jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,454
Once again you dont understand American politics perspectives!Marekani imegawanyika ndugu yangu hilo usisahau!Issue ya 3 oclock in the morning ilikuwa inatarget watu wa south!Sijui kama unajua lakini kila commercial huwa inatolewa kutokana na ujumbe unaotaka kuufikishia jamii lengwa!Kwa watu wa Southern part of the country waligundua hilo!Issue ya Iowa..ni just somewhat true though not all the way true!Ni kweli alikuwa hapati support ya weusi hadi aliposhinda Iwa ambayo ni ya weupe!Lakini haina maana kwamba hakuna ubaguzi!walichofanya Clintons ni ku stir emotions!emotions ambazo huwa zinakuwa calmed down tu lakini sio overcomed!.Matatizo hapa ni mawili kumbukaCapitol Hill,
..unge-quote posting yangu nzima ingethibitisha kwamba tuko pamoja. Obama amejaribu kuwa very inclusive ktk kampeni hii.
..tena watu weupe wa Iowa ndiyo waliowatia imani wazungu wenzao kumuunga mkono Obama.
..tatizo lilianza kampeni zilipofika South Carolina. kile kitendo cha kum-label Bill Clinton kuwa ni racists kilikuwa ni "typical" black american tactic.
..Pamoja na kwamba Obama amejaribu kuji-distance na masuala ya race, lakini kampeni yake ilivamiwa na watu kama Al-Sharpton, Jesse Jackson, wenye mazoea ya kutumbukiza race ktk kila suala wanalokabiliana nalo.
..Pia wako weupe[chris mathews, keith olberman, etc..] ambao kwa kutaka kujionyesha wanam-support Obama, na kwamba "wameendelea" sana, wakaanza kutumia rungu la racism dhidi ya Hillary na Bill Clinton. huwezi kuamini kwamba hata ile campaign ya 3am phone call kuna watu wameamua kui-enteprate on racial lines.
..Sasa race haikuletwa na Obama ktk uchaguzi huu. imeletwa na wapambe wake. kitu kibaya ni kwamba yeye Obama ndiye anayeathirika na hali hiyo.
NB:
..Kitendo cha Obama, mke, na wanawe,kuhudhuria Kanisa linaloongozwa na a radical black preacher nako pia hakumsaidii ktk kampeni yake.
..Kuna wanaodai kwamba Obama alimtumia tu Pastor Wright ili kujijengea uhalali mbele ya weusi wa south chicago. kumbuka Obama ni mzaliwa wa hawaii.
1)Kwanini Wazungu waache kumpa support just because blacks wameanza kumsupport?Umoja uko wapi hapo?Obama amegundua hilo na ndio maana msimamo wake ni muhimu kama anataka kusolve matatizo yao badala ya kuyachochea!
2)Ni kweli Obama alishinda Iowa lakini ilikuwa ni caucas!na sio primary!utofauti wake ulimsadia Obama kwani kwenye caucuss unaenda one on one na kuwanadia members hao sera yako..na kwakuwa Obama ana ujumbe mzuri inakuwa rahisi kukubaliana na hivyo kutomlet down!Kitu kinachoni huzunisha kuhusu Clinton ni kudiriki kwake kutaka kushinda hata kama ni kwa ubaguzi!KWELI MADARAKA MATAMU!
0