jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
Tatizo lenu nyinyi maniacs hamna hoja zaidi ya kulia ubaguzi. Mnaamini mkilia hivyo basi mtaachwa kwa sababu hakuna mtu anayependa kuonekana mbaguzi. Leteni hoja kabambe na si kulia lia ubaguzi.
Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini asilimia kubwa(karibia wote) ya wale waliompigia kura Clinton walisema hawatampigia kura Obama kwenye uchaguzi mkuu hata kama akishinda nomination?
WHY NYANI WHY?
NB:Tafadhali ujibu na si kuwaita watu maniacs!