Unajua hii thread inavyozidi kwenda unaanza kugundua kwamba reality is downing on most of the people! Which is good.
Ikifika April/May wengi humu watakuwa wameshakomaa kisiasa na kuacha ushabiki na kuangalia real issues facing Dems as a party.
Tuendelee kukata issus hapa...Lakini ukweli ni kwamba you are yet to see the other side of BO ya ukweli au uongo..but it will be dug and na watu wapiga kura watalishwa!
Hivi mnaamini katika siasa kuna fairness?
I beg to differ mkuu, si kweli kwamba watu hawajakomaa kisiasa au wapo naive, ila watu wamechoka divisive politics..chaguzi zinaishia kwa personal issues instead of real issues, in short watu wanataka changes ktk political process nzima hapa US na ikiwezekana nyumbani. Hata Obama mwenyewe kasema kwamba mabadiliko haya hayatatokea ktk election moja, lakini angependa kwamba hii iwe hatua ya kwanza kuelekea huko.
Binafsi huu ni uchaguzi wa tatu wa raisi nashuhudia nikiwa hapa US, so, yanayotokea mwaka huu, hutokea kila mwaka. Lakini swali, je hivi ndivyo inavyotakiwa iwe? what about economics,education na mengineyo?
Kila mtu anajua kuwa life haipo fair, lakini hiyo isiwe excuse ya kusababisha misery na kupotosha watu kwasababu tu someone anataka kuwa raisi. Hivi unajua hali mbaya ya kiuchumi na security hapa US na dunia nzima inasababishwa na hizo politics za dog eat dog?
hivi kwanini wasiongelea madhara ya outsourcing,HMO's,social security,immigration,iraq war, potential for climate changes due to global warming etc. what Dr. Wright has anything to do with that or with the well being of regular Joes in main street America?
Mwisho ni kwamba, labda miongoni mwetu tupo blinded sided from hizo politics za mudslinging, kwasababu ya hunger for change..unajua mambo mangapi mazuri yanakwama in Wash, DC kwasababu ya huu upuuzi? kibaya zaidi hawa jamaa ndio vinara wa dunia, which means wao ndio wana set precedents mbaya kama hizi za kuchafuana ambazo zinaigwa na wanasiasa wetu Tanzania na kwingineko.
Tuangalie haya mambo ktk bigger picture