US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

The Hilly-Billy team is becoming ridiculous! They think that by bad mouthing Obama they gain votes! Basi nimecheki comments kwenye blogs mbalimbali, the African Americans are FURIOUS! Nakwambia hawapati kura! Washindwe na walegele!
 
ila mkuu McCain namkubali sana, yule jamaa anasifa za ki GOP za kikamanda kamanda,issue ile ya Surge aliipigia debe all along,wakati ambapo baadhi ya GOPs walikuwa wameanza kufuata mkumbo wa Democratcs,halafu jamaa anaonekana kama ana uungwana hivi.
Asipopita Obama,nadhani kwa mara ya kwanza naweza kumkubali/kumpendelea Mripublican ili mradi awe McCain

Saafi sana maoni mazito mkuu!
 
Jamaa yuko very humble alafu si unajua alikuwa POW Vietnam kwa miaka sita, naona Gov wa Michigan kamendorse leo.
 
The Hilly-Billy team is becoming ridiculous! They think that by bad mouthing Obama they gain votes! Basi nimecheki comments kwenye blogs mbalimbali, the African Americans are FURIOUS! Nakwambia hawapati kura! Washindwe na walegele!

Hao African Americans wasipoangalia watawa-alienate wazungu ....na wakifanya hivyo wasahau kwa Obama kushinda. Huwezi kwa kila kitu kitakachosemwa wewe unaangalia vijineno fulanu fulani halafu unaanza kushutumu ubaguzi. Hata kama Obama mwenyewe hafanyi hivyo, hao ma-surrogates watamponza...sio kila kitu ni racist tu
 
Uso kwa uso McCain na Clinton ktk general election, bora McCain!!.
 
aisee Nyani hiyo ni balaa, yaani the Clintons wameharibu, wafuasi wa Obama nao wameharibu....yaaani it will be very difficult kwa Demo kuchukua.........yaani Reps watapeta kwa saana........halafu ukiunganisha na population ya walatino ilivyo duuuu.......nakwambia Demo wana kazi
 
YournameisMINE,
dogo hunielewi na hutanielewa kamwe. Kwanza kabisa ktk mada hii nimezungumzia WATU ambao walishindwa kumwelewa Field Marshall Es na sikutaja wala kuashiria jina lako pamoja na kwamba yawezekana ulikuwa mmoja kati yao. Kifupi sisomi hoja zako kwa hiyo sikuelewa kabisa hadi pale ulipoingia na kudai NIANGALIE yasije kuwa ya Andrew Young..
Nikajiuliza kulikoni, kisha nikarudi nyuma kusoma na kweli nikaona wapi umeipata dhana yako ktk mada hii... yaani umekuwa mtu wa kujikisia tuuu kila napoandika kitu. Yes, hiyo hoja ya mwisho hapo juu nimekutaja YNIM baada ya lakini haikuwa kusudio la hoja yangu iliyotangulia....Nililenga kwa wote wasiomuelewa Field Marshal Es na sidhani kama wewe ulikuwa mmoja wao.
Na kama utaendelea kufikiria hivyo (kujikisia) ktk kila hoja yangu basi mjomba hii ngoma bado kabisa kwani mara nyingi unaweza kuwa ktk kundi la wale naowaomba ama kuwataka kuwa na upeo nje ya kabati...life goes on.
Nakuomba sana tuyaache yaliyopita tuangalie mbele huu ushabiki hautajenga kitu kati yetu wala taifa letu ila utazidi kubomoa mawasiliano kati yetu. Nielewe vizuri napotoa hoja inayopingana na yako (mtazamo tofauti) haina maana naendeleza ushabiki bali isome kisha jibu kwa hoja kama vile kaandika Jasusi, Ogah ama mtu mwingine na sio Mkandara.
 
Hawa waungwana naona wameamua kujirudi lakini the damage is done

By DAVID ESPO, AP Special Correspondent 54 minutes ago

Democratic presidential rivals Hillary Rodham Clinton and Barack Obama stepped back from a controversy over race Monday night, agreeing that a prolonged clash over civil rights could harm their party's overall drive to win the White House.
 
Icadon,
Hii ngoma bado kabisa yaani utakuja sikia jingine likifumka. Na wala haitaanzia kwao ila washabiki wao watazidi kuchombeza kuni.
 
Icadon,
Hii ngoma bado kabisa yaani utakuja sikia jingine likifumka. Na wala haitaanzia kwao ila washabiki wao watazidi kuchombeza kuni.

Ila hii tangu mwanzo ndio ilikuwa inaelekea huko watu walikuwa wanasubiri the right moment kuwasha moto, maana naona kila mtu anataka huruma ya either watu wa race au gender yake.
Dick Morris naona alikuwa anashindilia kwenye Hannity&Colmes kuwa incident ya Jana ya Bob Johnson ni sawa na ile ya Arafat, Mama Clinton akaja na excuse ya kuwa haelewi kiarabu.
 
YournameisMINE,
dogo hunielewi na hutanielewa kamwe. Kwanza kabisa ktk mada hii nimezungumzia WATU ambao walishindwa kumwelewa Field Marshall Es na sikutaja wala kuashiria jina lako pamoja na kwamba yawezekana ulikuwa mmoja kati yao. Kifupi sisomi hoja zako kwa hiyo sikuelewa kabisa hadi pale ulipoingia na kudai NIANGALIE yasije kuwa ya Andrew Young..
Nikajiuliza kulikoni, kisha nikarudi nyuma kusoma na kweli nikaona wapi umeipata dhana yako ktk mada hii... yaani umekuwa mtu wa kujikisia tuuu kila napoandika kitu. Yes, hiyo hoja ya mwisho hapo juu nimekutaja YNIM baada ya lakini haikuwa kusudio la hoja yangu iliyotangulia....Nililenga kwa wote wasiomuelewa Field Marshal Es na sidhani kama wewe ulikuwa mmoja wao.
Na kama utaendelea kufikiria hivyo (kujikisia) ktk kila hoja yangu basi mjomba hii ngoma bado kabisa kwani mara nyingi unaweza kuwa ktk kundi la wale naowaomba ama kuwataka kuwa na upeo nje ya kabati...life goes on.
Nakuomba sana tuyaache yaliyopita tuangalie mbele huu ushabiki hautajenga kitu kati yetu wala taifa letu ila utazidi kubomoa mawasiliano kati yetu. Nielewe vizuri napotoa hoja inayopingana na yako (mtazamo tofauti) haina maana naendeleza ushabiki bali isome kisha jibu kwa hoja kama vile kaandika Jasusi, Ogah ama mtu mwingine na sio Mkandara.

Waste of time and energy....sina time na mijitu mijinga kama wewe!!! umejaa majungu, manung'uniko na uswahili wa ajabu sana....ukome na ulegee sitaki kujibishana na mtu kama wewe, kubwa zima akili za kuazima...pambaf!!! YES. Hivi nani hasa unaye mpa hizo lecture zako? Mfano wako wa chakula kwikwiwkikwiwi ulikuwa ni kichekesho. Najua nini unafanya, nimejaribu kuku-avoid, lakini nipo fed off natabia yako hasa unapo refer kwa kutaja YNIM........kama unasema, sema tu sio lazima kuweka jina!! Buraza acha uswahili na utoto, unamatabia ya kizigua.......kwa Andy Young uli-lose, so far hapa ni attacks tu zidi yangu bila point yeyote ya maana. Una "jail mentality" ndio maana mie nakuona mjinga, grow up!!! seriously, sitakujibu tena!.
 
Sorry everybody, lakini siwezi kumwacha huyu jamaa ku-get away with this bs..........................!!!
 
hey hey hey guys ..........i see now its getting out of hand!!.....guys calm down!! it ain't gonna help nobody
 
I know na ndio maana nimeomba radhi, muulize Ngabu anajua hii imeanzia wapi!! mie nilikuwa nimemaliza tunakata issues, yeye kaja kayafufua..........nimejaribu kumu-avoid na FMES akasema yaishe, mie nikakubali yaishe.........jamaa kaja na hilo li-lecture kwa ajili yangu hapo juu. Ananikera sana kwa tabia yake hiyo ya kutaja majina ya watu halafu anaongea mambo ya ajabu kusema anafundisha watoto wa primary school. Anyway, i'm so sorry kwa jamaaz wote na officially mie nimemaliza kujibizana moja kwa moja na huyu jamaa!!! SORRY GUYZ.
 
Hivi hakuna forum za wamarekani huko raia mkatukanane? maana hili katika hili jamvi tunajadili mstakabali wetu na ufisadi unaoitafuna nchi yetu na namna ya kujikomboa kwa hao hao mnaowatetea humu na kuwashabikia....! Tangu lini Siasa za USA zikawa so central kwa maisha yetu watanzania kama hivi? Guys hata kama ni ushabiki..at the end of the day...anayefaidika ni raia na demokrasia ya USA na siyo sisi kapuku tuliojaliwa kubwekea hapa kwenye keyboard!! Its so disguisting! Kwani akishinda Democrat, Republican what do you have to lose or to gain? Hizi zote ni characteristics za sisi watu wenye njaa!!! Umaskini ni kitu kibaya lakini umaskini wa fikra is worse! Au wengi wenu mnafikiria Obama akishinda au Hillary mtapata uhalali wa kuishi US? Kama wewe ni illigal utaendelea kuwa illigal immigrant till when you legalize your status and not by wishful thinking!

This is too low for JF!!!! This shows ni namna gani the so called scool, exposure among others, has never liberated some of us here!!!

MOD close this thread! Inazidi kuexpose ujinga wetu humu!
 
Hivi hakuna forum za wamarekani huko raia mkatukanane? maana hili katika hili jamvi tunajadili mstakabali wetu na ufisadi unaoitafuna nchi yetu na namna ya kujikomboa kwa hao hao mnaowatetea humu na kuwashabikia....!..... Au wengi wenu mnafikiria Obama akishinda au Hillary mtapata uhalali wa kuishi US? Kama wewe ni illigal utaendelea kuwa illigal immigrant till when you legalize your status and not by wishful thinking!

Masanja N'gwanawani tuliza boli!

Sasa mbona unatuumbua mshikaji, unajua tena mambo ya ulaya limbukeni wakifika huku na I-20 ya kughushi SS ya kughushi basi hawashikiki. Hata mimi naona aibu kuona huyu mwenzetu anaanza kutukaka ovyo; kwanza hata kura hatapiga!

Kumbe na huku wanaiba kura ( naambiwa kuwa ndiyo waalimu wakuiba kura)hebu jionee mwenyewe: [media]http://www.youtube.com/watch?v=rzBFIH-96O4[/media]
 
Mkuu YRS,

Tafadhali ndugu yangu, wewe ninakuaminia sana mkuu, imetosha bro wananchi wanajifunza mengi sana hapa kwenye hii topic, yaliyopita yamepita, viongozi wengi sana wa bongo wanamshabikia Clinton, kwa hiyo wanakuja sana hapa kuchota info, na ninawajua kwa majina,

Mkuu Msanaja,

Heshima mbele mkuu, ndio mambo ya mijadala hayo, lakini bado tunahitaji elimu zaidi ya hii topic,

Kwa niaba ya wote ninaomba niombe radhi, tuvute pumzi na tusonge mbele na hii topic, tutawaomba Mods wafute hizo sehemu zenye "hot air" ili tuendelee na mjadala, wakuu vuteni pumzi wote wakali wa fikra na zinahitajika hapa JF!
 
Back
Top Bottom