Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

RUSSIA, KOREA KASK, IRAN, VENEZUELA, CUBA, CHINA, PAKISTAN, AFGHANISTAN vs ..............
Ongezea na huyu aliyetaka kupinduliwa na vibaraka wa USA hivi majuzi, yaani Uturuki nayo itakuwa upande wa wazee wa vodka
 
Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita



Mikogo mingi tu ya akina Zembwela, Putin hana uchumi wa kusustain vita kubwa na ya muda mrefu dhidi ya nchi za magharibi na hana alliances kubwa za kutosha kupigana vita kama hiyo labda ajitoe muhanga afyatue makombora ya nuclear ambayo ni vita isiyokuwa nanmshindi kwani itakuwa piga nikupige na kuimaliza dunia basi, Urusi na Putin included.
 
nenda kasome vizuri huko google mmarekani na yeye muda alishajenga mitambo ya kuzuia makombora kutoka urusi katikati ya bara la urope kuna kannchi kapo mwinukoni amejenga hayo madude
Inanikumbusha 'majimaji war'
 
Hapa ndo napoona lna Rooney na taifa lao wana akili sana...
Baada ya kujitoa Eu,nahisi watajitoa makundi mengne zaid ya kshenzshenz yny kuwaingza mkumbo wengi kwa faida yao wnywe...
Safi saana wazee wa EpL..
 
Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
Khaaa nawe unapenda zichapwee.... Tutaumia siye aiseee. Mungu atuepushie mbali
 
Wakinukishe tu pumbavu zao, hii dunia imejaa majanga na matatizo kila uchao, umaskini, ufukara na mauaji na maradhi, magonjwa mateso ya kila aina. Kwanza walipuane kwa kutumia nyuklia dunia iishe, naomba na makombora mengine waelekeze huku Afrika, asibaki mtu kwenye hii dunia, kwanza ningekua hapo karibu na hizo nyuklia ndio wangekoma, maana ningeanza mwendo wa kubonyeza bonyeza tu.
Kweli hii nchi ngumu hii
Mi sitaki tusalimike...nataka tuwe wa kwanza kupotezwa. Kiukweli kabisa napenda ww3 itokee

Tumechoka na vita ya kusimuliwa eti WW1 NA 2, HATUKUWEPO, HATA YA KAGERA HATUKUWEPO SASA NAITAKA HII
 
Two Russian buyan class warships equiped with SS-N-27 crossed the bhosphorus heading towards syria this morning

EDIT-in case you peoples are wondering what the hell SS-N-27 rockets is,,they called SUNBURN by NATO,they are ANTI SHIP MISSILE
Kumekucha, aiseeee....hapo mtoto atumwi sokoni...na kumbuka hiyo midude usikute imebeba na yakhont antiship missile.......
 
Binafsi nataka Russia ambangue vilivyo USA maana USA ana maringo na ubabe sana.
Ila kwa jicho la mbali ni dhahiri kabisa vita ni hela kama huna hela imekula kwako ivo.
Ni kweli uchumi wa Urusi uko chini na hiki ndio kitakachowamaliza pia mrusi hana marafiki wa kumsapoti, na ni wachache sana wanaomuunga mkono kulinganisha marekani anae saidiwa na nchi kibao na japo kua yeye ni super power hilo halina ubishi, NATO nzima iko upande wake! haki ya Mungu mrussi keshashindwa.

Ila pamoja na hesa kuwa ni jambo muhimu kwenye vita AKILI NA TECHNIQUES ni muhimu, kisilaha msuri yupo vizuri hasa nyuklia na yale makitu ya kutuma uko angani. sasa kwa kuyatumia hayo naona anaweza kutondosha hapo nchi za nato aifanye majivu at the same time aipimie marekani aifutilie mbali ila kwa kutumia mbinu za hali ya juu, vinginevyo lazima marekani ashinde na hapa ndio tutampata mtawala ya hii dunia yani ile ishu ya serekali moja, dini moja na kushea tamaduni moja itawasili ghafla hapa duniani.

Nawaombea kwa Mungu urusi hata kama itashindwa imchepe ipasavyo USA.
Muda mwingine mtumie akili mnavyoandika, vita ya nuclear inahitaji pesa...zaidi ya kubonyeza kitufe nakusubilia mwanga mwekundu....
 
Kuna mtu aliniambia kuwa, maisha yakiwa magumu watu huombea mabalaa yatokee ili afe kwa bahati mbaya kama mleta uzi. Komaa na maisha hakuna vita ya dunia wala World War.
 
Sio zote za Europe. Sweden, Austria, Cyprus, Finland, Ireland na Malta sio members wa NATO. Na kuna members wa NATO wapo neutral hawana side na they can change their minds anytime.

Pia hizi nchi zilizopo karibu na Russia kama Romania ikitokea vita kati ya NATO na Asia zinaonekana kuja kuunga support Russia kwa sababu hazitakubali ku risk kuwa mstari wa mbele maana ndio zipo karibu na Russia. Ndio zinatakuwa wa kwanza kumalizwa hivyo inawezekana kujitoa NATO kama vita vitamgusa jirani yao mwenye power.

5b86e29347855f8cbc468a3d8f4afb60.jpg

Asante sana mkuu. Nilikua silijui hilo.
 
Back
Top Bottom