US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Quote:-

"Mkulu siamini kwa sababu naamini hatopata nomination, but wen unthinkable happen akata nomination mzee believe me he will be unstoppable like a bush fire!"

Ahsante mkuu, angalau hiii inapunguza pressure kidogo!
 
Hiyo siku ya siku mtakuja amini maneno yangu... sina zaidi ila exploration ya reality.
 
Yes Mkandara....yaani nisingekuona leo,ningetoa mada ya kukutafuta,

The reality is (ngoja niwe Mtabiri).......Obama asipokuwa nominated........republicans watapeta
 
Nipo mkuu box limekolea kichizi naenda mbio kama mwenda wazimu, unajua tena kijiweni hapaweki mboga mezani!...
Nisije mlalamikia Mungu bureeee
 
Mkandara leo si ni weekend au inakuwaje? Au box halina mda ni seven days kwa kwenda mbele?

Si tunasherehekea kwa kuuenzi huu muungano wa Karume na Julius!
 
Mkulu wa bangoi FMES,
Eli Manning, siku ya game na Pats alipata "inside scoup" toka kwa brother 'ake Peyton ndio maana ilikuwa kazi.......lakini hata hivyo dogo yupo onfire. Kama nilivyosema huko juu, Tony Romo toka ampate Jessica mambo yake yamekuwa si sawa, anacheza huku anafikiria "blowjob"...........

tatizo la ubaguzi na ugumu anao ukabili Obama ktk hii "fear and loathing on 2008 campaign trail" (sijui hunter thompson angesemaji??) wote tunaujua, tofauti yetu ni kuwa, sisi wengine tuna believe wakati wengine wamekata tamaa kabisa!!! Kama unafuata rule of thumb, ndio, wazungu ni wabaguzi na watamchagua mzungu mwenzao.......kwahiyo Obama angebakia tu kwenye senate, hata kama ana good ideas za nini cha kufanya ziozee kichwani kwake kwa uoga kwamba wazungu hawawezi kunichagua!!!! come on guyz, mnaongea the obvious. Mie nipo upande unaojaribu ku-defy the odds, yes this is like climbing mount everest tena siku ya mvua.........siku za kukaa kwenye sidelines na kuwa mashabiki au kuwa na comedians kama sharpton zimekwisha!!.
 
YournameisMINE; Mie nipo upande unaojaribu ku-defy the odds said:
siku za kukaa kwenye sidelines na kuwa mashabiki[/COLOR] au kuwa na comedians kama sharpton zimekwisha!!.

Kijana haya maneno ni ya busara sana na ni changamoto kwa waafrika wote!!!
 
...."I like Obama, lakini the idea kwamba anaweza akashinda national election ya US, inanitisha sana kwamba the time is not ready maana hao walinzi alionao damn...!!"

FM ES, hivyo ndivyo ambavyo historia huwekwa au kutokea!, Historia haitokea katika vitu vya kawaida, inatokea kama hivi tuonavyo hiyo Barack Obama Phenomenon!

Unajua hata kule kwa warumi walikataa kuwa dunia ni mviringo, akatokea jamaa mwenye kichwa akawachalenji!- akaweka historia!-

Historia huwa inawekwa na watu waaminio wanachosema, hata kama hakuna hata mtu mmoja anayewaamini au kukubali! Kwa bahati mbaya dunia tumejaa sisi tupendao kutojiamini au tufatao mkumbo tu!.....We jiulize, baada ya 9/11 nani angekubali ati wamarekani weupe kwa weusi watakuwa wanamshabikia na kulia kwa hisia kali mtu aitwaye Hussein, mwenye asili ya Afrika (siyo black american)akiongea tu...na kumpa kura zao kwa moyo mmoja?.... As i said... its history on the making...
 
1.
[B]FM ES, hivyo ndivyo ambavyo historia huwekwa au kutokea!, Historia haitokea katika vitu vya kawaida, inatokea kama hivi tuonavyo hiyo Barack Obama Phenomenon! [/B]

Obama, haweki historia mkuu mimi nilikuwa US mwaka 1988, wakati Jesse Jackson anafanya vitu vizito kuliko hata hivi vya Obama.

2. [
SIZE="4"]Kwa bahati mbaya dunia tumejaa sisi tupendao kutojiamini au tufatao mkumbo tu!.....[/SIZE]

Hii mkuu labda ina ku-describe wewe maana mimi I havenothing to do na hii idea, ninasema ninachokiona, Obama ameshinda Iowa, Bi-Clinton ameshinda NH, kama ni history basi imewekwa na Clinton kwa kuwa mwananmke wa kwanza/Pili kugombea urais US, na kushinda primary ya jimbo moja so far, that is history in the make, lakini sio Obama maana Jesse Jackson alishwahi kufanya mkuu,

All in all, ni kwamba Obama hawezi kushinda National ya US, Gore alishindwa kwa sababu ya ku-run na a Jew Liberman, aambaye kwa rangi angalau yuko karibu na wazungu wa US, sasa itakuwa mweusi tena jaluo Obama? Tunapenda ashinde lkini ukweli hauko upande wetu, maana kwanza hata hii nomination bado haijaisha, watu wenye influence na democratic party, kina Kennedy bado hawajaingia kuanza kumsaidia Clinton, huuu mchezo bado sana.
 
......ile ya Jesse haifikii hata kidogo hii ya Obama. Jesse alishinda South Carolina, kwenye blacks kama asilimia 50, Obama kashinda IOWA so far state ambayo ni zaidi ya asilimia 99.8 wazungu!!!. Pia anapamba na Clintons machine, ambayo ni dynasty ktk politics za marekani. Mzee ES, Teddy Kennedy akiingia hapa utashangaa mwenyewe kwani atatoa support kwa Obama( prove ni Kerry ku-endorse Obama)........huwezi kum-compare Obama na Jesse, jesse anaendesha politics za kugawa wakti obama anataka kuunganisha!!!.
 
......ile ya Jesse haifikii hata kidogo hii ya Obama. Jesse alishinda South Carolina, kwenye blacks kama asilimia 50, Obama kashinda IOWA so far state ambayo ni zaidi ya asilimia 99.8 wazungu!!!. Pia anapamba na Clintons machine, ambayo ni dynasty ktk politics za marekani.....!!!.

Thanks!!!....
Ndo maana nimemwita "Phenomenon"
 
Nyani actually its otherway round, kama atapata nomination its gonna be all the way....

Ugumu upo hapo tu hao Rep weupe tu kama Simba kumfunga Yanga....

All the way una maana gani...destination 1600 Pennsylvania Avenue..? Hell to tha no..
the overwhelming white majority is not ready for that yet...I'll believe it when I see it
 
..kijana anayeandika hotuba za Obama atajipatia UMAARUFU na UTAJIRI mkubwa sana. Mama aliyeandika hotuba ya Reagan aliyoitoa pale Berlin wall ni maarufu ktk circles za republican.

..unajua hawa wenzetu wanapoandika hotuba wanazingatia kuanzia wajihi wa mtoa hotuba, na hata lafudhi yake.

..ile hotuba ni tailor made for Obama. Ukimpa Rudy Guliani, Fred Thomson, .. hiyo hutoba hutataka hata kuisikia.

..pamoja na kwamba Barack husoma toka kwenye teleprompter lakini tumpe sifa yake kwamba anajua jinsi ya ku-present hotuba.

..halafu ile hotuba ni rahisi sana kuwasisimua wasikilizaji wake kwa kibwagizo cha "YES WE CAN!!"

..nategemea waandishi wa hotuba wa Tanzania wanaangalia details kama hizo.
 
Kitu kinanitatiza kwa Obama ni uwezo wake ktk public address- e bwana- yaani si uongo huyu jamaa amejaliwa na kipaji!

May be Martin Luther King- ndo alikuwa na huu uwezo!

Hatumii desa- je huwa anakariri au niaje?
 
Kitu kinanitatiza kwa Obama ni uwezo wake ktk public address- e bwana- yaani si uongo huyu jamaa amejaliwa na kipaji!

May be Martin Luther King- ndo alikuwa na huu uwezo!

Hatumii desa- je huwa anakariri au niaje?

JokaKuu anakwambia husoma kwenye "teleprompter", which you can't tell kama anasoma.
 
Ile old school ya akina Jesse na siasa zao za Black Power ndo vitu ambavyo Kampeni ya Obama wamezipa Kisogo.

Jamaa weusi wa Old school wanapita huko na huko kupiga Kampeni za kijinga kwamba Obama anajikomba kwa wazungu na pili simweusi kiasi cha kutosha kuwa mweusi.

Hawa akina Jesse tatizo lao ni moja, wamebaki pale Martin Luther King alipowaacha. hawakui wala hawasongi mbele wao bado wanapigania haki ambayo ilishatolewa siku nyingi. Miaka yote hii waliyo piga domo la siasa ni kwa nia ya kuona mgawanyiko wa weusi na weupe unabakia ili wao waendelee kula. Akina Jesse ni watu wanao omba dhiki kwa wenzao weusi isiishe ili waendelee kuwa na cha kusema.
Kijana Obama kawapiga chenga ya mwili na kuwaacha wanahaha huko na huko na kampeni zao za chuki.
Siasa za Obama si za kulia lia ooh sisi ni weusi tunaonewa sasa ni zamu yetu kuwaonea ninyi wazungu.

Siasa za akina Jesse Jackson zimepitwa na wakati hazina nafasi karne hii ya 21.

In short those politics belong to Dumpster.
 
Quote:-

"All the way una maana gani...destination 1600 Pennsylvania Avenue..? Hell to tha no..the overwhelming white majority is not ready for that yet..."

Mkuu Nyani,

Ahsante sana mkuu,

Mkuu YRS,

Hakuna ubishi ila tunaongelea reality, Jesse Jackson alishinda majimbo mengi tu, Obama ndio kwanza kashinda moja, I understand your love kwa Obama, we all do lakini pia kuna reality ambazo hatuwezi kuzikwepa kwamba US bado haijawa tayari kwa rais mweusi, NY majority ya wapiga kura ni Spanish, lakini Mayor ni Mzungu, hizi ni reality of life in US, Otherwsie wote tunamtakia mema Obama,

Mkuu wa Phenomen,

Sikujua na hilo nalo ni jina lako, duh kweli hii forum ina watu wakali, wajanja na wenye akili nyingi sana!
 
Siasa za akina Jesse Jackson zimepitwa na wakati hazina nafasi karne hii ya 21.

Mkuu ninacosema ni kwamba Jesse Jackson, naye kwenye uchaguzi wa mwaka 1988 alikuwa almost ashinde nomination, mpaka dakika za mwisho ndipo ikaibuliwa kuwa aliwahi kuwatukana wa-Jew na ile "Hammieytown" ndipo akatolewa na Dukakis, otherwise anyoyafanya Obama sasa hivi sio mapya wal historia, now that has nothing to do na siasa za Jesse wala Obama, kwa hiyo tujaribu ku-deal na one at time sikusema anything kuhusu siasa za Jesse, nimesema kuwa na yeye aliwahi kushinda majimbo mengi sana kwenye uchaguzi wa 1988 kwa hiyo anachofanya sasa Obama sio history, wala phenomen!
 
Quote:-

"All the way una maana gani...destination 1600 Pennsylvania Avenue..? Hell to tha no..the overwhelming white majority is not ready for that yet..."

Mkuu Nyani,

Ahsante sana mkuu,

Mkuu YRS,

Hakuna ubishi ila tunaongelea reality, Jesse Jackson alishinda majimbo mengi tu, Obama ndio kwanza kashinda moja, I understand your love kwa Obama, we all do lakini pia kuna reality ambazo hatuwezi kuzikwepa kwamba US bado haijawa tayari kwa rais mweusi, NY majority ya wapiga kura ni Spanish, lakini Mayor ni Mzungu, hizi ni reality of life in US, Otherwsie wote tunamtakia mema Obama,

Mkuu wa Phenomen,

Sikujua na hilo nalo ni jina lako, duh kweli hii forum ina watu wakali, wajanja na wenye akili nyingi sana!

Mkuu sisi tumesema sana hili hadi tukaonekana hamnazo. Obama kapagawaisha watu kiasi kwamba hawaoni, hawasikii wala kunusa kitu. Ndiyo yaleyale ya JK 2005, ulikuwa ukimkosoa JK wakati ule unaonekana kuchaa. Tofauti ya wenzetu hawa wazungu linapokuja kwenye swala zito la urais wa US hawafanyi mambo kwa jazba. Siku ya siku watatulia na watamchangua Rais wa saizi yao ambaye sidhani kama ni huyu ndugu yetu; well let's wait and see.
 
Madela wa Madilu,
Nakuunga mkono msee, kwa point ulizotoa hapo juu..........nakuomba uwepo mitaa hii kwa sana na kule kwa jukwaa la diniii uwaachie wakina "mtindio wa ubongo," hakukufai!!! LOL.

ES,
Mayor wa NYC ni Jewish originally from Medford, MA......ka-mji ndani ya metro Boston. Kama unaongelea gavana Spitzer ni mzungu, lakini hiyo ni factor ya upstate ambako wazungu ni wengi!!! Politics za NYC ni issue nyingine na imeshikwa na Jews na Mataliano.
Jesse alishinda states zenye weusi wengi, tena baada ya kura za wazungu kugawanyika mno miongoni mwa wagombea wengine. Jesse na Sharpton wana-jealous na Obama, wanaogopa kufunikwa maana mwisho wa siku ya mchakato huu Barack ndio atakuwa top black ktk america...................Obama ana uwezo wa kushinda kura za wazungu, kitu ambacho Jesse hakuwahi hata kuthubutu. Kampeni inaungwa mkono na wasomi ktk rainbow of colors, angalia numbers toka NH. Wasee mnatakiwa m-believe kwanza kabla ya kuona.
 
Back
Top Bottom