US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Katika dakika ishirini zijazo usiache kuangalia PMS-NBC.....upate talking points zenye nguvu kidogo. FOX news huwawezi wewe.....they are the quintessence of excellence in broadcasting and you need to be a certain kind to get that and you are not that kind....shhooorry...

Wow..so you believe everything that Fox News says? I thought you were a critical thinker. I watch everything but I don't agree with all of them especially the pundits because they don't give us news and let us digest they give us their opinions and I am not too lazy to start relaying on them..so I take what I hear from this angle and from that angle and from this source and that source and say..wait a minute this ain't right or this is..full stop.
 
Listen patna...they are fair and balanced and they report and you decide....what part of that don't you understand?
 
NN uliangalia hiyo show ya Hannity alivyokuwa anabishana na McCain?

By the way kuhusu mfano wa mume na mchungaji, kwa kifupi Mama Clinton anakubaliana na matendo ya mumewe kwenda nje ya ndoa lakini hakubaliani na maneno ya pastor ambaye anaweza kuwa ameyatoa kwa sababu ya hasira na jamii au serikali?
 
Nimemsikiliza MCain leo katika speech yake kuhusu foreign policy. aisee hii ishu ya iraq inaweza isiwasaidie democracts kabisa na inaweza ikawageuka.

jamaa anasema hivi:
1: wapinzani wake(Obama na clinton) wanadai wanataka kurudisha credibility na heshima ya Marekani kimataifa. lakini wanasahau kwamba kwa marekani kuvamia Iraq na kisha kuondoka huku wakiiacha nchi haipo stable hiyo peke yake inaondoa credibility na heshima ya marekani kimataifa.

2:jamaa anasema kwamba kina Obama wanadai wataondoa majeshi Iraq na kuconcetrate juhudi zao kupambana na Alqaeda pakistani na Afghanistan.lakini ukweli ni kwamba hivi sasa tayari Alqaeda wapo Iraq kwa hiyo kuondoka Iraq itakuwa ni ushindi dhidi ya Alqaeda wa Iraq.

3:jamaa akadai pia kwamba katika hali ya sasa Marekani ikiondoa majeshi kuna wasiwasi wa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, hali inayoweza kupelekea genocide na catastrophy ya kutisha.

4:jamaa akasisitiza kwamba iwapo marekani itaondoa majeshi, kisha Alqaeda ambao tayari wako iraq wakajijenga, then itakuja kuwacost sana wamarekani kuweza kukabiliana na hali hiyo huko mbeleni.

kwa hiyo jamaa anasisitiza kwamba Wamarekani wako "morally" obliged kuwasaidia wairaq mpaka mambo yao yatakapotengamaa, jamaa ana imply kwamba kuondoka iraq sasa hivi ni sawa na kuwatosa wairaq.
 
Clinton_Wright200.jpg

Rev. Wright na Bill Jefferson Clinton at White House.
 
NN uliangalia hiyo show ya Hannity alivyokuwa anabishana na McCain?

By the way kuhusu mfano wa mume na mchungaji, kwa kifupi Mama Clinton anakubaliana na matendo ya mumewe kwenda nje ya ndoa lakini hakubaliani na maneno ya pastor ambaye anaweza kuwa ameyatoa kwa sababu ya hasira na jamii au serikali?

Masuala ya kiroho na masuala ya unyumba tangu lini yanalingana? Wewe hujui kama aliamua kubaki na mumwewe kwa ajili ya mtoto wao, hujui kama na yeye ana kijana wake pembeni, na hujui kama alimsamehe na hujui kama alimpa ruhusa mume wake kutembea nje ya ndoa. Kwangu mimi kuingiza mambo yao ya unyumba na kulinganisha swala la mbaguzi Wright ni kushindwa hoja na mtu unaposhindwa hoja une get personal!!! Shame on you Obama-maniacs.
 
gamba,
usinichekeshe! hivi ni kitu gani kipya hapo alicho ongea McCain, kinachokufanya wewe ufikiri kama unavyofikiri?
kwa kukusaidia, hakuna!! watu wapo all set juu ya opinions zao kuhusu gulf war II...........aidha wanakubaliano nayo au hawakubaliani nayo, rhetoric za McCain ni kama kumpigia mbuzi gitaaa!! kinacho-resonate masikioni mwa watu ni kwamba uchumi ni mbaya, $$ inaporomoka na kisa cha yote hayo(@least in part) ni hiyo vita ya kipuuzi!!!
 
..na kwa kuongezea,

..barack aliposema bank inavunjwa hakukosea!
 
Masuala ya kiroho na masuala ya unyumba tangu lini yanalingana? Wewe hujui kama aliamua kubaki na mumwewe kwa ajili ya mtoto wao, hujui kama na yeye ana kijana wake pembeni, na hujui kama alimsamehe na hujui kama alimpa ruhusa mume wake kutembea nje ya ndoa. Kwangu mimi kuingiza mambo yao ya unyumba na kulinganisha swala la mbaguzi Wright ni kushindwa hoja na mtu unaposhindwa hoja une get personal!!! Shame on you Obama-maniacs.

..nyani,

..nitapenda kusoma maoni yako baada ya dem. nom. na mara baada ya rais barack obama kuapishwa!
 
Masuala ya kiroho na masuala ya unyumba tangu lini yanalingana? Wewe hujui kama aliamua kubaki na mumwewe kwa ajili ya mtoto wao, hujui kama na yeye ana kijana wake pembeni, na hujui kama alimsamehe na hujui kama alimpa ruhusa mume wake kutembea nje ya ndoa. Kwangu mimi kuingiza mambo yao ya unyumba na kulinganisha swala la mbaguzi Wright ni kushindwa hoja na mtu unaposhindwa hoja une get personal!!! Shame on you Obama-maniacs.

Mkuu Nyani Ngabu hoja hujibiwa na hoja
Honestly! ukiangalia hiyo picha niliyoweka hapo juu nafikiri inaonyesha ni jinsi gani Rev Wright was not some sort of crank, fringe character, as he has been portrayed. Kama angekuwa who they potray him to be sasa hivi, they (Hillary and Bill) obviously had no objections to him being there.

My question to you Nyani is this: The photo I have posted was a prayer breakfast involving respected mainstream ministers and pastors and it took place in the morning of 9/11/98. So how did a "racist hatemonger" like Rev. Wright get invited, much less have his picture taken shaking hands with the President of the U.S.?
 
Nimemsikiliza MCain leo katika speech yake kuhusu foreign policy. aisee hii ishu ya iraq inaweza isiwasaidie democracts kabisa na inaweza ikawageuka.

jamaa anasema hivi:
1: wapinzani wake(Obama na clinton) wanadai wanataka kurudisha credibility na heshima ya Marekani kimataifa. lakini wanasahau kwamba kwa marekani kuvamia Iraq na kisha kuondoka huku wakiiacha nchi haipo stable hiyo peke yake inaondoa credibility na heshima ya marekani kimataifa.

2:jamaa anasema kwamba kina Obama wanadai wataondoa majeshi Iraq na kuconcetrate juhudi zao kupambana na Alqaeda pakistani na Afghanistan.lakini ukweli ni kwamba hivi sasa tayari Alqaeda wapo Iraq kwa hiyo kuondoka Iraq itakuwa ni ushindi dhidi ya Alqaeda wa Iraq.

3:jamaa akadai pia kwamba katika hali ya sasa Marekani ikiondoa majeshi kuna wasiwasi wa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, hali inayoweza kupelekea genocide na catastrophy ya kutisha.

4:jamaa akasisitiza kwamba iwapo marekani itaondoa majeshi, kisha Alqaeda ambao tayari wako iraq wakajijenga, then itakuja kuwacost sana wamarekani kuweza kukabiliana na hali hiyo huko mbeleni.

kwa hiyo jamaa anasisitiza kwamba Wamarekani wako "morally" obliged kuwasaidia wairaq mpaka mambo yao yatakapotengamaa, jamaa ana imply kwamba kuondoka iraq sasa hivi ni sawa na kuwatosa wairaq.

..gamba,

..uliangalia larry king exclusive ya obama last week?

..hayo mccain anayosema hayana ukweli halisi,infact hizo ni ndoto na mawazo ya gop na kina bush and co.

..ukweli ni kuwa wamarekani wa kawaida hawaoni sababu ya kupoteza mabilioni ya dola kila mwezi huko iraq.

..halafu,hiyo vita kwasasa ni distraction mbaya kwa uchumi wa marekani.

..huoni jamaa washaanza kuuliza fedha za mafuta iraq [kiasi cha kama 41 bn per month], zinaenda wapi au ziko na akina nani?
 
If you live in a glasshouse, don't throw stones.

Bill Clinton ana demu mpya M-Canada na Hillary lesbian ana demu vile vile.

Magazeti ya Marekani hayawezi kuandika tu, it took a Brit.

http://www.thefirstpost.co.uk/?menuID=2&subID=578&p=2

0601stronach_2.jpg

0601clinton.jpg

Oh puh-leaaase!!! Story za Enquirer and the likes hizo na kama unaziamini basi unahitaji msaada. FYI Barack O'Drama naye ana gay lover....usiniambie hujaisikia hiyo
 
Mkuu Nyani Ngabu hoja hujibiwa na hoja
Honestly! ukiangalia hiyo picha niliyoweka hapo juu nafikiri inaonyesha ni jinsi gani Rev Wright was not some sort of crank, fringe character, as he has been portrayed. Kama angekuwa who they potray him to be sasa hivi, they (Hillary and Bill) obviously had no objections to him being there.

My question to you Nyani is this: The photo I have posted was a prayer breakfast involving respected mainstream ministers and pastors and it took place in the morning of 9/11/98. So how did a "racist hatemonger" like Rev. Wright get invited, much less have his picture taken shaking hands with the President of the U.S.?

Did they go to his church and sit in the pews for over 20 years? And the same Wright claimed Bill rode black people dirty like he rode Monica...bwahahahahahahaaaaaa.....sasa kama ndio anachofikiria hivyo kwa nini naye alienda White House...
 
Back
Top Bottom