jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
..true, true! lakini ni notion mbaya sana kuikumbatia kwani can be used against whoever the Dem nominee is.....issue hapa ni issues na sio kujisahau kwa kusema kwamba americans wamechoka and therefore its obvious that, they will vote Dem come November......that will be a fatal mistake, yaani kama kuna wapiga kura pumbavu ktk dunia hii basi wa TZ na US ndio wapo on top....sijui ni wepi wanaowazidi wenzi wao, maana bongo hawapo well informed then wanaboronga...hawa wa huku wanakila kitu na infos zote lakini kwa kuboronga pia hawajambo!!
Vying for power has proven to be such an unavoidable consequence!
Na ndio maana wanataka sasa waanze kuzungumzia issues!
Tatizo hapa ni kuwa issue zao sasa zinajulikana na basically people now knows where they exactly stand on basically most of the issue the deem matters to them!
Na ndio maana delegates pamoja na wengine wanamwambia hivi huko kwenye kampeni ili ushinde utawaambia nini wananchi zaidi ili ushinde? Basically kashfa mpya kwa jaluo ni wazo zuri lakini lenye kuzidisha chuki na migawanyiko!
Because we now know their positions then the next thing ni kuanza kampeni za kuwawin baadhi ya repubs na independent!
Muda wa ku heal ni muhimu sana uwe mrefu kidogo!
Njia ya kumshinda Obama haiwezi kuwa zaidi ya mudsliding!
Na kuboronga ni posible kwasababu ya woga wa kisaikolojia! Hata CCM huwa wanautumia...Upinzani hivi upinzani vile..Kabila hili sio safi kabila hili vile,wapinzani wata iua nchi nk..Psychologically wananchi huwa wana cling on what they deem is safe to them and familiarity also counts! ndio maana Mc Cain keshagundua hilo na anataka makubaliano ya kampeni safi yaishe kwani anajua kama si kampeni chafu Mama asingekuwa hapo alipo wala Bush asingekuwa hapo alipo! Sasa wanataka walete uwoga kuwa huyu jamaa sio jasiri na hana uwezo wa kumwaga mibomu huko middle east kwa maadui wao!
Huseni ampige bomu huseni..Hawaoni possible na kuna wale wanaoingiza ile notion kuwa ni pandikizi la waislam!
Na unajua kwenye dola"in God we Trust"
This is a christian country lakini wright keshawaambia kiarabu sio kiislam!
Kazi bado ipo!