US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Nyani ,

Sean mbona akutaka Malik Shabash aongee pale alipoanza kuzungumzia uhusiano wake na jamaa ambaye alikuwa NAZI .
 
Nyani ,

Sean mbona akutaka Malik Shabash aongee pale alipoanza kuzungumzia uhusiano wake na jamaa ambaye alikuwa NAZI .

Sean aliji-disassociate na huyo jamaa long time ago. Has Obama done that with Wright?

Kwikwikwiiiii...halafu Obama kakataa endorsement ya New Black Panther....why?
 
naona hapa Rev Bill Lawson kamnyong'onyeza Hannity........hana kipya anaenda in cycles tu, over and over again! kiasi kwamba mpaka inaboa.

vipi kuhusu anavyosema kwamba watu wasichague Obama kwasababu atauawa? that's like calling for it! kazi ipo.

Nadhani tayari the damage has been done and that is to paint him as the black candidate and come November McCain walks to 1600 Pennsylvania Avenue...

Heheheheheeee....Al Sharpton anaongea na Obama mara 3 kwa siku kumpa ushauri....uuuuwiiiiiii

Halafu...wait a minute...kumbe uli-tune in eehh..? Bwahahahahahaaaa...you soon will be Hannitized...be careful. Rufiji naona tayari keshakuwa Hannitized siku nyingi....
 
Nyani ,

Yani jamaa namchukia vibaya sana ! Lakini I have to confess naangalia kipindi chake na kumsikiliza kwenye radio. Ila jamaa ni mbaguzi ambaye anajaribu kuinject race kwa nguvu zote .
 
Nyani ,

Yani jamaa namchukia vibaya sana ! Lakini I have to confess naangalia kipindi chake na kumsikiliza kwenye radio. Ila jamaa ni mbaguzi ambaye anajaribu kuinject race kwa nguvu zote .

Unajua uongo mbaya. Jamaa hata mimi saa ingine ananiudhi lakini ana mvuto fulani hivi ambao hata siwezi kuulezea. Halafu ma-conservative commentators wana influence ya ajabu sana. Mimi nawasikiliza kwenye redio, tv, na hata forums zao kwenye tovuti zao huwa napitia pitia. Hawa jamaaa ni kiboko kwani wana uwezo wa kubadilisha dialogue nzima ktk uchaguzi!!
 
Nyani ,

Nakubalina na wewe kabisa kwamba maconservative commentators wana mvuto . Kama ulisikiliza leo kwenye radio alitoa clip moja ambapo kulikuwa kuna pastor mmoja wa kinugu alimtukana Obama akidai ya kuwa baba yake alimtrash . Sasa sijui kwa nini akuonyesha hiyo Clip kwenye TV, kusema ukweli kwa jinsi anavyomattack Obama inaonyesha kabisa ya kuwa huyu jamaa ana personal vendetta.
 
Hii ni kwa rafiki yangu YourName....http://www.wdun.com/

Hapa unaweza kumsikiliza Rush na Sean kwa kubonyeza hapo panaposema listen live mkono wa kushoto bila ya kudownload chochote. Easy and simple.
 
hannity aibu tupu kumbe naye rafiki wa NAZI huku anajifanya alichofanya Obama ni murder,sasa inabidi watu waturn against this guy ili kuonyesha his true color...baguzi kweli kweli hili na limetolewa nishai na shabazz leo mpaka likaingia mitini!
 
Hannity alimtosa huyo jamaa looongi...Obama bado anamng'ang'ania Jeremiah Wright....why?
 
Hannity alimtosa huyo jamaa looongi...Obama bado anamng'ang'ania Jeremiah Wright....why?

..hypocrits tuu,hakuna kitu hapo na inaonekana right wing hamna issue ya kupambana na Obama zaidi ya pastor wright,mccain will be crushed come november maana hana issue zaidi ya vita na unpopular Tax cut huku wakitegemea stupid whitemen will vote against woman or black candidate,will never happen na tsunami inawasubiri republican hata wakijaribu spin kiasi gani!
 
Audacity of Hype...
 
Hii ni kwa rafiki yangu YourName....http://www.wdun.com/

Hapa unaweza kumsikiliza Rush na Sean kwa kubonyeza hapo panaposema listen live mkono wa kushoto bila ya kudownload chochote. Easy and simple.

mie siwezi kusikiliza Rush Limbaugh, mara ya mwisho kumsikiliza kama miaka minne iliyopita kwenye Cab in Wichita, KS.......Sean Hannity na Bill O walitengeneza carrier zao kwenye ule uchaguzi wa mwaka 2000, jamaa wanaboa sana!! watu wanawasikiliza kwasababu wanaongea mambo ya kijinga, na kama ujuavyo watu wengi wanapenda sana drama na excitements esp here in US.

Ila kiukweli kabisa hawa watu hawawatendei haki voters kwa kuwa misinform, halafu sijui fix news huwa wanapata wapi ile crew yao?

lakini leo Hannity kachemsha na lile li-Blackwell limezubaa utafikiri "mchuzi ulokosa ndimu" ndio maana Ohio walilipiga chini Ugavana, jamaa yaani bila aibu lina distort fwacts!.
 
Ebana NN kusema kweli that Shabbaz dude amemweka Hannity kwenye his position nimekuta mwishoni wakati yule Rev anamwambia kuhusu kupick up snippets, so I missed about 15 minutes of the show.
 
Records za mama zimetolewa, lakini inasemekana baadhi ya vitu vimefutwa ...kazi ipo!!!
 
BREAKING STORY!!!

John McCain atua UK

Ni katika ziara ya kujitambulisha?

John McCain hivi sasa ana mazungumzo na Gordon Brown Waziri Mkuu wa Uingereza.

Baada ya hapo mchana atakutana na kiongozi wa chama cha Concervative bwana David Cameroon.

Je hii ni ishara kwamba mgombea huyu wa urais wa USA ndio yupo katika kujitambaulisha mbele ya jukwaa la kimataifa?

Sisi yetu macho.
 
Back
Top Bottom