibarikiwa mtoto wakiwa # 10 downing. sina uhakika kuhusu Benazhir Bhuto na Indira Gandhi.

YNIM,Nyani McCain,

..mashaka yangu kuhusu Sarah Palin ni uwezo wake intellectually.

..kuhusu experience itabidi tumpe credit tu kwasababu McCain,Obama,na Biden, wote hawana Executive Experience.

..McCain,Obama,Biden, hawaja-manage chombo chochote kile in the all the decades they have been in public office.

..tunaweza kudai kwamba Mama Palin ameongoza ka-mji kadogo kama Mayor, au jimbo dogo Alaska, je hizo districts za kina McCain,Obama,na Biden, zina ukubwa na population, kiasi gani?

..kuna Republican governors wenye resume nzuri na nzito kuliko Sarah Palin. sijui kwanini McCain akawaacha hao aka-gamble na huyu mama.

..vilevile hii ticket ya Republican inaonekana iko weak sana intellectually. both McCain and Palin do not come across as policy wonks. naamini Uraisi na Umakamu wa Marekani unahitaji watu wa namna hiyo.

..i dont know how Sarah Palin will stand up to Joe Biden during the debate? kitakachomuokoa ni kwamba wana debate mara moja tu. au labda Biden atatoa kauli ya ajabu itakayowachukiza wananchi. vinginevyo nina wasiwasi Sarah Palin ataonekana kama a college intern.

NB:

..kwa upande mwingine naona watu wamepandwa jazba kwelikweli. majadiliano yamegeuka kuwa kama mibashano ktk kilabu cha pombe. labda ndiyo weekend hiyo.

..pia msi-quote watu kama Jim Clayburn. huyu jamaa ni biased na racist.
 
Bubu,
siyo kweli, nakumbuka Joan Rivers alimponda Mrs Bush mwaka 2000 kwa kuvaa kama mfanyakazi wa library...hizo kandia zipo kila siku na kila mwaka wa uchaguzi!!! Woopie hana authority ya kusema aliyosema kwani ktk mambo ya style, she is terrible!!

Isitoshe. Obama kasema jana kuwa uchaguzi huu uwe juu ya big ideas na si vitu ndogo kama nani kavaa nini, sijui nani ni elite na blah blah blah...


When you have a big moment in your life, you should always try your level best to appear smart and very exceptional. You may never get that moment again for the rest of your life.

Angalia suti za Obama, bab kubwa! mama anavaa visempele tu, labda atajirekebisha. Ni maoni tu lakini I love both Michelle and Barack and I wish them all the best and luck in this coming election. Go Obama, YES WE CAN

[media]http://www.youtube.com/watch?v=8EbYmMb4lR4[/media]
Each day I live
I want to be
A day to give
The best of me
I'm only one
But not alone
My finest day
Is yet unknown

I broke my heart
Fought every gain
To taste the sweet
I face the pain
I rise and fall
Yet through it all
This much remains

I want one moment in time
When I'm more than I thought I could be
When all of my dreams are a heartbeat away
And the answers are all up to me
Give me one moment in time
When I'm racing with destiny
Then in that one moment of time
I will feel
I will feel eternity

I've lived to be
The very best
I want it all
No time for less
I've laid the plans
Now lay the chance
Here in my hands

Give me one moment in time
When I'm more than I thought I could be
When all of my dreams are a heartbeat away
And the answers are all up to me
Give me one moment in time
When I'm racing with destiny
Then in that one moment of time
I will feel
I will feel eternity

You're a winner for a lifetime
If you seize that one moment in time
Make it shine

Give me one moment in time
When I'm more than I thought I could be
When all of my dreams are a heartbeat away
And the answers are all up to me
Give me one moment in time
When I'm racing with destiny
Then in that one moment of time
I will be
I will be
I will be free
I will be
I will be free
 
Jamani mi niliachwa hoi pale Sara Palin alipotaka kumbeba yule mtoto aliyeongozana naye, sijui alitaka kumuiga Obama!. Yaani mpaka mtoto akamshangaa, ikabidi aangalie kama watu wameishtukia hiyo. Pamoja na sifa zote anazopewa Palin bado hajastahili mikimiki hii, anaonekana ni mgeni mno na wote wanaonekana kama hawakujiandaa. Tazama wenzao jinsi walivyoji-organise, anatoka huyu anaingia huyu kwa mpangilio yaani inapendeza.
 
Obviously I believed and still do that Bobby Jindal would have been a better choice for McCain but his actual choice in running mate is still lesser of two evils compared to Obama's. Heck, McCain could have picked a mountain goat as a running mate and I would still say the same thing.

Hey Varda Arts,

Pole mdosi mwenzio kaachwa!
 
Mkuu naomba kutofautiana na wewe katika nukta yako ya tatu.
Nimejaribu kufuatilia kwa kina kiasi kuhusiana na suala la Jaluo kutomchagua Mama, baada ya kuongea na jamaa wahusika wa kampeni, waliniambia kuwa official internal memo iliyotolewa na viongozi wa juu wa kampeni inasema walihofia kitu kinachoitwa "Conflict of execution".
Waliona mama anakuja with a package. Lazima mzee mwenyewe Bill aka 'Uncle Grumpy' ahusishwe katika policy making. Na unajua tena jinsi mzee alivyokuwa anabwabwaja kuhusu Obama right kabla South Carolina primary. Sasa kampeni ikaamua liwalo na liwe lakini sio kumtumia mama then ije iwe mivutano for the next 4 years. It was a bold move lakini imemake sense; Joe mwenyewe ni big calliber katika masuala ya administration. Na inaonekana wana ushkaji fulani ambao itakuwa comfortable kupishana kwenye corridor za white house, kuliko chaguo la mzee makopo. Mtu mzima yule anazeeka vibaya sasa. Sisi tuendelee kukodolea macho tu tuone nini kitajiri with the next 66 days.

Mwazange,

Kazi ya Makamu wa Rais ni kufuata anachofanya Rais, ni msaidizi wa Rais na kutekeleza Sera na mipango ambayo Rais anaitaka kuifanya kutimiza ahadi zake.

Watu wengi wamepotoka kwa miaka hii minane ya Bush kutokana na makamu wa Rais, Cheney, kuwa ndiye Rais!

Sasa ikiwa Mama Clinton aliutaka umakamu ili apitishe ajenda zake na si za Obama, je huo uongozi ungekuwa wa namna gani?

Kitu kimoja ambacho washabiki wa Hillary wanakisahau ni kutumia sayansi nyepesi. Obama na Hillary are both strong headed individualls and no one is willing to back down or wield power to the other. Sasa how could they have been able to run the government if they have different agendas and pespectives on issues?

It was easy for Obama to pick Biden who was a rival during primaries, but they share a lot in common and they can see eye to eye and even if they would have differences, they would not be of such huge magnitude the way Hillary and Obama are!

That is why Obama stated that if he were to loose to Hillary, he would not have pushed for Veep, he would have gone back to the senate and continue the work.

Hillary wants to be a President period, and being a Veep of Obama it could have been a disaster! You can't have two Presidents!
 
Rev.Kishoka,

..orodha ya viongozi waliokuwa na watoto wakiwa madarakani ni ndefu mno.

..nina hakika Nyerere,Kaunda,and Samora, wote walipata watoto wakiwa Ikulu. JFK naye nadhani alipata wakwake Ikulu.Tony Blair majuzi nao walibarikiwa mtoto wakiwa # 10 downing. sina uhakika kuhusu Benazhir Bhuto na Indira Gandhi.

Ahhh JokaKuu the Serpent General,

Wote uliowataja hapo walikuwa ni Wanaumue, unless walifanya sex change na kuzaa!

Waliokuwa viongozi ni Wanaume si wanawake.....there goes the diaper bag story!
 
Mkuu naomba kutofautiana na wewe katika nukta yako ya tatu.
Nimejaribu kufuatilia kwa kina kiasi kuhusiana na suala la Jaluo kutomchagua Mama, baada ya kuongea na jamaa wahusika wa kampeni, waliniambia kuwa official internal memo iliyotolewa na viongozi wa juu wa kampeni inasema walihofia kitu kinachoitwa "Conflict of execution".
Waliona mama anakuja with a package. Lazima mzee mwenyewe Bill aka 'Uncle Grumpy' ahusishwe katika policy making. Na unajua tena jinsi mzee alivyokuwa anabwabwaja kuhusu Obama right kabla South Carolina primary. Sasa kampeni ikaamua liwalo na liwe lakini sio kumtumia mama then ije iwe mivutano for the next 4 years. It was a bold move lakini imemake sense;

Mkuu heshima mbele, ndio maana Mandela anakuwa hana mpinzani katika siasa duniani, unakumbuka jinsi alivyompa u-Veep Chief Buthelezi? I mean kwa a big politician kama Jaluo, kushindwa kuipa nafasi a full change kwa sababu tu ya hizi weak arguments itamuandama siku zote za siasa zake hapa duniani,

Mimi siamini kuwa hizi ni strong arguments, na huu uchaguzi umenifanya kwa mara ya kwanza nikose heshima na the Kennedys kwa sababu ni wao ndio chanzo cha huu uamuzi, I do not like Mama Clinton kwa sababu ninawaona yeye na mumewe kuwa ni very complicated political calculating people, lakini still mama ali-earn a respect hata ya maadui zake,

Yameshapita na tunasimama na Jaluo, lakini kwenye hili amekosea sana kwa maoni yangu, a strong politician kama yeye hapaswi kuruhusu unyonge wa mawazo ukamuamulia namna ya kuongoza, hizi arguments zote mkuu ulizozi-present zinajumuisha one thing and one only politically, nacho ni nothing but fear on Jaluo part ya independent thinking ya Mama Clinton.


Joe mwenyewe ni big calliber katika masuala ya administration. Na inaonekana wana ushkaji fulani ambao itakuwa comfortable kupishana kwenye corridor za white house, kuliko chaguo la mzee makopo. Mtu mzima yule anazeeka vibaya sasa. Sisi tuendelee kukodolea macho tu tuone nini kitajiri with the next 66 days.

Huyu bwana ninaamini kuwa amemchagua kwa sababu moja tu nayo ni unyonge wa mawazo, ambayo anaamini kuwa hayatatofautiana naye, amegombea urais mara karibu tatu, na hajawahi kupitisha kura hata 2,000 tu?

Anyways, bado ninasema kuwa baada ya ile hotuba ya juzi, sielewi ni vipi mtu yoyote mweusi unaweza kuwa na problem na Jaluo, man that was a home run etna history in making, mblele ya watu millioni 40 ndani ya US, sijui huko nje, I mean ile hotuba ilikuwa perfect na very powerful!
 
FMES: from what Iunderstand actually Hillary alikuwa hataki kuwa VP bali bifu lao baada ya Obama kushinda ni kwamba Obama atambue historical improtance of Hillary's candidacy na also recognize Bill Clinton's presidency achievements. Ukiangalia kwenye Democratic convention waliwapa both Clinton huge support na Obama alianza hotuba yake kwa kuwashukuru wao na alimshukuru Howard Dean, BIden na familia yake, basi. Wengine wote hakuwataja ili akina Clinton waone respect aliyowapa. Na Clintons have alet go, you culd see Bill and HIllary. Wamekubali matokeo and they are moving on. Ndo maana akina Rush Limbaugh walikosa stori ikabidi Rove atunge stori nyingine ya Palin.
 
Icadon, Rev., YNIM, Nyambala: mi naamini what has to be said has been said about 'our dear friend' Palin, hamna kitu cha kuongeza, wala tusijisumbue vichwa tumsubiri siku atakapo-debate na Biden. Ile analysis uliyoweka hapa Nyambala imetosha sana, ina taking points zote. Nimecheka sana kuona on Larry king Live how GOP strategists were struggling to answer questions and didn't have any talking points. Watu kama Carville (he is WICKED!!! nakumbuka hata in primaries alikuwa anawaumiza kichwa Obama team) and Begala had a field day, walikuwa wanawa-challenge GOP ambao walibaki kupigapiga kelele o.. but Obama.... o... but Obama... ikabidi Larry King awaambie "we are discussing Palin, you have not answered the question: is she the most qualified among Republicans to be picked as VP?" Jasho liliwatoka. Carville ilifika point alikuwa hana mbavu!!
 
Rev.Kishoka said:
Wote uliowataja hapo walikuwa ni WANAUME, unless walifanya sex change na KUZAA!

Benazhir Bhutto said:
"General Zia called the first democratic elections since 1977 when he learned that I was PREGNANT, thinking that a PREGNANT WOMAN couldn't campaign, I could, I did and I won so that disproved that notion."

Rev.Kishoka said:
Waliokuwa viongozi ni WANAUME si wanawake.....there goes the DIAPER BAG story!

DESPITE HER PREGNANCY, BHUTTO CAMPAIGNED FOR 15 HOURS A DAY. When her child was born prematurely, she went straight back into the election campaign and in November as leader of the PPP won the election.


Rev.Kishoka,

..nice try...nice try...

..huwezi kumnyanyapaa Mama Palin kwasababu ana mtoto mdogo.

..unajua ushabiki kama huo ulioonyesha ndiyo unatufanya wengine tuwatetee Republican ingawa hatupendi.
 
Kama kuna uamuzi wa busara na wa kihistoria aliochukua Obama ni ule wa kutomchagua mama kama VP, period. Najua kuna wengi walikuwa wamezimia kwa mama kwa sababu mbalimbali lakini la msingi ni kuwa humchagui VP kwa kigezo cha kuwa mshindani wako mkubwa kwenye primary, no.

Kabla ya convention, Denver, kulikuwa na wasiwasi mkubwa hasa baada ya wafuasi wa mama kusisitiza kuwa jina lake liwe kwenye ballot. Jaluo na wafuasi wake nao walisimama kidete na kuamua kuwa liwalo na liwe kura zipigwe. Hii iiltokana na propaganda kubwa kufanywa kwa kutumia opinion polls za kupikwa kuonyesha kuwa mama angejizolea kiasi kikubwa cha delegates hasa kutoka CA, IL na NY. Kwa hiyo kila upande ulisubiri kwa hamu mtiririko wa hesabu mle ukumbini.

La haula, hesabu ilipoonekana kukwama kwa kuwa Jaluo amevuka 1500 na mama yuko 300 na namba inayotakiwa ni 2200, ilibidi mama aingie ukumbini na kupropose acclamation!! Bahati nzuri ni kwamba wenzetu saa zote wana contingency plans za ku"save face" mambo yanapokwenda mrama. Nakubali Jaluo anaweza akapoteza baadaye lakini msimamo aliouchukua kwa kumchagua Biden VP umemwongezea heshima zaidi na kumpandisha chati kama mwenye msimamo. Kama ataanguka, sababu iko wazi na si kwa kumwacha mama.
 
Rev.Kishoka,

..nice try...nice try...

..huwezi kumnyanyapaa Mama Palin kwasababu ana mtoto mdogo.

..unajua ushabiki kama huo ulioonyesha ndiyo unatufanya wengine tuwatetee Republican ingawa hatupendi.

...hivi Palin kama alivyo, angekuwa ni Democrats halafu achaguliwe kuwa VP, unafikiri watu kama Rush Limbaugh, Sean Hannity, Michael Medved etc wangemfanyaje!?

..mie naona Rev. Kishoka anatoa jokes tu za wkend, na kama unatetea GOP ati kwasababu wengine wanawapinga na kuwatania basi kaaaaaazi ipo...!
 
YNIM said:
...hivi Palin kama alivyo, angekuwa ni Democrats halafu achaguliwe kuwa VP, unafikiri watu kama Rush Limbaugh, Sean Hannity, Michael Medved etc wangemfanyaje!?

..mie naona Rev. Kishoka anatoa jokes tu za wkend, na kama unatetea GOP ati kwasababu wengine wanawapinga na kuwatania basi kaaaaaazi ipo...!

YNIM,

..achana na wapuuzi kama Rush Limbaugh, au hata Keith Olberman. wana agenda zao hao.

..you know, inawezekana kabisa Rev.Kishoka alikuwa anatania. kuna utani/jokes mwingi wakati wa weekend.

..lakini nimeona joke yake ina ka-harufu ka unyanyasaji wa kijinsia.

..kutokana na joke yake, it is OK kwa Raisi mwanaume kutia mimba na kupata mtoto akiwa Ikulu, lakini mwanamke ambaye tayari ana mtoto mchanga hafai kuteuliwa Makamu wa Raisi.

..kama Sarah Palin angekuwa democrat, halafu Obama akam-pick kuwa running mate, na mchangiaji kama Nyani McCain akasema yale aliyoyasema Rev.Kishoka, ningempinga na kumkosoa. nisingejali kwamba ni weekend.
 
McCain's Bridge to Nowhere....!!!
Huyu mama akianza kukaangwa na kina HRC sijui atatokea wapi.....!!

Hivi NM yupo maana naona kawa mkimya kama magopers wenginge lol...
 
McCain's Bridge to Nowhere....!!!
Huyu mama akianza kukaangwa na kina HRC sijui atatokea wapi.....!!

Hivi NM yupo maana naona kawa mkimya kama magopers wenginge lol...

..icadon,

..mi sijamwelewa vizuri mcsame na hii gamble yake.

..ina maana akifa kwa cancer huyu mama kijana ndio atakuwa POTUS?

..nashindwa hata ku-imagine.
 
Back
Top Bottom