US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Hapo kwenye bold pamenikumbusha ile katuni ya Pampula....msemo wa ES yote ni furaha kwenye bulogu......

....jamaa lakini kazidi kunipakazia ulevi!!! wakati nasikia yeye ndio kila siku anaangusha "gari," ingekuwa uswahilini saa hii angekuwa "kivuli pombe." Bwahahahahaha
 
mfano wa Tabloid jounalism

gayhilly.jpg
 
Sasa unaleta hoja za kitoto....mwangalie Hannity uwe Hannitized...
Naangalia lakini naona jamaa ana silka za kiprejudice!And then sometimes anampa mama shavu kiaina anfikiri hatuoni hilo!Na ni wazi wanamuogopa jaluo so wanapatwa na goose bumps wakisikia jaluo anaelekea kunusanusa huko wasikotaka aelekee!HALAFU USIITE WATU WATOTO UNCLE!
 
Expose za uozo wa uchaguzi wa Marekani Florida haukuandikwa USA, uliandikwa UK.

Nayo ilikuwa tabloid journalism.

Watu serious USA wanaacha kusoma Newsweek na Time Magazine wanasoma The Economist, nao wanafuata tabloid journalism.

Ushawahi ku compare CNN USA na BBC World? Tabloid journalism.

..pundit,usitumie nguvu sana. mwenye macho haambiwi ona!

..habari ni habari,hata kama imetoka paris match!suala ni ukweli katika hiyo habari!
 
Hebu tusaidiane kidogo, hivi hii issue ya Wright imekuwa-raised na akina Clinton? kama tumeishiwa hoja kwa nini tusisubiri tarehe 22/4?

hiyo 4/22, Billary watashinda, lakini hakuna kitakacho badilika!! hii nomination ni ya Obama......mama anasumbua mahakama, ni sore loser na ameamua kuwa spoiler!

anatakakuifufua ishu ya Dr. Wright ili ku-deviate attn toka blunder lake la Bosnia.
 
Khekhekheeee....nasikia O'Drama anataka kuchukua ujiko wa ku-sponsor immigration bill na housing bill....oohh anadai eti alikuwaga professor.....kwikwikwiiiiii
 
hamna kitu hapo, usinikumbushe stories za "how big was the fish" au "who took the cookie from the cookie jar."??

unajua hizi stories umezitoa wapi na lengo lake pia unalijua, so makelele mingi ya nini??

ukisema Professor, inategemea kama unatumia capital P au small p.....whatever it is Barack Obama ni Proferssor!!! lecturer, associate prof na full prof wote ni proferssors( simpo)

inasikitisha sana mazee, kuona hata wewe una resort ktk hivi vi-none stories.....
 
Khekhekheeeee...why did you leave out the other two, namely the immigration bill and the housing bill? Truth has it that mister O'Drama just tagged along at the end (in the morning to be precise) while others worked around the clock to get it done (passed) and falsely claimed credit for them.
 
..kitila,

..vyovyote itakavyokuwa 22/4, rais obama atakuwa on his way tu!

Vyovyote itakavyokuwa, si sahihi kwa nyie ma-supporter wa Obama hapa kumrushia madongo Hillary kwa blunder yake ya Wright. Yeye alilikoriga mwenyewe, alinywe na asisingizie wengine!
 
Nyani Ngabu,YNIM,Kitila,jmushi1,

..jamani nimesikia Obama naye anashikwa shati ktk mambo yafuatayo:-

1.kwamba hakuwa Constitutional Law Proffesor.
2.Kwamba amesema amepitisha mswaada, wakati ukweli ni kwamba ame-propose tu na mswaada haukupita
3.Kuna mswaada ambao Chris Dodd anahoji ushiriki na mchango wa Obama.

..naomba clarification na specifics za madai hayo. pia naomba utetezi wa pande zote mbili- for and against Obama. naomba tusiweke ushabiki hapa.

..kwa maoni yangu hii kampeni imekuwa kero na utoto. yaani pande zote mbili zimefuka mipaka ya kampeni chafu. inabidi uwe makini sana kuchambua mchele na pumba.
 
Ni kweli O'Drama anaongeza chumvi. Hata mmoja wa wanaomuunga mkono, Sen. Dodd anahoji madai yake. Huyu jamaa resume yake nyepesi/ nyembamba mno na sasa anahaha kuijaza minofu
 
Nyani Ngabu,

..Do you have the specifics of what Obama is accused of exagerrating?

..hebu tuwekee minofu basi, lakini usiongeze chumvi.

YNIM,jmushi1,Kitila,Koba,Susuviri,...

..mimi wote wawili wamenichosha. liberal media nayo imenichosha kwa kumkandamiza waziwazi Hilary.

..I feel like somewhere down the line somebody spoiled it for Obama. Jamaa alikuwa anaenda vizuri, lakini hawa wanaojitia wapambe[media,wasemaji,consultants] wake ndiyo wanamharibia.

..Nafikiri kampeni ya Obama iliharibika baada ya kuanza kumsakama Bill Clinton kuwa ni racist, na Mzee Ted Kennedy alipojitumbukiza kwenye kampeni.

..Hillary naye i dont know what she is thinking. Sidhani kama atakuwa na resources za kupambana na McCain come general elections.

..The entire liberal media imemu-abandon Hillary. Katika mazingira kama hayo how is she going to get her message out hata kama a miracle happens na anapata nomination?

..Hivi hawa fox news wanaomuunga mkono in her fight against Obama, watamsaidia kupambana na McCain?
 
Ndio maana nawasihi muanze kuwasikiliza Rush Limbaugh, Sean Hannity, Glen Beck, Laura Ingraham, Michelle Malkin, Bill Cunningham, Neal Boortz, Bill O and more mpate dose ya reality. Liberal media ni wachovu wa akili. Hivi Air America bado ipo kweli?
 
Ni kweli O'Drama anaongeza chumvi. Hata mmoja wa wanaomuunga mkono, Sen. Dodd anahoji madai yake. Huyu jamaa resume yake nyepesi/ nyembamba mno na sasa anahaha kuijaza minofu

Naona hatred yako kaka...I don't want to judge you lakini hata kama hukubaliani na candidacy ya Sen. Obama kwa nini unalibadilisha jina lake..Mbona sisi bado tunamwita mama kwa heshima, e.g, Senator Clinton, Mrs. Clinton...au basi wakati mwingine Senator from NY.
Nyani this is a low point on your side and I am deeply saddened by you.
 
Ndio maana nawasihi muanze kuwasikiliza Rush Limbaugh, Sean Hannity, Glen Beck, Laura Ingraham, Michelle Malkin, Bill Cunningham, Neal Boortz, Bill O and more mpate dose ya reality. Liberal media ni wachovu wa akili. Hivi Air America bado ipo kweli?

badala ya kuongea issues nyie mmeng'ang'ania hayo mastory ya kizembe!!
Clinton kakamatwa uongo, sasa anataka kutoa droo, kwamba Obama nae hivi sijui vile.......kuhusu Obama na hizo story hakuna jipya ni mavi ya kale!!.
naona tunaenda in cycles tu, hii thread inafikia point sasa inatakakuwa kama zile za kina naniliii(majina kapuni), hamna cha maana zaidi ya udaku, ushabiki na utoto ulovuka mipaka!!!........itabidi kadampinzani, mwk, kubwajinga, mtindiowaubongo na vikaragosi wengine wahamie humu ili tujue moja.
 
Naona hatred yako kaka...I don't want to judge you lakini hata kama hukubaliani na candidacy ya Sen. Obama kwa nini unalibadilisha jina lake..Mbona sisi bado tunamwita mama kwa heshima, e.g, Senator Clinton, Mrs. Clinton...au basi wakati mwingine Senator from NY.
Nyani this is a low point on your side and I am deeply saddened by you.

Oh come on now...loosen up! O'Drama is made in jest. There is a local DJ here who goes by the name of DJ Drama and he calls himself Barack O'Drama....don't take things too seriously brethren, okay?
 
badala ya kuongea issues nyie mmeng'ang'ania hayo mastory ya kizembe!!
Clinton kakamatwa uongo, sasa anataka kutoa droo, kwamba Obama nae hivi sijui vile.......kuhusu Obama na hizo story hakuna jipya ni mavi ya kale!!.
naona tunaenda in cycles tu, hii thread inafikia point sasa inatakakuwa kama zile za kina naniliii(majina kapuni), hamna cha maana zaidi ya udaku, ushabiki na utoto ulovuka mipaka!!!........itabidi kadampinzani, mwk, kubwajinga, mtindiowaubongo na vikaragosi wengine wahamie humu ili tujue moja.

Kwanza kabisa, ina maana Kada, Mwafrika, Mwanakijiji et al ni vikaragosi?

Pili, unaelezeaje Sen. Dodd ku-dispute madai ya Obama?
 
Back
Top Bottom