US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Actually nakubali kwamba Bill Clinton analalamika sana kuhusu suala hili lakini Obama waliposema kwamba ABC debate moderators walikuwa unfair alisema Obama should stop whining. Sasa when it comes to whining Clintons are champions! Katika hili hakuna ubishi!

msee,
ingawa ulini-throw under the bus kwenye issue ya Jenna kwikwikwi...hapa nashukuru kwamba umeiweka vizuri point nilotaka kuongea!! kumbuka ile Hilary kuongea positively juu ya McCain, lakini Obama aliposema viuzri juu ya jamaa HRC wakafanya ishu...kaaaazi kweli kweli.
thank you na ma-wkend mema!.
 
msee,
ingawa ulini-throw under the bus kwenye issue ya Jenna kwikwikwi...hapa nashukuru kwamba umeiweka vizuri point nilotaka kuongea!! kumbuka ile Hilary kuongea positively juu ya McCain, lakini Obama aliposema viuzri juu ya jamaa HRC wakafanya ishu...kaaaazi kweli kweli.
thank you na ma-wkend mema!.

YNIM, sikuku-throw under the bus, I just pushed your face close to the tyres! kwikwikwi!
Naomba nikuache na wikendi special hii kuhusu Bibi Hillary na ma-sponza wake walioaza ku-abandon ship:
A major fundraiser for Hillary Clinton, former Amb. to Chile Gabriel Guerra-Mondragon is leaving the campaign to join up Barack Obama's campaign.

Officially dubbed a "Hillraiser," Guerra-Mondragon raised nearly $500,000 for Clinton's campaign, according to some estimates. He has been informing people inside Clintonworld this week in what's been described as some tough conversations. A formal announcement of a role for Guerra-Mondragon on Obama's national finance committee will be made next week. Guerra-Mondragon was appointed Amb. to Chile by Pres. Clinton in '94 and served until '98.

Among the reasons for Guerra-Mondragon to defect, according to one informed source, was he was uneasy with the tone of the Clinton campaign and was beginning to worry about what this would mean for the general election.
Ngoja Carville atoke na 'Judas' remarks nyingine aone watu watakavyohama!
Wikendi njema!
 
Mlimuona Rev Wright Jana? Yule Mzee Anaonekana Anajua Uchafu Mwingi Wa Serikali Ya Marekani Ndio Maana Alikuwa Akiongea Vile. Jana Katoa Mifano Mingi Sanaa Kwa Hiyo Anaonekana Kujua Mengi. And He's So Confident.
Anyways Nimeambiwa Kambi Ya Mama Clinton Wanaendelea Kuwepo Na Kupambana Na Kuwa Negative Kwa Sababu Wanataka Kumuharibia Obama Ili Warudi Baada Ya Miaka Mi-nne Na "i Told U" The Guy Couldn't Stand The Heat Of Rnc. Kwa Sababu Chances Yao Ni Ndogo Sana This Year.
 
Mlimuona Rev Wright Jana? Yule Mzee Anaonekana Anajua Uchafu Mwingi Wa Serikali Ya Marekani Ndio Maana Alikuwa Akiongea Vile. Jana Katoa Mifano Mingi Sanaa Kwa Hiyo Anaonekana Kujua Mengi. And He's So Confident.
Anyways Nimeambiwa Kambi Ya Mama Clinton Wanaendelea Kuwepo Na Kupambana Na Kuwa Negative Kwa Sababu Wanataka Kumuharibia Obama Ili Warudi Baada Ya Miaka Mi-nne Na "i Told U" The Guy Couldn't Stand The Heat Of Rnc. Kwa Sababu Chances Yao Ni Ndogo Sana This Year.

Speculation..speculation..speculation..

Conspiracy theory..conspiracy theory..and nothing but vast left wing conspiracy...
 
Susuviri,

..i agree with a lot that you have said. ninachoweza kuongeza ni kwamba Democrats na ma-pundit wao wamelikoroga kwelikweli.

..sote tunaelewa kwamba AA wamekuwa very loyal na ni mtaji mkubwa sana kwa Obama. Sasa kwanini iwe racism kwa Bill Clinton kuusema ukweli huo "kiustaarabu" kwa kukumbushia ushindi wa Jesse Jackson SC?

..Mzee Clinton angeweza kuwa blunt na kusema he won bcuz of AA votes. Actually kwenye tv networks they usually go like "...is an area where Obama is expected to win bcuz of Black votes."

..vilevile networks wanaripoti only "the jesse jackson" part of the comments lakini Mzee Clinton alikuwa very elaborate kuwataja wanasiasa wengine waliofanya vizuri SC lakini mbele ya safari mambo yakageuka. katika comment hizohizo Mzee Clinton commended Obama for running a good campaign.

..binafsi simlaumu Obama kwa haya yanayotokea. naamini angeweza ku-run a very good campaign kama wakina Al-Sharpton,Jim Clayburn, Chris Mathews,Keith Olberman,..wasingeibuka na kuanza kuwa watetezi wake. actually naamini hawa ni ma-oportunists who wants a piece of Obama's hard won political fortune.

..sioni ni jinsi gani Hillary atashinda hii nomination. lakini democrats wanapaswa kuwa makini sana jinsi wanavyomuondoa ktk huu mchakato. It is not like she is just sticking around the way Mike Huckabee was doing. kuna umati mkubwa unam-support huyu mama.

..hawa wengine wanaosema ikiwa Hillary atashinda basi kutakuwa na irreparable breach kati ya AA na kina Clinton au Democratic party sijui wana maana gani. hata kama kuna ukweli ktk statement hiyo nadhani it is iresponsible kuitoa hadharani. katika mazingira ya USA nadhani kauli hiyo inabomoa badala ya kujenga. vilevile sijui wana tofauti gani na wale wanaosema weupe hawatampigia kura Obama.
 
Democrats kwisha kazi! Hawako organized. Hii kitu ingekuwa winner take all ingekuwa imeshamalizika. Angalia GOP walivyo makini. McCain is chillin' right now. Halafu watu wanashangaa inakuwaje GOP wana dominate presidential politics...
 
YNIM: right now inaonekana wako wengi wanaotaka piece of the action and success ya Obama, lakini si kitu kibaya as long as Obama stays focused na kuweza kutofautisha vitu na watu.

Hii issue ya irreperable breach nadhani ilikuwa ni AA bloc making sure that they are not ignored and overlooked na Democratic Party wasije wakafikiri kwmba they need blue collar workers na kusahau ni AA waliowaweka Democratic presidents in the WH. Ukiangalia Obama alikanusha haraka na kusema he was for reconciliation na anaamini mambo yatakuwa sawa once this primary is over.

Mi naona kama Hillary supporters wengi watampigia kura Obama in general elections, it is not as bad as many think. Hata hivto wengi wamesha-anza kuabandon ship ya Clinton na wamechoka, ni kwamba Hillary needs time to come to terms with her loss. So wanamwacha but ukiangalia rhetoric and ation ni kwamba Obama is gearing for GE just as McCain!
 
Nyani Ngabu sio Speculation au conspiracy theory sasa kwa nini Mama Clinton asikubali kushindwa? Kama Mama Clinton angekuwa na MoreStates, More Delegates na Votes alizokuwa nazo Obama na Obama kwenye possition ya Mama haya mambo ya nani ni Electable yangeendelea mpaka leo Kweli? Au Mama anataka kuonyesha nini? Na the more wanaendelea the more wanavyozidi kuwa Negative na kuharibu tuu. Na Obama akiondolewa weusi hawatapiga kura na vijana wengi tuu hawatapiga. Na mama hawezi kushinda bila weusi na hao new voters ambao wameletwa na Obama. Na ndio maana Adviser wa Obama alisema Blue Colour Voter sio wa kuwategemea sana ila unaweza kuwategemea AA pamoja na vijana (New Voters)
 
Nyani Ngabu sio Speculation au conspiracy theory sasa kwa nini Mama Clinton asikubali kushindwa? Kama Mama Clinton angekuwa na MoreStates, More Delegates na Votes alizokuwa nazo Obama na Obama kwenye possition ya Mama haya mambo ya nani ni Electable yangeendelea mpaka leo Kweli? Au Mama anataka kuonyesha nini? Na the more wanaendelea the more wanavyozidi kuwa Negative na kuharibu tuu. Na Obama akiondolewa weusi hawatapiga kura na vijana wengi tuu hawatapiga. Na mama hawezi kushinda bila weusi na hao new voters ambao wameletwa na Obama. Na ndio maana Adviser wa Obama alisema Blue Colour Voter sio wa kuwategemea sana ila unaweza kuwategemea AA pamoja na vijana (New Voters)

Kwa nini akubali kuwa ameshindwa? Idadi ya wajumbe wanaohitajika kupata uteuzi ni 2,025. Obama hajapata hiyo idadi na Mama naye hajapata. Ndiyo, Obama anaongoza lakini kwa mujibu wa taratibu na sheria za chama mgombea anahitaji hiyo idadi ili apate uteuzi. Na kwa jinsi mambo yanavyoenda na kwa jinsi utaratibu wa Democrats ulivyo hakuna kati yao atakayepata hiyo idadi. Sasa kwa nini Mama akubali kushindwa wakati bado hajashindwa? It doesn't make sense.
 
3549_thumb.gif
 
puerto rica ina delegates 63 na kanuni kule ni winner take all, kule mama anakubalika sana. iwapo mama atashinda indiana, kentucky na puerto rica anaweza kunarrow gap ya delegates na anaweza kuwaconvice masuper delegates kwamba ana momentum ya kutosha na ni electable, wazee hii mnaionaje?
 
Gamba la Nyoka: hakuna winner take all state in the Democratic primary. Everything is propotional.
 
Gamba la Nyoka: hakuna winner take all state in the Democratic primary. Everything is propotional.

...and that's a stupid rule. To avoid similar chaos in the future they will have to change it. If it was winner take all it would have been game over long ago...
 
WASHINGTON - Hillary Rodham Clinton has a better chance than Barack Obama of beating Republican John McCain, according to a new Associated Press-Ipsos poll that bolsters her argument that she is more electable in the fall than her rival for the Democratic nomination.

ADVERTISEMENT

The survey released Monday gives Clinton a fresh talking point as she works to convince pivotal undecided superdelegates to side with her in the drawn-out Democratic primary fight.

Clinton, who won the Pennsylvania primary last week, has gained ground this month in a hypothetical head-to-head match up with the GOP nominee-in-waiting; she now leads McCain, 50 percent to 41 percent, while Obama remains virtually tied with McCain, 46 percent to 44 percent.
 
nimesoma transcript ya mahojiano ya reverend wright na PBS nikiondoa ushabiki kwa Obama, yule reverend anaongea mambo mengi ya msingi. ishu ya kupiga raia bomu la atomiki ni mwanasiasa gani kati ya obama na clinton wa kuibuka kifua mbele na kulizungumzia na ikibidi kuwashitaki wahusika?, ishu ya marekani kumuunga mkono kaburu na kupelekea mateso ya wananchi weusi wa south africa ni mwanasiasa gani shujaa kati ya obama na clinton anaweza kuizungumzia na ikibidi kuomba radhi ama kuwashitaki wahusika?, ishu ya kuwaweka rumande raia wa kijapani wakati wa kipindi cha vita vya dunia ni mwanasiasa gani anaweza kusimama kishujaa na kuizungumzia na ikibidi kuonyesha kutokubaliana na kosa hilo la kihistoria ,ishu ya mateso ya wahindi wekundu waliouwawa na hatimaye kukwapuliwa ardhi yao ni mwanasiasa gani shujaa anaweza kusimama na kuonyesha majuto yake waziwazi, ishui ya wananchi mamilioni waliouwawa vietnam ni mwanasiasa gani anayeweza kusimama kifua mbele kuomba radhi au hata kuacha mkondo wa kisheria uchukuliwe kwa waliohusika. bahati mbaya hawa jamaa wanacheza visound clip ambavyo hawavianzii mwanzo na matokeo yake maana nzima ya ceremony yake inapotea. Obama ni mwanasiasa na ninadhani ni opportunist kama walivyo wanasiasa wengine. ujumbe wa reverend wright unawashika pabaya wabaguzi na ninadhani hii ishu itawaexpose na wenyewe wataacha kuitumia. hii ceremony ni kiboko.
tena mimi ninadhani ni bora alivyoibuka kipindi hiki kwa sababu watu watachimba kisawasawa na huenda ukweli, unafiki ukaibuka, hii inaweza kumuumiza Obama lakini ikawasaidia america.
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana primaries election za USA hususani za hawa Democrat.

Anyway kuna kitu nime observe kutoka kwenye race yao, kwamba campaign as well as voters wamekuwa too much emotional katika kumchagua candidate flani sio kutokana na potentil aliyonayo bali kutokana na yeye ni nani as far as color and gender is concerned.
Anyway hiyo ndiyo hulka ya binadamu na there is no way mtu akaikwepa hiyo kwa asilimia 100%. Then naona kama mass media vimechangia sana ku-fuel conflict baina ya mahasimu hawa wawili coz mfano kama CNN mda mwingi walikuwa wanatoa vipande vya hotuba ya Hillary kumshambulia Obama as well as Obama kwa Hillary!

So far Obama anaongoza kwa kuwa na Delegates nyingi zaidi na majimbo yaliyobaki ni small states (except North Carolina) ambazo Obama amekuwa akishinda toka mwanzoni mwa race yao. Binafsi naona Obama is my favourite ku win race yao. Lakini je, hawa jamaa CIA watamkubali yule ''mjaluo'' awaongoze? manake awa wakuu kwa michezo michafu hawajambo!!.

Anyway ni mtizamo tu!
 
Gamba you spot it. Wengi wetu ni wanafiki humu tunataka USA ibadilike overnight tuone kwamba Ubaguzi haupo tena na ni historia -people want to move forward. Which I agree. LAKINI watu kama akina Wright wameyaona mengi kuliko wengi wetu humu. wanaona ambavyo historia imewakandamiza na hawaogopi kuongea ukweli irrespective utamsaidia nani na kumuumiza nani. Weusi wengi tunaona kwamba ukiongolea ukweli wa hali halisi ya Race katika USA kipindi hiki utakuwa unamuumiza BO. Which might be true. LAKINI jee watu wakae kimya kama wengi tunavyotaka? hapo sina jibu.

BO just like any politician ni opportunist. Kwa sasa atapenda (hata kama hayuko genuine) madhambi yooote ya ubaguzi dhidi ya weusi yazikwe chini ya capeti kusudi asiwaudhi wazungu ambao ndo constitutent kubwa anayoitegemea. Ukweli ni kwamba wengi weusi waliunda makanisa yao kwa sababu walikuwa hawaruhusiwi kuingia kwenye mainstream churches. Sasa inavyotokea leo anatokea mweusi kama BO anakuwa na realistic chances za kuwa President, wengi wetu either kwa ukweli au unafiki tunapenda the whole history iwe buried under the capet hata kama ni temporarily. Funnika kombe mwanaharamu apite. Its a difficult proposition.

Too me, yule pastor alichokisema naamini kuna ukweli, perhaps sema amepandisha mizuka ya wanafiki ambao wanaona kwamba kwa sasa issue ya race iwe suspended mpaka baadaye. But, what I believe issue ya race USA au waislamu katika mataifa ya ulaya haiwezi kuisha leo wala kesho, kwa sababu mfumo uliopo unawakandamiza whether ni wa elimu, mahakama etc...solution ni kusema na kupambana na mfumo.

Age kama ya akina Wright ndo walisuffer sana na sera za ubaguzi kwa hiyo BO, hawezi kudisown watu kama hawa bila kuitwa opportunist na kizazi ambacho hakijui machungu mtu mweusi aliyoyapitia. na Kama Wright angerepudiate maneno yake, ni media hiyo hiyo ambayo ingemuona mnafiki ambaye alitaka kuridhisha section za watu for political gains.

We are yet to see..na tuendelee, lakini tunajifunza mengi katika juhudi za muafrika kujikomboa popote duniani.
 
....hii race kwisha ila media inataka kuendeleza tuu kwa ajiri ya ratings zao,issue ya wright is just crazy na wasiompenda Obama ndio wanaitumia na hata bila Wright ni hao hao ambao wasingempigia kura,screw them all na wala hatuhitaji kura zao na Wright atasema anachosema lakini Wright sio Obama,Clinton naye aende tuu maana hawezi kushinda hata afanye nini aache watu waanze kazi ya GE,kama Obama amemwangusha Clinton McCain ni kazi ndogo sana...Republicans only hope waliyo nayo to beat Obama ni race tuu na wanajua racist white will vote against black na sio issue...wajiandae tuu kwa Tsunami ya November maana hawana issue
 
....hii race kwisha ila media inataka kuendeleza tuu kwa ajiri ya ratings zao,issue ya wright is just crazy na wasiompenda Obama ndio wanaitumia na hata bila Wright ni hao hao ambao wasingempigia kura,screw them all na wala hatuhitaji kura zao na Wright atasema anachosema lakini Wright sio Obama,Clinton naye aende tuu maana hawezi kushinda hata afanye nini aache watu waanze kazi ya GE,kama Obama amemwangusha Clinton McCain ni kazi ndogo sana...Republicans only hope waliyo nayo to beat Obama ni race tuu na wanajua racist white will vote against black na sio issue...wajiandae tuu kwa Tsunami ya November maana hawana issue

Na racist black watavote against white na sio issues.....
 
Koba, big up my brother!
Main stream media imekosa issue ya kuzungumzia na sasa imeanza kumanufacture controversy. Nashangaa washabiki wa HIllary hawalioni hilo maana mwanzoni tatizo hili lilionekana kwa Hillary na katika miaka ya 90 kwa Bill na HIllary walipokuwa White House. Moveon.org iliundwa ili kupambana na Republican attack machine na Mainstream media iliyotaka kutake advantage ya Monica Lewinsky case. Lakini leo hii HIllary is in the pocket of MSM hata wale right wing nuts mpaka Bill anaenda kwenye Rush Limbaugh program! Also Hillary is dissing Moveon.org -it's too bad.
Lakini polls zitasema mengi na pundits wataongea mengi, at the end of the day Obama anachukua nomination. Iko wazi kwamba ana pledged delegates za kutosha na super delegates ambao hawako tayari kuendorse now wanasubiri June, then watajitokeza. Akina Pelosi na Howard Dean wote wanasubiri primary iishe alafu wa-unite around him.
Na ukiangalia Republicans wameshajua hilo and they are already attacking Obama, wakijua huko wanakoenda ni kuumbuka tu!!!
Mi nasema Obama Nation needs to lean back, relax, take a deep breath and then let out a calm sigh. The road is long and winding lakini tutafika.
 
Back
Top Bottom