Susuviri,
..lets be fair kidogo. nadhani hawa MSNBC na CNN ni enemy territory kwa kina Clinton. pamoja na kwamba waliwatetea wakina Clinton walipokuwa in power, lakini ktk uchaguzi huu, CNN,na MSNBC, wamekuwa biased to the point of being irresponsible.
..liberal media imewatenga Hillary na Bill. ndiyo maana wameona ili kuwasilisha ujumbe wao bora waende hata huko FOX NEWS, na kwa kina Rush Limbaugh.
..labda suala la kushangaza kabisa ni jinsi ambavyo Hillary ameendelea kufanya interviews na watu wa MSNBC. Nasema hivyo kwa kuzingatia kwamba hawa ni liberal network ambao walienda mbali mpaka kumtukana Chelsea,kumuandama Mzee Clinton, na kumkandia Hillary na kampeni yake.
..mimi ni kati ya wale ambao wanaamini kwamba media inaweza kumpamba na kumuinua Barack Obama, bila ku-destort rekodi, na ku-destroy legacy, ya kina Clinton..