gamba la nyoka,
..mimi nadhani hawa liberal wataja toana macho jinsi wanavyomgombania Barack Obama.
..yaani wanajiaibisha sana wanavyopakaziana mambo ya u-racist ili mradi waonekane they are cool and comfortable with AA and Obama.
..hii habari ya kusema Obama anakosa support ya white-blue-color workers hakuianzisha HRC. tena kama unafuatilia kila network huchambua ushindi wa Obama/HRC na kuelezea umetokana na which demographic group.
..sasa ukianza kuchambua kura kwa kutumia demography ktk nchi kama Marekani basi huwezi kuepuka comments kama za HRC. lakini comments hizohizo tumekuwa tukizisikia kila siku kwenye hizi networks.
..ppl need to be very careful here b4 race becomes the theme, and major issue, in this presidential race.
jmushi1,
..hayo mambo ya kugawa wapiga kura white,black,latino, yellow, blue-color etc etc, Barack Obama amekuwa akiyapinga siku zote.
..vilevile mambo ya kuchongeana huyu RACIST huyu vile sidhani kama yanamsaidia Obama. sana sana yanaweza kuwa-galvanize weupe dhidi yake.
..Obama ndiyo alikuwa mgombea wa kwanza kurusha tangazo kwamba HRC "hawaheshimu" Hispanics. Hiyo ilikuwa wakati wa primaries za Nevada.
..sikuelewa alichosema Bill Richardson wakati anamu-endorse Obama. kama hicho ndicho alichokisema basi kinaenda kinyume na kauli mbiu ya kampeni ya Obama kuwaunganisha Wamarekani wote.