Kwa hiyo imemchukua miaka ishirini kuamua kuwa hakubaliani na hayo mahubiri ya pastor wake, sio? Yeye kahoji judgement ya Mama kuhusu vita ya Iraq, sawa pengine hiyo ni hoja legitimate. Ila huoni kwamba ni legit pia kuhoji judgement yake kujihusisha na huyu pastor kwa miaka yote hiyo?
Na leo kajikanganya mwenyewe baada ya kukiri kuwa alishuhudia mahubiri hayo ya chuki wakati wili iliyopita alikana. Jibu ndiyo au hapana, alidanganya, sio?
hapana bana, una distort facts. kasema kwamba, pastor kashawahi kuongea vitu ambavyo hakubaliani navyo(hakuwa specific juu ya comments gani, lakini pia kuna ushahidi kwamba hakuwepo siku zilizotolewa sermons ambazo tumeona video clips zake). akaongeza kwamba, hajawahi kumsikia Dr. Wright akiongea vibaya kuhusu race yoyote...........akaendelea zaidi kwa kutoa mfano wa bibi yake na kadhalika. Ebu ipitie tena speech bana, kuwa serious kidogo huongei na walevi wa 'dengerua' au ulanzi hapa!! alaa.
.....jamaa ka-denounce Dr. Wright kidogo tu, ma-rev wengine weusi wakam-denounce yeye. Leo haja m-throw Dr. Wright under the bus kuna watu(black and white) wana lalamika.....sasa jamaa afanyaje jamani??
eti kwanini asibadili kanisa!!? we unafikiri unabadili kanisa kama vile unavyobadili soksi? utaenda kanisa gani hapa US(hasa black) ambalo ni 100 per free from controverses? hata hayo makanisa ya wazungu pia kuna mambo ya ajabu yanasemwa......isitoshe kwenye congregation ya Dr. Wright wapo na wazungu pia!!
kuna jamaa anasema kwamba, "the most segregated day in america is sunday." What about that?? jibu lake, ndio hasa kisa cha speech ya leo.
Makanisa yako kibao tu ndugu yangu wewe pagani! Na wala sio vigumu kubadilisha kanisa kama unavyotaka tuamini wewe. Kama hukubaliani na mahubiri ya mchungaji wa kanisa una haki ya kuondoka na kwenda kwingine au hata kubaki nyumbani siku za jumapili. Mbona mimi nimeshabadili makanisa kibao tu tokea nianze kuishi hapa....Nilikutolea mfano, kanisa la Newbirth la bishop Eddie Long au Ebenezer ni makanisa ambayo hayana mahubiri ya chuki. Au hata T.D. Jakes wa Dallas...sijawahi hata kumsikia siku moja akisema God Damn America au ridin' dirty...
Halafu sio lazima uende kwenye black church kama wewe ni mweusi....kuna makanisa mengi tu ambayo yako racially diverse...sijui kama ulikuwa unajua hilo...
hapana bana, una distort facts. kasema kwamba, pastor kashawahi kuongea vitu ambavyo hakubaliani navyo(hakuwa specific juu ya comments gani, lakini pia kuna ushahidi kwamba hakuwepo siku zilizotolewa sermons ambazo tumeona video clips zake). akaongeza kwamba, hajawahi kumsikia Dr. Wright akiongea vibaya kuhusu race yoyote...........akaendelea zaidi kwa kutoa mfano wa bibi yake na kadhalika. Ebu ipitie tena speech bana, kuwa serious kidogo huongei na walevi wa 'dengerua' au ulanzi hapa!! alaa.
Okay...he should stop being vague then...he should be very specific as to what those controversial things are or else people are still going to ask questions. His vagueness doesn't help anything....agree?
Makanisa yako kibao tu ndugu yangu wewe pagani! Na wala sio vigumu kubadilisha kanisa kama unavyotaka tuamini wewe. Kama hukubaliani na mahubiri ya mchungaji wa kanisa una haki ya kuondoka na kwenda kwingine au hata kubaki nyumbani siku za jumapili. Mbona mimi nimeshabadili makanisa kibao tu tokea nianze kuishi hapa....Nilikutolea mfano, kanisa la Newbirth la bishop Eddie Long au Ebenezer ni makanisa ambayo hayana mahubiri ya chuki. Au hata T.D. Jakes wa Dallas...sijawahi hata kumsikia siku moja akisema God Damn America au ridin' dirty...
Halafu sio lazima uende kwenye black church kama wewe ni mweusi....kuna makanisa mengi tu ambayo yako racially diverse...sijui kama ulikuwa unajua hilo...
ume post hiyo argument kwa sake ya argument tu......lakini nadhani umenielewa nini hasa nilichokuwa na maanisha!!
"as a matter of style, you swim with the currents, but as a matter of principle, you stand like a rock." Thomas Jefferson.............kama ni mtu na akili zako huwezi kubali makanisa ati kwasababu tu Pastor now and then anaongea vitu ambavyo hukubaliani navyo!!! mambo mangapi mazuri Dr. Wright kafanya?? wapi credits? kesha wahi kuwa marine, je huyu ni mtu kweli anayechukia america? of course words matters, lakini hii itakuwa ni 21st century lynching hasa kama Obama's candidacy will be defined by this!!
ume post hiyo argument kwa sake ya argument tu......lakini nadhani umenielewa nini hasa nilichokuwa na maanisha!!
"as a matter of style, you swim with the currents, but as a matter of principle, you stand like a rock." Thomas Jefferson.............kama ni mtu na akili zako huwezi kubali makanisa ati kwasababu tu Pastor now and then anaongea vitu ambavyo hukubaliani navyo!!! mambo mangapi mazuri Dr. Wright kafanya?? wapi credits? kesha wahi kuwa marine, je huyu ni mtu kweli anayechukia america? of course words matters, lakini hii itakuwa ni 21st century lynching hasa kama Obama's candidacy will be defined by this!!
Okay...he should stop being vague then...he should be very specific as to what those controversial things are or else people are still going to ask questions. His vagueness doesn't help anything....agree?
ndio maana vilaza wanaotaka spoon feeding hawa-vote Obama, vitu vipo wazi mwenye/kutaka kuelewa anaweza kufanya hivyo bila ya one to one!!.
jamaa hayupo kwenye mood ya by any means necessary kuwa rais ndio maana haoni sababu ya ku-throw friends and confidants under the bus....its a matter of principle, kitu ambacho americans wana tendency ya kuadmire.!!

kibabu chako kinachemsha tu huko middle east! nadhani kasahau aricepts, tacrine au mementim( alzheimers medications) zake, maana ana chapia huyo, bila ya Liebermann ingekuwa aibu!! he belongs kwenye special alzheimers unit in a nursing home/retirement center na sio run kwa white house!!. LOL.

Babu ndio utamuita Mr. President elect ifikapo november 2008 na Mr. President ifikapo Januari 2009....anza kufanya mazoezi ya kutamka President John McCain...
Unajua katika jambo nililomsifu Obama katika ile speech ni pale aliposema alishawahi kusikia kucontroversial remarks za Dr Wright . Pale ndipo nilipoamini huyu mtu ni mwanasheria ...Kwa kusema vile ameiweka ishu kuwa too general na kila mtu anaweza kudefine anavyotaka yeye . Zaidi alikuwa anakumbuka alisema nini Ijumaa ambapo alisema hakuwahi kuziona au kusikia zile clip walizokuwa wakionyesha.
Wanabodi , mara nyingi watu wanaposhuhudia historia huwa hawajui kuwa wameshuhudia , ila kusema ukweli wanabodi tumewitness historia.

Nakubaliana na wewe kwamba kaiweka ishu kuwa too general na hii badala ya kuzika ishu itaibua maswali mengi zaidi na kufanya ishu iwe na miguu na kuendelea kuzungumziwa. Angejibu kila kitu watu wasingepata cha kuzungumzia tena. Mimi nadhani amekuwa mwanasiasa na katoa majibu ya kisiasa ambayo badala ya kujibu maswali yataongeza maswali....
Well, simplicity has always been the enemy of the truth and certainly this election will not change this factual statement. Sasa angalia isije ikawa wewe ndio shallow, maana umdhaniye ndiye wakati mwingine huwa sio. Mwenzetu naona wewe kila anachosema Obama ni almasi. Sisi wengine tumekwisha onyesha uzuri na udhaifu wa speech ya Obama lakini mwenzetu wewe hotuba ya Obama ni biblical verse; well sasa wewe endelea kumeza unayopewa sisi tutatafuna kwanza kabla ya kumeza! Pole sana.
Tuesday, Mar. 18, 2008 Obama's Bold Gamble on Race
By James Carney
Politicians don't give speeches like the one Barack Obama delivered this morning at the National Constitution Center in Philadelphia. Certainly presidential candidates facing the biggest crisis of their campaigns don't. At moments like these when circumstances force them to confront and try to defuse a problem that threatens to undermine their campaigns politicians routinely seek to clarify, diminish and then dispose of the problem. They play down the conflict, whatever it is, then attempt to cut themselves off from it and move on, hoping the media and electorate will do the same. What they don't do is give a speech analyzing the problem and telling Americans that it's actually more complicated than what they believed. They manifestly do not denounce the offensive comments that stirred up the trouble to begin with and then tell Americans to grow up and deal with the fact that those same remarks, however wrong and offensive, are an elemental part of who they are, and who we are.
But that is the breathtakingly unconventional speech Obama gave today. Rather than disown his former pastor and spiritual adviser, the Rev. Dr. Jeremiah Wright, Jr., as well as denounce Wright's controversial sermons, Obama declared that he could denounce but not disown. "I can no more disown him than I can disown the black community," he said. He castigated Wright, but did not cast him off. Obama refused to add his voice to the chorus vilifying Wright. Acknowledging how disingenuous that would have been, and how craven, Obama instead pulled Wright back and re-owned him, saying, "As imperfect as he may be, he has been like family to me."
Obama did what politicians so rarely do acknowledge complexity, insist that the issue currently roiling the presidential campaign the story of Jeremiah Wright's words is not a story that is clear-cut between right and wrong, or between black and white for that matter. Having waged a campaign, with great success, on the notion that race as a political and electoral issue could be transcended, with a strategy that assiduously downplayed race, Obama declared today that the only way to transcend race is to focus on it rather than downplay it to acknowledge its sometimes oppressive presence in American life, in the form of both black anger and white alienation.
To attempt to transcend race either by ignoring it or simply declaring it transcended would be folly even now, in the year 2008. That was the reality Obama both confronted and embraced today. "Race is an issue that I believe this nation cannot afford to ignore right now," he said. "We would be making the same mistake that Reverend Wright made in his offending sermons about America to simplify and stereotype and amplify the negative to the point that it distorts reality."
Instead, he challenged Americans to learn something about their country, to seek to understand those whose emotions seem threatening, wrong-headed, even un-American. He asked whites to understand that the anger behind Rev. Wright's comments, while paralyzing, was also valid, the result of decades and centuries of real discrimination and oppression suffered by African Americans. And he asked blacks to understand that whites who resent affirmative action and whose fears of crime lead them to stereotype blacks should not be dismissed as racists, because their concerns and fears are real and valid, too.
"This is where we are right now," Obama said. "It's a racial stalemate we've been stuck in for years. Contrary to the claims of some of my critics, black and white, I have never been so naïve as to believe that we can get beyond our racial divisions in a single election cycle, or with a single candidacy particularly a candidacy as imperfect as my own. But I have asserted a firm conviction a conviction rooted in my faith in God and my faith in the American people that working together we can move beyond some of our old racial wounds, and that in fact we have no choice if we are to continue on the path of a more perfect union."
Obama's speech was profound, one of the most remarkable by a major public figure in decades. One question perhaps the question is whether its sheer audacity makes for good political strategy. By confronting the Wright controversy head-on, Obama ensured that it would drive the narrative about his campaign, and his race against Hillary Clinton, for days and perhaps weeks to come. He and his advisers no doubt calculated that nothing they could do would change that fact. But if one of the appeals of Obama's candidacy has been the promise of a post-racial politics, how will voters respond to a speech acknowledging that the future is not now, that race still divides us?
Obama is taking a substantial risk. He is counting on voters to hear and accept nuance in an arena that almost always seems to reward simplicity over complexity. He is asking something from Americans rather than just promising things to them another formulation long out of vogue. "For we have a choice in this country," he said. "We can accept a politics that breeds division, and conflict, and cynicism. We can tackle race only as spectacle as we did in the O.J. trial or in the wake of tragedy, as we did in the aftermath of Katrina, or as fodder for the nightly news ... We can do that," he goes on to say. "But if we do, I can tell you that in the next election, we'll be talking about some other distraction ... And nothing will change. That is one option. Or, at this moment, in this election, we can come together and say, 'Not this time.'"
Usually when politicians pose those kinds of either/or options to an audience, the choice is deliberately devoid of real tension. Either we move forward or fall backward, either we let the economy falter or we help it grow, either we succumb to our enemies or we defeat them the choice is up to you, America! Obama's either/or formulation is not nearly so banal. Explicitly asking Americans to grapple with racial divisions, and then transcend them that's a bold request. Will they comply? Obama's presidential hopes depend on it.
leo katoa nyingine kali, ati ile criticism alopata wakti wa SC ame compare na 'mugging'!!. neno baya sana, yaani anataka kusema kwamba watu weusi ni muggers??
apology ya HRC ni ya kinafiki na ipo coded....watafanya kila kitu hapa duniani ili kushinda. lakini wakae wakijua historia itawahukumu vibaya sana!.

.....naona celtics wanajikandamizia tu kiulaiiiiiiiiiiini!! sam cassel kaongeza nguvu kidogo mitaa ya kati pale.
kesho Obama ana speech nyingine in NC, mwaka huu tutapigwa na speechs mpaka tutie akili!! constitutional law proffesor anatoa shule ya bure kwa marekani nzima, this is NEW in politics!!
Go O'bama, Yes We Can.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.