Wakuu Heshima mbele, kwa mtizamo wangu:-
1. Democrats wana two big problem, nazo ni (a). Wagombea wawili weak, Hillary ni un-likable na Jaluo ni un-electable, (b). Chama cha Democrat ni kichekesho ambacho pamoja na kushika madaraka ya Congress, sasa Gas ni dollar nne kwa gallon! Un-organized, arrogants, Liberals with absolutely no clear objects wala goals, na hata kama wanazo ni un-reachable, au un-realistic!
2. Speaker Nancy Pelosi, another Democratic joker ambaye hataki kuwa chini ya urais wa Hillary, ili aendelee kuwa mwanamke mwenye nguvu peke yake! Kwa hiyo ana steer super-delegates kwa Jaluo, lakini in the process ana wakimbiza wanawake wapiga kura kwa Makeni,
3. Wright ni a big problem kwa Jaluo, kwa sababu kitendo cha jana cha Jaluo kumkana kinathibitisha suspicion za Niggars siku zote kuwa Africans cannot be trusted inapokuja mbele ya mzungu!
Weusi wengi wameshitushwa kusikia kuwa hata ile siku ya Jaluo kuanza kampeni, kumbe Wright alikuwepo pale wakasali pamoja huko basemement , lakini akamficha asitokee mbele ya public, meaning kwamba alishajua kuwa ana problem!
4. In the end this makes Jaluo just another politician anayejali kuchaguliwa tu, bila ya kujali aliyemfikisha hapo alipo, yaani Wright kwa sababu weusi wa Chicago, wasingeweza kumpigia kura kuingia Assembly ya Chicago, Jaluo aliyezaliwa Hawaii na kusoma Harvard, kama sio juhudi za Wright kumbeba, sasa hamtaki tena kwa sababu ya wazungu? What a shame?
5. Al-Sharpton naye ameshamshitukia, baada ya juzi Jaluo, kupingana na maneno yake kuhusu police watatu walioachiwa na mahakama, baada ya kumuua mweusi kwa risasi 50, Jaluo anasema hataki violence as a means ku-achive justice, Sharpton anamuuliza mbona halijarushwa hata jiwe mmoja, sasa hayo ya violence Jaluo ameyatoa wapi?
Hatimaye, binafsi nimewashitukia Democrats na hasa waandishi wao kina Tim Rusert, Mathews, Jim na Oliberman kuwa ni nothing but Liberals, hawana muelekeo na ndio wanaomponza Jaluo, Democrats ni chama kibovu kisichokuwa na nidhamu wala adabu, wala mpangilio tena wamepitwa sana na wakati, Jaluo angekuwa na nafasi kubwa sana ya ushindi wa urais kama angekuwa Republican,
Yaaani Democrats, wamikatisha tamaa kabisaa kuwa ni bomu, mpka asasa nimejiunga na Republican, kumbe ndio maana kina Rush, Hannity, na My Hero The Great One Mark Levine wananawiri sana kwenye Radio, lakini Democrats radio yao ilikufa hata kabla haijaanza ni nothing but chama cha kichekesho, halafu you should always remember kwamba Democrats hawawezi kwdna kwenye Convention bila delegates wa Florida na Michigan, Constituion ya US iko very clear kuhusu majimbo 50 ya Us, kwa hiyo hata uchaguzi ukiiisha hayo majimbo yataishia kwenda kwenye Supreme Court kutaka uchaguzi au delegates wake watambuliwe, na jibu la Supreme Court litakuwa very clear, wala mtu hahitaji kufikiria mara mbili,
Goodbye Democratic Party! chama gani hiki? mgombea atashindaje New York, Carlifornia, Florida, Ohio, Texas, Penn State, na New Jersey, halafu awe nyuma kwenye delegates? That is a biggest joke of all US political history! Utashindaje urais wa Us bila hizi states?
Go Makeni! Go Makeni! maana at least the man stand for something as opposed na Democrats!