US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

alichemka kivipi sasa wakati ndio siasa yenyewe hiyo..? yaani imeshafikia mahali Obama hakosolewi tena...harushiwi makombora....hivi sasa media ikimgeuka Obama tayari watu wataanza kulia racism....wakati mwingine watu wanakuza tu mambo hata yasiyo na msingi....kwenye siasa kuna vijembe...sasa mmoja ya wagombea akirushiwa kijembe inakuwa taabu...lazima watu wajieleze...
 
ngabu,
kwa maana ya "fairy tale" ni nini? jibu lake ndio tatizo!!.
Sentensi ya Hilly kwamba it took a president to sign civil rights bill, pia ipo offensive kwani inadaiwa ku-demise the work of MLK!!!.
Madogo ruksa, lakini yasivuke mpaka. Pia ndio maana watu wanataka change, maana politics za kuvurumishiana madogo ni za kizamani. Mbona Obama harushi madogo?, kampeni yake ni clean kana glass ilotoka kwa dish washer mashine. Kubali kataa, hawa clintons wapo xposed na hawajali tena.....their playbook is getting old na ni wao ambao behind the scene wana-play racial politics!!.........kuna operative wao mmoja kamwita Obama "kenyan american"!!! wrong.....jamaa ni "african american." Cheap shots kama hizo lazima zikome!!
 
......oooh trouble, kumbe congressman clyburn anapata malalamiko toka kwa watu wa jimbo lake in South Carolina!! Now 50 per ya democratic primaries voters ni weusi in SC........maaaaan that clinton rant, turned pple off!!.
 
Mkuu Y,

Kuna very interesting analysis, inayosema kuwa wanawake ndio waliompa kura nyingi NH Bi-Clinton kwa sababu hawakupenda kuona wanaume kina Obama na Edwards, wakiungana kummshambulia mwanamke mgombea pekee wa urais kwa hiyo ilikuwa ni kura ya sympathy zaidi kuliko sera, na kwamba as the elections moves forward sasa the Clintons, wameshaanza ku-dug in na the fact kwamba mpaka sasa Bi-Clinton anao delegates 198 against 78 wa Obama, uwezekano wa Obama kushinda unaanza kufifia, au unasemaje mkuuu?

Binafsi I like Obama, lakini miaka 20 niliyowahi kuishi US, ninajua kuwa sasa hivi huu uchaguzi ni kati ya Obama na Bi-Clinton, Edward haendi mbali atajitoa karibuni sana maana sera yake ya "MiddleClass" na average joes huku akienda kunyoa kwa dola $ 400.00 ni doomed tayari, je US itamchagua Obama jaluo, kabla ya Anglo-Sax Bi-Clinton? hilo siamini bado,

Lakini I pray, for Obama kushinda.
 
ngabu,
kwa maana ya "fairy tale" ni nini? jibu lake ndio tatizo!!.
Sentensi ya Hilly kwamba it took a president to sign civil rights bill, pia ipo offensive kwani inadaiwa ku-demise the work of MLK!!!.
Madogo ruksa, lakini yasivuke mpaka. Pia ndio maana watu wanataka change, maana politics za kuvurumishiana madogo ni za kizamani. Mbona Obama harushi madogo?, kampeni yake ni clean kana glass ilotoka kwa dish washer mashine. Kubali kataa, hawa clintons wapo xposed na hawajali tena.....their playbook is getting old na ni wao ambao behind the scene wana-play racial politics!!.........kuna operative wao mmoja kamwita Obama "kenyan american"!!! wrong.....jamaa ni "african american." Cheap shots kama hizo lazima zikome!!

Oh come on...yaani sasa kila neno litakalotamkwa ktk hizi kampeni na mpinzani yoyote wa Obama lazima lichanganuliwe? Duh! ama kweli haya mambo ya political correctness sasa yanatia kinyaa. Hawa wapambe wasipoangalia sasa wanaweza kumponza Obama na kukawa na backlash ambayo haijawahi kutokea. Clinton alikuwa anazungumzia rekodi ya Obama na si maisha yake binafsi. I guess it's okay scrutinize and bellitle other candidates' records but Obama's is sacrosanct...what a double standard
 
Backlash itakuwepo, kwani kwa mtazamo wangu ndicho kitu ambacho clintons wanataka ku-creat ili washinde!!!. Its about their legacies and peculiar place in history books.......they don't care!
Ku-scrutinize record ni sawa, lakini he did not do tht in a "clean" and clear cut way.....kaweka rant kwa makusudi, kusukuma hii debate ifike hapa ilipo ili wao wanufaike, sad!!
Whatever happen, sidhani kama history itawasamehe kwa hili.........mie mshabiki wa machiavelli, lakini hii sidhani kama hata yeye angei-approve.
 
Haya bana mi ngoja niangalia NFL network hapa....just can't wait for tomorrow
 
Jax lakini wanatisha hao!! maana wana miili mikubwa ka-nini yaani......rodney harrison mimacho ilikuwa imemtoka juzi akisisitiza ukweli huo. Lakini, mwisho wa siku, kesho jaguars wanabonyezwa kiulainiiiii.....maana tom brady hajawai kupoteza game ya playoffs pale gillette stadium!!. Manta-hofu msee, kila kitu itakuwa juu ati!!.
 
haya naona clinton katoa maelezo...is it too late?
Bill Clinton just called into Al Sharpton’s radio show to explain what he meant when he referred to Barack Obama’s campaign as a fairytale.

“First of all, that’s not true,” Clinton said. “It’s not a fairytale. He might win. I think he’s a very impressive man and he’s run a great campaign. I was addressing a specific argument [Obama made] that had never been brought up in the debate.”

Obama's argument, Clinton said, was that “[Obama's] relative lack of service in the Senate was not relevant, because he had better judgment than all the Democrats, because he had always been against the Iraq war in every year. And he enumerated the years from 2002 to 2007. And I pointed out that he had never been asked about his statements in 2004, that he didn’t know how he would have voted on the war resolution. And there was, at that time, there was no difference between his position and President Bush’s.”

“Wait a minute," said Sharpton, who hasn't yet endorsed a candidate. "Senator Obama said there was no difference in his position and President Bush’s?”

“In 2004,” Clinton responded affirmatively. “Look, there could be a perfectly good explanation for it [why he would say that]. Maybe he felt once it was done, he just wanted it to work, including the U.N. My point is it disproves the argument that everybody else was wrong and he was right.”

After praising Obama again, Clinton added, “And I have gone out of my way not to express any personal disrespect for him or his campaign, even when they’ve been fairly critical of me and Hillary.”
 
..wakuu,

..hivi mwai kibaki ashafikiria uwezekano wa obama kuwa rais wa states?
 
..wakuu,

..hivi mwai kibaki ashafikiria uwezekano wa obama kuwa rais wa states?

Of course! na he is intelligent enough kujua Obama atakuwa President of USA who will keep africans politics at the bottom of his priorities let alone Kenya issue...
 
Mkuuu YRS,

Vipi hiii game ya Jints na the boys? kweli Jints watawaweza Romo na TO, maana wiki nzima ilikuwa media big deal ya Romo na Jesica yaani tumechoka,

Obama juzi alikuwa Jersey City, damn yaani ukumbi wa watu 3000ulijaa ikabidi wananchi karibu 1000 wawekewe TV screen nje, no mtter what by the time uchaguzi huu umeisha siasa za US hazitakuwa the same again, I know kwamba sasa Obama, ataiona fresh the otherside of the Clintons, lakini bado atawatesa sana mpaka ieleweke exactly what they are made of, yaaani the Clintons are they for real?

I like Obama, lakini the idea kwamba anaweza akashinda national election ya US, inanitisha sana kwamba the time is not ready maana hao walinzi alionao damn! karibu 24 wa nini maana sasa inakuwa taabu hata kumsogelea!
 
Mkuu FMES,
Tony Romo anapelekwa puta na mapenzi mapya, ili washinde itabidi yule demu asiende mpirani(asiwepo uwanjani) maana akiwepo tu lazima waloe!!. Pia Eli Manning, ka-improve sana yaani, hao boyz kazi wanayo.

Ulinzi mkubwa anao ndio, lakini unaweza kumsogelea na kumuomba picha tena kwa kishwahili!!!!. Walinzi inasemekana ni wengi zaidi ya 24, kuna ambao wanajichanganya na wananchi na snipers incase rally inafanyika sehemu ya wazi.
Ukienda kwa Michuziblog, early december kuna chalii mmoja kapost picha na Obama akiwa manchester........watu wengi(wabongo & wakenya) walifanya hivyo lakini mambo ya kwa Michuzi ni noma!!.
 
Of course! na he is intelligent enough kujua Obama atakuwa President of USA who will keep africans politics at the bottom of his priorities let alone Kenya issue...

..mkuu masatu,

..hapa mambo yatakuwa otherwise. unajua,jamaa ana-mind mambo ya kwao ujaluoni,kiaina. ukizingatia jinsi kulivyoharibiwa kwa ajili ya siasa,hatakaa kimya,anaweza chukua hatua kimyakimya!

..anyways,nasikia alipokuwa kule majuzi aliongea vitu,jamaa wa kibaki wakamwambia aanze!sasa unafikiri atakuwa haja-mind kiaina?

..we'll see what happens!
 
Mkuuu YRS,

Vipi hiii game ya Jints na the boys? kweli Jints watawaweza Romo na TO, maana wiki nzima ilikuwa media big deal ya Romo na Jesica yaani tumechoka,

Obama juzi alikuwa Jersey City, damn yaani ukumbi wa watu 3000ulijaa ikabidi wananchi karibu 1000 wawekewe TV screen nje, no mtter what by the time uchaguzi huu umeisha siasa za US hazitakuwa the same again, I know kwamba sasa Obama, ataiona fresh the otherside of the Clintons, lakini bado atawatesa sana mpaka ieleweke exactly what they are made of, yaaani the Clintons are they for real?

I like Obama, lakini the idea kwamba anaweza akashinda national election ya US, inanitisha sana kwamba the time is not ready maana hao walinzi alionao damn! karibu 24 wa nini maana sasa inakuwa taabu hata kumsogelea!

Mkuu wewe ndio naona tuko kwenye ukurasa mmoja. Uwezekano wa yeye kupata uteuzi upo lakini kushinda uchaguzi mkuu...dunno about that...
 
Nyani actually its otherway round, kama atapata nomination its gonna be all the way....

Ugumu upo hapo tu hao Rep weupe tu kama Simba kumfunga Yanga....
 
..akipata nomination,america will've it's first black president.

..calm in the middle east will be possible!

..africom will materialize sooner.

..the world will be changed!

..just a few i can imagine!
 
early december kuna chalii mmoja kapost picha na Obama akiwa manchester........watu wengi(wabongo & wakenya) walifanya hivyo lakini mambo ya kwa Michuzi ni noma!!.

Ndio bwana mdogo ni mshikaji Mwingira, good guy, Michuzi naona siku hizi kumejaa wananchi wanaotaka ujiko wa kukimbilia kupiga picha na kujianika kule yaani matatizo ya taifa hawana habari kabisaa, ni pichaaa tu ndio maana wegine tutafia hapa JF,

Jints waliwatesa sana NE, je kuna uwezekano wa kuwapita the Boys?

Mkuu Masatu,

Kweli unaaamini Obama anaweza shinda National ya US? are you serious maana ninaposikia mawazo kama yako ninakuwa nervous sana, yaani nataka kuamini lakini ninajua ukweli kutokana na experience, hebu weka the insight zaidi mkuu tupate moyo!
 
Mkulu ES

Siamini kwa sababu naamini hatopata nomination, but wen unthinkable happen akapata nomination, mzee believe me he will be unstoppable like a bush fire!
 
Back
Top Bottom