US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

..ding dong ding dong,ndugu yetu Nyani mama sasa kwisha habari yake,news zilizoingia sasa hivi NO REVOTE in Michigan na Florida ia a NO,hope bill atamwita Hillary pembeni kumwambia hii kitu is over,sisi tunaomba support yenu tuu as our fellow Democrats!
 
"hypothetical match up," so it is a scientific guess match up!! uuunh, its just a guess, then why bother about it? kuna primaries/caucuses za kushinda first, nomination ikipatikana, hapo sasa ndio watu wataanza ku-worry juu ya McCain, got it!!?

halafu wewe NN, si ni wewe uliekuwa unasema polls hazina mpango? sasa leo imekuwaje? au zina maana tu pale candidate wako mambo yanapomwendea vyema(supposedly)?

Mwisho, hizo polls ni kama rollercoaster....zinapanda na kushuka. McCain hayupo kwenye news @least negatively kwa kama wk ngapi sasa? sasa kipi hapo cha ajabu, kama yupo juu?......
tusubiri tuone wk 2, 3 zijazo, hizo namba zitasemaje, lakini ni 'ignorance' kuchekelea kitu kama hicho wakti candidate mmoja yupo kwenye scandal ambayo ndio kwanza ime-peak....wait for the trough, halafu njoo hapa tena na story zako.

acha ushabiki, jaribu kuwa critical thinker. tatizo lako umemwachia Rush Limbaugh na Sean Hannity wawe wanafiri kwa niaba yako! LOL.
 
Poa, ngoja tusubiri tuone. Lakini usisahau Hillary kazoea madongo maana amepigwa tangu kampeni zianza ndiyo maana sasa amepachikwa jina la 'fighter'. Lakini sasa 'bwana mdogo' naona kidogo misukomisuko kwake ni mizito na inaonekana hakuzoea kwani amekuwa akipata kwenye mteremko, lakini wazungu wameamua kum-srutinize baada ya kugundua anaweza kushinda. Nafikiri hawana nia mbaya, wanataka kumpitisha kwenye tanuru ili akishinda awe amekomaa. Wewe unafikiri kama George Bush angekuwa hajazoea misukosuko angeweza vipi ku-survive hadi leo na madongo yote anayopigwa. Sasa huyu 'kijana' naye lazima akomae, vinginevyo, Marekani itakuja vamia Iran, atapigiwa kelele na hawa jamaa wanayojiita pundits, kesho yake atayachomoa majeshi na kusababisha kasheshe.

Lakini mkuu usisahau kuwa presidential nominee iko kwenye stake hapa. The only reason I don't want Mrs. Clinton na Barack kuchafuana au kuburuzwa na issues za zamani ni kwamba I see myself not voting for McCain na Joe Liberman (supposedly his VP)..I will vote Dem no matter what, lakini I don't want the DFL nominee to be wounded by the time he or she is fighting with McCain, ndio maana I look at all this division hapa JF..most of us are DFL supporters lakini we are so divided to the point where its her way or his way...I think we need to debate and then agree to meet in the middle of the isle. I know each of our 2 candidates wants to win the party ticket so bad na wakati mwingine they forget that they are hurting the base. Ndio maana mimi nikasema "watu wa kambi ya Hillary" kama mliona Barack akipigwa wembe msishangilie sana...kwa sababu hamjui nini kitatokea kesho kwa Mrs. Clinton. Hebu angalia FIX NEWS wanavyomwagilia mafuta huu moto wa Obama. I mean its disgraceful. Sean Hannity the same guy alikuwa akimpiga madongo wazi wazi Sen. McCain sasa hivi ana rally behind him na kumfanya ni kipenzi wakati tunajua kuwa they preferred Fred Thompson before he entered the race..then akawa bust..then they switched to Mitt Romney. I don't take anything they said seriously kwa sababu ninawafananisha na wafanya maigizo.
I hope they don't scrutinize Sen. Clinton hata kama she's used to these kinda messy politics, I want people to see who is the better candidate and who has the capacity and the leadership skills to get this great nation back on track after Chenney and Bush ruinned it.
 
wewe ndio huna credibility, nimekuwa nakufuatilia postings zako hasa zile za thread ya "watanzania ndivyo tulivyo"......una tendecy ya kukandia na kukashifu watu weusi kila upatapo nafasi!!
wapi jamaa kaponda katiba ya US?? kivipi kapoteza credibility? ebu nijibu hayo maswali....

Re-read my post and the bold quoted text.
 
"hypothetical match up," so it is a scientific guess match up!! uuunh, its just a guess, then why bother about it? kuna primaries/caucuses za kushinda first, nomination ikipatikana, hapo sasa ndio watu wataanza ku-worry juu ya McCain, got it!!?

halafu wewe NN, si ni wewe uliekuwa unasema polls hazina mpango? sasa leo imekuwaje? au zina maana tu pale candidate wako mambo yanapomwendea vyema(supposedly)?

Mwisho, hizo polls ni kama rollercoaster....zinapanda na kushuka. McCain hayupo kwenye news @least negatively kwa kama wk ngapi sasa? sasa kipi hapo cha ajabu, kama yupo juu?......
tusubiri tuone wk 2, 3 zijazo, hizo namba zitasemaje, lakini ni 'ignorance' kuchekelea kitu kama hicho wakti candidate mmoja yupo kwenye scandal ambayo ndio kwanza ime-peak....wait for the trough, halafu njoo hapa tena na story zako.

acha ushabiki, jaribu kuwa critical thinker. tatizo lako umemwachia Rush Limbaugh na Sean Hannity wawe wanafiri kwa niaba yako! LOL.

Brace yourself for another bombshell...kuna tape nyingine ya pastor aitwaye somebody Meeks....hii ni breaking kutoka kwa my superhero Sean Hannity...so stay tuned for Hannity and Comes tonight....very interesting stuff...don't change that dial...
 
Brace yourself for another bombshell...kuna tape nyingine ya pastor aitwaye somebody Meeks....hii ni breaking kutoka kwa my superhero Sean Hannity...so stay tuned for Hannity and Comes tonight....very interesting stuff

.....duh! we kweli sikuwezi, yaani unachekelea kabisa hii polarization inayoendelea?? kwahiyo uchaguzi huu utakuwa juu ya pastors na maneno yao na sio issues tena!!? no wonder $$ inaporomoka na uchumi unaenda south.......kaazi kwelikweli!!.
 
Mliambiwa na hamkutaka kusikia...your boy is not tested yet and I doubt he has the fortitude to withstand the GOP onslaught while Mama taken everything they've got for decades. Now it's on and crying foul ain't gonna help. Either stay in there and return fire or get the hell out if you can't handle it....

Don't forget to watch the best political show on cable...Hannity and Colmes, 9:00PM EST.
 
Hahahahahahaaaa....the GOP smells blood with Obama being the nominee. My sources are telling me they are looking forward to it....
 
He he jaluo will weather all this, kama ndio vetting in process then issh will be fine.

Watu slowly wanaiangusha Clinton's machine.
 
Mliambiwa na hamkutaka kusikia...your boy is not tested yet and I doubt he has the fortitude to withstand the GOP onslaught while Mama taken everything they've got for decades. Now it's on and crying foul ain't gonna help. Either stay in there and return fire or get the hell out if you can't handle it....

Don't forget to watch the best political show on cable...Hannity and Colmes, 9:00PM EST.

sina haja ya kuangalia Hannity and Colmes, kwani najua huyo Rev. Meeks ni nani. James T. Meeks ni Illinois state senator na reverend mwenye congregation ya takribani watu 22,000....jamaa huwa ana rhetoric ambazo ni anti gayz na @ timez controversial! so its more of the same toka kwa kile tulichosikia toka kwa Dr. Wright. Kosa la Obama hapa labda ni kuwa alifanyakazi pamoja na Meeks kwenye Illinois Assembly na labda ile kukampeni kwenye church yake wakati anagombea US senate sit.........ambayo kimsingi si makosa kwa jinsi yeyote ile!! kubali kataa hii kitu ita fade, na pengine ndio -ve pekee waliyopata na watakayopata against him...hey homeboy, we're far away to November, usianze kuhesabu faida wakati ndio kwanza kumekucha!!

kuna article flani najua wewe utaipenda maana inaponda Obama.......ingia:
www.bilerico.com hapo tafuta article ya Rev. Irene Monroe, titled: IF OBAMA CAN THROW HIS PASTOR UNDER THE BUS, WHAT WILL HE DO TO US?. isome yote na comments za wasomaji halafu njoo tena hapa tubishane.

Poor guy anachukua fire toka kila kona, Media, Billary, Gay rights groups, McCain, Whites racists, Blacks racists, kwikwikwikwi Nyani Ngabu, The Lies(Truth) and Kitila, lazima yote hayo yachukue toll kwenye polls.....lakini, inshallah, god wishes, kwasababu malengo ya kampeni hii ni mazuri basi mambo nayo yatakuwa mazuri!! Yes We Can, Yes We Will Survive.
 
Heheheheee....The Audacity Of Hype!!!
 
Heheheheee....The Audacity Of Hype!!!

that's all?? what about McCain's gaffe yesterday in Jordan that, " the Iranians are training al qaeda"?? halllllllooooowwww! yupo confused, hajui tofauti ya sunni na shia, Iraq na Iran au Iraq na al qaeda!! kazi ipo mwaka huu.........mwambie awe ana tembelea tembelea www.alz.org watampa ushauri mzuri juu ya matatizo yake, the guy is torturing is fragile body and mind...sad!.
 
Sasa hii thread ni ya watanzania marepublikan na mademokrat!Mimi nilidhani tutachangia kwa upeo na si kujifanya wanavyama wa marepablikan kama Nyani anavyotaka kujirepresent..ongelea true politics na sio ushabiki tu!halafu inatakiwa ufanye uchambuzi ambao sisi kama watanzania na waafrika kwa ujumla tunaweza kuidentify with..na sio kuwa nyani ngabu tuuu!
 
Hivi unajua Reagan alitoa gaffe ngapi? Hivi unakumbuka W alishindwa hata kumtaja Musharraf...akaishia kusema the general..the general...au pale airport aliposhindwa kutamka subliminal...au wakati aliposema strategery.....au aliposema misunderestimate...je, watu walijali? Je, wote Reagan na Bush walishindwa uchaguzi? If anything this is to McCain's advantage that he is human just like everybody else. His gaffe was nothing more than a verbal typo and we all make them including you, my friend.
 
Sasa hii thread ni ya watanzania marepublikan na mademokrat!Mimi nilidhani tutachangia kwa upeo na si kujifanya wanavyama wa marepablikan kama Nyani anavyotaka kujirepresent..ongelea true politics na sio ushabiki tu!halafu inatakiwa ufanye uchambuzi ambao sisi kama watanzania na waafrika kwa ujumla tunaweza kuidentify with..na sio kuwa nyani ngabu tuuu!

Wewe unajuaje kama mimi si mwanachama wa Republican? Unanijua? Kama hunijui nyamaza la sivyo unataka shari....
 
Wakuu heshima mbele, on a serious note tuko wapi kwenye huu uchaguzi maana ninaanza kulewa na yanayoendelea,nijana speech ilikuwa kali saana, lakini badi sielewi, tuko wapi sasa?
 
Ebanae mmeionaje speech ya leo?

again ushabiki pembeni Obama sounded kama Commander in Chief.
 
Msikose Hannity and Colmes...inakuja baada ya dakika mbili...

naona hapa Rev Bill Lawson kamnyong'onyeza Hannity........hana kipya anaenda in cycles tu, over and over again! kiasi kwamba mpaka inaboa.

vipi kuhusu anavyosema kwamba watu wasichague Obama kwasababu atauawa? that's like calling for it! kazi ipo.
 
Back
Top Bottom