US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Go Mama Go!

Nyani, naona umetum-miss sana na Game Theory na Icadon, )tuko busy canvassing for Obama in PA)unatuchokoza tu. Sasa unachomshangilia kibibi ya nini? Umekubali nomination ni ya Obama. Au ndo za mwishomwisho, maana inaonekana Mama atachukua Pennsylvania?
Lakini seriously Nyani, umesema kitu muhimu sana, ni haohao wazungu ndo waliomfikisha Obama alipo. Kumbuka the brother won in Maine and won Virginia by 28%!

Kosa mnaofanya FMES na wenzako ni ku-assume that this is just about race! America is ready for a Black president, and you will all be surprised. Also Obama is half white and he can easily parade his white relatives if the going gets tough. nimesoma kwenye blogs nyingi wanasema if you do not want to vote for Obama the black man, vote for his other half.
The fact kwamba alilelewa na bibi yake na babu yake ambao ni from Kansas, imemsaidia kuelewa wazungu wanavyofikiri and he is able to appear comfortable with them.
What is more important than race is that Americans are tired of the status quo, that is why even McCain is not your average presidential candidate. Mwaka huu all candidates are unique! Black, female and old! That's why Mitt Romney na akina Guliani had no appeal.
But urais unaenda to Barack Obama. Na hii nasema bila ushabiki wangu wa kawaida, bali kwa kusoma day after day reaction on the blogs and talking to people. The more they learn about Obama, the more they like him. Also remember once Obama clinches the nomination and turns his attention and the media's attention to McCain, the honeymoon for kibabu is over and he has plenty of gaffes and past to answer for! Kwenye debates about foreign policy tutaona kibabu kitakavyochanganya Shia na Sunni, na Obama atakavyomrekebisha. The mainstream media is just playing with your minds so you think that it is sooo close and make more money for them. Lakini in reality, when Obama attracted a crowd of over 35,000 in PA juzi, which is unprecedented in primary elections, mjiulize kwa nini mainstream media kama CNN hawaja-ripoti? Because McCain won't stand a chance, ObamaNation has become a reality!
 
Wamarekani watakuwa wamepungukiwa sana akili kuwapa hawa Democrats power ya urais, kwa sababu kwangu wanaonekana kuwa very un-organized, !

Go makeni!


...naona unataka kumpa Ngabu some talking points lakini tunakujua uko upande gani!
 
Wewe endelea tu kunywa hiyo hatorade hadi ujikojolee...
Naona mwenzako Yournameismine tayari keshaenda kilabuni...

ha ha sijamuona siku nyingi jamaa au mambo ya mavacation? Naona huu mjadala CNN mzuri leo.
 
Done deal....Mama carries PA...my fav. network (FOX NEWS) projects...
Time to pop a bottle....

Go Mama Go!
 
Done deal....Mama carries PA...my fav. network (FOX NEWS) projects...
Time to pop a bottle....

Go Mama Go!

Of course she has done what she was expected to do, Bravo Mama! Lakini i was wondering, hivi mama anaweza kuibuka na double digit win? Akifanya hivyo hiyo itakuwa poa sana, the contest will be balanced again. Na sijui kuna delegates wangapi wanaongombewa, bahati mbaya hapa nilipo siwezi kuona Fox naona CNN, kama ulivyosema wanaonekana wachovu, hata analysis zao zinaonekana kuwa candidate based, na sio neutral, wote either Pro Obama au Pro Mama.
 
Back
Top Bottom