US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Kwa hiyo mjomba unachotaka kusema ni kwamba Gov. Romney akiingia kwenye GOP ticket itakuwa landslide kwa Republicans in November?
Go and find out whats Mormoism and then you will figure out who's gonna get the landslide win.
 
hizi story za McCain kumchagua Romney nadhani ni far fetched mno! jamaa ingawa wote ni conservatives lakini wanatofautina sana juu ya marekani gani na mazingira gani ya kisiasa wayatakayo. hivyo basi Mac hawezi kumpa Romney U-VP kwani ni sawa na kuji-betray mwenyewe!!.
 
Go and find out whats Mormoism and then you will figure out who's gonna get the landslide win.

What about Mormon's (a.k.a The church of Christ of latter day Saints)? What...the fact that there are the dominant religion in Utah?
You are a big Romney homer and its OK, his faith and his wealth doesn't = votes. Ofcourse he has the money but how has such resource helped him out? How come he spent so much of his own money to run ads and fund his own campaign and still lose? Its not about the size of your bank acount...its about motivating small donors to give you $5,$10,$25,$100 time and time again. You'd rather have 1,000 small donors that have 10 big ones. Look at Sen. Clinton's campaign sasa hivi, they owe past due bills kwa sababu they have always relly on big donors and when big donors are not happy with the way the campaign is going...they are not picking up the tab.
 
angalia choices zake za role models na watu anaowa-admire, then utajua una dili na mtu wa namna gani!! hapa JF jamaa ana wazimia sana Raj Patel(The Truth) na Njabu Ngabu( VRS). Role models wake ni Limbaugh na Hannity..nadhani jamaa ana "identity issues," au PTSD flani hivi tokana na xperience yake pale Shabani Robert!! sijui kama nimeeleweka, bwahahahahaha.

No! hujaeleweka kwa sababu unabwabwaja tu. Nani alikuambia ninawa-admire Njabu Ngabu na Raj? Acha kunipakazia bana...wee vipi leo? Of course I give credit where credit is due. So if Njabu or Raj state the truth then I have no other choice than to commend them. The same applies to your alcoholic behind....kwikwikwiiii.....if you tell the truth without spinning...I'll commend you
 
Ha ha this post was refreshing, kumbe NN kasoma SRSS...
 
truth? kwanini ni watu wa namna nyingine tu ndio wewe huwaona wanasema ukweli? Patel akisema afrika haijaendelea kwasababu waafrika wana IQ below average, pia huo ni ukweli? kuita wazungu a "silent majority" pia huo ni ukweli? Bill O kusema kwamba hakujua kwamba watu weusi wanakula kwa kutumia silverwares pia ni ukweli? misimamo yoooote ya kipuuzi juu ya kukandamiza na kudharau watu weusi ya kina Hannity na Limbaugh pia ni ukweli? basi lazima wewe ni chizi.......kimsingi nilikuwa nasema wewe ni "uncle tom"!!! kwikwikwikwi nadhani sasa umeelewa zaidi, good night and good luck.
 
ulikuwa hujui? na kuna kitu siri yake alifanyiwa na wahindi na ndio maana yupo kama alivyo!!! ati ham-admire Njabu Ngabu, kwanini sasa ame-adopt jina kama lake? kimsingi wana lastname moja, why? bwahahahahahahaha au ndio alimfunga pingu za maisha? quer Nyani Ngabu, hahahaha LOL!!
bora kuwa mlevi kuliko kuwa "uncle tom" au quer kama NN. LOL
 
Hahahahaaaaa....tatizo lenu nyinyi watu weusi mtu mweusi mwenzenu akiwa na mtazamo tofauti mnaanza kumwita majina...haya bwana usiku mwema.
 
ulikuwa hujui? na kuna kitu siri yake alifanyiwa na wahindi na ndio maana yupo kama alivyo!!! ati ham-admire Njabu Ngabu, kwanini sasa ame-adopt jina kama lake? kimsingi wana lastname moja, why? bwahahahahahahaha au ndio alimfunga pingu za maisha? quer Nyani Ngabu, hahahaha LOL!!
bora kuwa mlevi kuliko kuwa "uncle tom" au quer kama NN. LOL

Naona gongo limeshaanza kufanya kazi...
 
What about Mormon's (a.k.a The church of Christ of latter day Saints)? What...the fact that there are the dominant religion in Utah?
You are a big Romney homer and its OK, his faith and his wealth doesn't = votes. Ofcourse he has the money but how has such resource helped him out? How come he spent so much of his own money to run ads and fund his own campaign and still lose? Its not about the size of your bank acount...its about motivating small donors to give you $5,$10,$25,$100 time and time again. You'd rather have 1,000 small donors that have 10 big ones. Look at Sen. Clinton's campaign sasa hivi, they owe past due bills kwa sababu they have always relly on big donors and when big donors are not happy with the way the campaign is going...they are not picking up the tab.
Mormons wana vitabu vingine vyenye historia ya Jesus Christ ambayo iko nje ya bible na haitambuliki kabisa na wakristo!Kwa maana nyingine ama tafsiri inayoweza kuwa sahihi miongoni mwa wakristo ni kwamba wameikosoa bible ama wameongeza mambo mengine ambayo ofcourse ni njw kabisa ya ukristo wa kawaida!Jamaa mmoja tajiri aliianzisha kwa kudai kuwa Jesus alikuwa huko mareakani na kuna maandiko yaliyogundulika huko yanayo support claims zao!
Kuhusu money..you seems to be naive if you dispute the fact that without money you can never run a campaign in the US politics!It is the fact that Romney survived the campaign and gather new suppoters around the country just because of his money!
Clinton amegwaya kidogo kuchukua pesa za makampuni ili asipigwe bao na Obama ambaye kawatolea nje!Clintons tayari wana connections na makampuni na hawataweza kuwatumikia wananchi vyema..nenda kadig utajua mwenyewe!Kawaulize wakina Andrew Young pia watacomfirm kuwa Clinton ana interests na Big corporations na wao wanataka kujifanyia maconnectors na kuyaungisha hayo makampuni na Africa!Swali hapa ni nani ananufaika!Na ndio maana wanamchukia Obama mpaka kudiriki kumwita Clinton "mweusi" kwasababu wanajua Obama atayafutilia mbali makampuni ya kinyonyaji mthili ya ile ya buzwagi!Andrew young ni kama ma "lobbyists wengine ambao walikuwa influential under Clinton na ambao wanayawakilisha makampuni ya kinyonyaji!Obama Atasimama upande wa wanyonge na kuwashinikiza watulipe alitlle more!Imagine raisi wa marekani ambae ni raisi wa dunia akikataa kuyasikiliza makampuni ama kushirikiana nayo kutunyonya watanzania na wanaulimwengu kwa ujumla!Mke wake huwa ansema"FOLKS JUST NEEDS A LITTLE BIT...NOT TOO MUCH" JUST TO LIVE THEIR LIVES HAPPILY AND TO FREELY ENGAGE IN THEIR PURSUIT FOR HAPPYNESS!Kama hatashinikizwa na makampuni then us folks will get a litlle more to develop our country and our lives in general and get a little more good deals when signing the contracts like Buzwagi and many more!This guy stands on the people's side!He's aware that Makampuni makubwa yana tamaa inayopitiliza kiasi yenye kupelekea ukiukwaji wa haki za binadamu na umasikini!Wakilipa kidogo zaidi haina maana watafilisika!Watatusadia sisi kuweza kuzitumia rasilimali zetu kwa manufaa yetu!Jamani Nyani na wenzako hamna hata kaupendo kidogo na kahuruma kwa Africa?We hujui kuwa ile tripu ya Bush Africa ni kama counterpunch ya kuwakumbusha kuwa Obama na waafrika wenzake ni watu wa kupewa misaada na si kuenda na kujaribu kuwatawala wanaowapa misaada!Kuwaonyesha wamarekani Kwamba huyu mwafrika hana historia ya maendeleo bali anahitaji help..kuimply stereo type dhidi ya watu wa Africa...Kwamba Obama or no Obama they will still listen!They are the ones who helps!And also to neutralize the Iraq issue infront of the world!That not that they kill..but just helping and spreading freedom!I AM ALWAYS at least CURRENTLY GOING WITH A FRESH CANDIDATE WHO WILL BRING FRESH IDEAS ON HOW TO HELIP THE CITIZENS OF THE WORLD!SINCE THE US RULES...THIS IS THE TIME WE GET THE TRUE WORLD LEADER!...THE LEADER WHO WILL HELP US TO PREVENT AND NOT TO CURE!IT IS RIDICULOUS TO WAIT UNTIL STARVATION AND DROP FOOD WHILE WE COULD'VE HELP PEOPLE CONSERVE THE FOOD,PRESERVE THE ENVIROMENT HENCE PREVENT DICEASES!TUNA RASILIMALI TUNAHITAJI ELIMU NA UJUZI WA KUZITUMIA RASILIMALI ZETU KWA FAIDA ZETU NA SI KUEXPORT RAW MATERIALS!KIKWETE WHERE ARE YOU MHESHMIWA?
 
cover_650x435.jpg
 
Jmushi1: Naona umeongea kwa jazba sana. Nadhani kwamba kuna some truth in what you wrote lakini pia kuna haja ya kutokuwa na consiparacy theories nyingi.
Bush alipokuja Tanzania alikuwa anatafuta Legacy yake and a base for Africom. Yeye Obama anamwona kama katuni fulani lakini hajui kama hivi sasa yeye ndo katuni kubwa kabisa. Sijui ulipata nyepesi ya kuwa rais Bush ameZOMEWA juzi! So let us not even discuss this loser!
Kuhusu corporate intersts na uchaguzi, believe me they are also busy wooing Obama, baada ya kuona kuwa he could be contender to the presidency. We do not know kama Obama ataenda against the interest of America. If my history serves me well, it is the Truman doctrine ambayo ina-guide foreign policy ya US: America's interest is America, hivyo wako tayari kupambana na nchi yoyote itakayoingilia maslahi yake. Sasa swali: Obama anaweza kwenda against? I think realistically not 100%, what he can do is to tweak and tune it so that it is more favorable but not directly opposed to the status quo. He can do much more domestically, though
 
Jazba?NO WAY!WITH PATION..YES!
Left and right politics are very different and ofcourse Bush wanna extend or continue his legacy through Mc cain!
 
Passion NI jazba au...?
Anyway, nakubali kwamba McCain is a third Bush term, lakini pia nadhani McCain atakuwa na mitazamo yake. Of course, ukisema kwa logic hiyo hata Obama in theory hatakuwa tofauti sana na Clinton.
 
Mormons wana vitabu vingine vyenye historia ya Jesus Christ ambayo iko nje ya bible na haitambuliki kabisa na wakristo!Kwa maana nyingine ama tafsiri inayoweza kuwa sahihi miongoni mwa wakristo ni kwamba wameikosoa bible ama wameongeza mambo mengine ambayo ofcourse ni njw kabisa ya ukristo wa kawaida!Jamaa mmoja tajiri aliianzisha kwa kudai kuwa Jesus alikuwa huko mareakani na kuna maandiko yaliyogundulika huko yanayo support claims zao!
Kuhusu money..you seems to be naive if you dispute the fact that without money you can never run a campaign in the US politics!It is the fact that Romney survived the campaign and gather new suppoters around the country just because of his money!
Clinton amegwaya kidogo kuchukua pesa za makampuni ili asipigwe bao na Obama ambaye kawatolea nje!Clintons tayari wana connections na makampuni na hawataweza kuwatumikia wananchi vyema..nenda kadig utajua mwenyewe!Kawaulize wakina Andrew Young pia watacomfirm kuwa Clinton ana interests na Big corporations na wao wanataka kujifanyia maconnectors na kuyaungisha hayo makampuni na Africa!Swali hapa ni nani ananufaika!Na ndio maana wanamchukia Obama mpaka kudiriki kumwita Clinton "mweusi" kwasababu wanajua Obama atayafutilia mbali makampuni ya kinyonyaji mthili ya ile ya buzwagi!Andrew young ni kama ma "lobbyists wengine ambao walikuwa influential under Clinton na ambao wanayawakilisha makampuni ya kinyonyaji!Obama Atasimama upande wa wanyonge na kuwashinikiza watulipe alitlle more!Imagine raisi wa marekani ambae ni raisi wa dunia akikataa kuyasikiliza makampuni ama kushirikiana nayo kutunyonya watanzania na wanaulimwengu kwa ujumla!Mke wake huwa ansema"FOLKS JUST NEEDS A LITTLE BIT...NOT TOO MUCH" JUST TO LIVE THEIR LIVES HAPPILY AND TO FREELY ENGAGE IN THEIR PURSUIT FOR HAPPYNESS!Kama hatashinikizwa na makampuni then us folks will get a litlle more to develop our country and our lives in general and get a little more good deals when signing the contracts like Buzwagi and many more!This guy stands on the people's side!He's aware that Makampuni makubwa yana tamaa inayopitiliza kiasi yenye kupelekea ukiukwaji wa haki za binadamu na umasikini!Wakilipa kidogo zaidi haina maana watafilisika!Watatusadia sisi kuweza kuzitumia rasilimali zetu kwa manufaa yetu!Jamani Nyani na wenzako hamna hata kaupendo kidogo na kahuruma kwa Africa?We hujui kuwa ile tripu ya Bush Africa ni kama counterpunch ya kuwakumbusha kuwa Obama na waafrika wenzake ni watu wa kupewa misaada na si kuenda na kujaribu kuwatawala wanaowapa misaada!Kuwaonyesha wamarekani Kwamba huyu mwafrika hana historia ya maendeleo bali anahitaji help..kuimply stereo type dhidi ya watu wa Africa...Kwamba Obama or no Obama they will still listen!They are the ones who helps!And also to neutralize the Iraq issue infront of the world!That not that they kill..but just helping and spreading freedom!I AM ALWAYS at least CURRENTLY GOING WITH A FRESH CANDIDATE WHO WILL BRING FRESH IDEAS ON HOW TO HELIP THE CITIZENS OF THE WORLD!SINCE THE US RULES...THIS IS THE TIME WE GET THE TRUE WORLD LEADER!...THE LEADER WHO WILL HELP US TO PREVENT AND NOT TO CURE!IT IS RIDICULOUS TO WAIT UNTIL STARVATION AND DROP FOOD WHILE WE COULD'VE HELP PEOPLE CONSERVE THE FOOD,PRESERVE THE ENVIROMENT HENCE PREVENT DICEASES!TUNA RASILIMALI TUNAHITAJI ELIMU NA UJUZI WA KUZITUMIA RASILIMALI ZETU KWA FAIDA ZETU NA SI KUEXPORT RAW MATERIALS!KIKWETE WHERE ARE YOU MHESHMIWA?

Mkuu sikatai unayoyasema tena umenipa a very good insight on the subject and I commend you. Ninachosema mimi ni kwamba sioni threat yeyote ya Gov. Romney japokuwa najua evangelical base ya Republicans itakuwa forced kum court regardless of his Mormon faith. Kama utakumbuka GW Bush aliporun kipindi kile 2000 alikuwa na base kubwa sana ya evangelicals lakini had it not been for Ralph "the Spoiler" Nader basi labda Al Gore angekuwa a clear winner wa ile presidential contest.
Ndio maana jana nikaandika kwamba, tusisahau kuwa America ni nchi ya 50/50 au sometime 49/51..ama 51/49. Ukisema candidate 'x' ana evangelicals base, ujue candidate 'y' at the same time anakuwa na base ya liberals yenye nguvu sana kama ile ya candidate 'x'...na balance ya power inakuwa titled na watu wachache sana 'undecided voters' ama independents.
Hatujui candidate atakayechaguliwa hapo Nov atakuwa kiongozi wa namna gani. Hatujui McCain kama ataendeleza Bush policies ama atakuwa his own person. Vile vile hatujui kama Sen. Obama (assume he gets the nomination) atabadilika na ku-throw away the "Hope" his mantra na kuwa normal Washington DC politician and cater to the interest of big corporations like EXXON MOBILE, United Technologies, Halliburton, etc. Vile vile hatujui kuhusu Sen. Clinton kama naye atakumbatia drug companies na oil companies na labda kuwarudisha old friends back in the circle of the WH.
Wakati hon. J.M. Kikwete, watanzania tulikuwa na high hopes. His charisma attracted most of to belive that he was the chosen one. May be tulikuwa too vulnerable kutokana na ukali wa maisha na low approval rating ya Serikali ya Rais. Mkapa and we were easily convinced na uso wake let alone maneno yake matamu matamu. All I can say here ni kwamba POLITICS IS A GAME. Wakati mwingine we look at the candidates in high hopes as if they are the "Moses" of our time and they have come to deliver us from the overdue oppressions and all sorts sufferings. Kila anayechaguliwa kwenye ofisi kubwa kama White House ana-ka agenda kake ka siri. Most of the time hawa viongozi wame-give in kwa special interests kwa sababu temptation ni kubwa mno. Karl Rove aliwahi kukiri kuwa waliwatumia Evangelists wa kusini as their way to the presidency. Kuna mtu angejua kuwa U.S. itaenda kwenye vita na Iraq nchi isiyo na so called "direct link to the 9/11"..sio siri tena kwamba U.S. is in Iraq kwa ajili ya mafuta. Na guess what the president is from the rich oil family na VP wake used to head kampuni ambayo inahusika na rebuilding of Iraq (Halliburton) ambayo ilikuwa awarded tenda "kinyamela nyamela". Ukiangalia kwa karibu unaweza kuona similarities za akina Richmond na kuuawa kwa Tanesco lakini hii ni topic ya siku nyingine.
Ndio maana nikawa namwambia Nyani kuwa kabla hatujawasilikiza akina Limbaugh na Hannity na Laura Ingrahm..tuweke mawazo yetu open..tuwe tunasoma magazeti na sio ku relly kwenye blogs. Mimi I don't even watch Keith Olbermann na his pal Chris Matthew kwa sababu what they do is not just. "WANAM-BEBA OBAMA free style", do I want my candidate to be handed the job, ofcourse not hata hapa kazini I have had to prove myself kwamba I am capable of doing what I do kuwa promoted. Yes I said it MSNB wako bias against Sen. Clinton. Lakini at the same time sitakaa kimya Sen. Clinton anapodanganya kuhusu resume yake wakati tunajua hakuwa na security clearance alipokuwa first lady..meaning she never attended any national security presidential briefings au national security meetings iliyo involve key principals.
 
Nyani,Susuviri,Capitol Hill,jmushi1,

..hivi kutakuwa na mabadiliko yapi ktk US foreign policy haswa kwa upande wa AFRIKA?

..since wengi wetu hapa ni Democrats naomba tuwachambue Barack na Hillary. how will their administrations relate to Africa?

NB:

..Anthony Lake na Susan Rice wali-serve wakati wa Bill Clinton, lakini sasa hivi wanamshauri Barack Obama!!

..kuna anayejua Hillary anashauriwa na nani ktk masuala ya foreign policy?
 
nime find hii article na I will keep looking for more:

Contrasting Teams

A. Sen. Clinton

Senator Clinton’s foreign policy advisors tend to be veterans of President Bill Clinton’s administration, most notably former secretary of state Madeleine Albright and former National Security Adviser Sandy Berger. Her most influential advisor - and her likely choice for Secretary of State - is Richard Holbrooke. Holbrooke served in a number of key roles in her husband’s administration, including U.S. ambassador to the UN and member of the cabinet, special emissary to the Balkans, assistant secretary of state for European and Canadian affairs, and U.S. ambassador to Germany. He also served as President Jimmy Carter’s assistant secretary of state for East Asia in propping up Marcos in the Philippines, supporting Suharto’s repression in East Timor, and backing the generals behind the Kwangju massacre in South Korea.

B. Sen. Obama

Senator Barack Obama’s foreign policy advisers, who on average tend to be younger than those of the former first lady, include mainstream strategic analysts who have worked with previous Democratic administrations, such as former national security advisors Zbigniew Brzezinski and Anthony Lake, former assistant secretary of state Susan Rice, and former navy secretary Richard Danzig. They have also included some of the more enlightened and creative members of the Democratic Party establishment, such as Joseph Cirincione and Lawrence Korb of the Center for American Progress, and former counterterrorism czar Richard Clarke. His team also includes the noted human rights scholar and international law advocate Samantha Power - author of a recent New Yorker article on U.S. manipulation of the UN in post-invasion Iraq - and other liberal academics. Some of his advisors, however, have particularly poor records on human rights and international law, such as retired General Merrill McPeak, a backer of Indonesia’s occupation of East Timor, and Dennis Ross, a supporter of Israel’s occupation of the West Bank.

Source: Stephen Zunes, a Foreign Policy In Focus analyst, is a professor of politics and international studies at the University of San Francisco.
 
Nadhani labda nimzungumzie moja wa washauri uliowataja Capitol Hill: Richard Holbrooke. huyu bwana ni egoist, narrow minded and narcisstic man! Nilimwona juzi kwenye debate ya BBC na alikuwa anaongea pumba na alikuwa outright hostile to everyone on the show eti hapendi mada. Sasa alikubali sababu gani kuhudhuria debate show?
Holbrooke alichemka sana masuala ya Balkans especially ex Yugoslavia na hawezi hatakukanyaga maeneo hayo maana there's word out there to get the guy! He is faulted for not pushing for intervention to sto the slaughter of BOsnian Muslims by Serbs. I am not too encouraged by Holbrooke.
Kuhusu Albright, she's ok I think she did a good job but not an internationalist, I beleive.
Brezinski is not a very big player in Obama camp, Susan Rice is more important just like Samantha Powers. I think they are more pragmatists and ready to cooperate with international community. But I don't have too much data currently at hand.
With regard to Africa, I don't see too much hope from either Democrat candidate. obama will be careful not to appear to pander for his African 'brothers and sisters', while Hillary will give PEPFAR funds to Bill's foundation ambaye ataendelea kutuletea a bit of malaria, a bit of AIDS drugs. but nothing substantial kwani mpaka sasa in Bongo, Clinton foundation has not done much except funded the Ben Mkapa foundation! Go figure!
I think the jury is still out on the two candidates when it comes to Africa.
 
haya mambo ya kutegemea fulani akiingia White House basi atasaidia Afrika ni kujibweteka, waafrika tutajisaidia wenyewe tusianze kusubiria fulani, wao wako kuserve interests zao, nani anaserve za kwetu?
 
Back
Top Bottom