YNIM
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 2,236
- 63
....hivi 'Networks' nazo kwani zinagombea urais?? huwezi uka-justify kile kisemwacho na networks kuwa sahihi kama HRC akikisema!!! think...
networks hizi za kina Bill O, Chris M na Wolf B e.t.c unadhani zinajali?? HRC kaenda nje ya mstari kwa zile comments zake......
....kila kitu kina mwanzo na mwisho, huu ni mwisho wa Clinton Political Dynasty( get busy kuandika orbituary yao) na ni mwanzo wa mtu mweusi kugombea urais na pengine kushinda!! je hard working white americans wata-vote mtu mweusi kuwa rais?? swali gumu, hatujui, wewe hujui, HRC hajui, nobody knows(kwasababu hajawahi kutokea)....so give it a chance na sio utoto wa sentensi za kibaguzi, then wakiambiwa wanakuja juu na nyie mashabiki mnashabikia mambo ya ajabu!! ebo
look, hii ni 2008 na sio 1960....mambo yanakwenda yakiongezeka huku yakibadilika kwa kasi!!! Go Obama.