NGARUKA
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 402
- 71
[emoji15]Mimi nitakuwa naishangilia Urusi maana USA siipendi wamezidi masifa ni mawazo yangu
[emoji15]Mimi nitakuwa naishangilia Urusi maana USA siipendi wamezidi masifa ni mawazo yangu
Mbavu zangu Ati juu ndo njia ya makombora duh nimecheka sana leo!Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
Kwenye biblia wanaitwa wayaudi feki (wanao jiiita wayahudi na si wayahudi)Marekani haipo katika bibilia lile si taifa original bali limeundwa kwa mchanganyiko wa watu mbali mbali japo mzungu anataka kulimiliki, hiyo vita hautaisikia mpaka mnakufa kizazi hiki chote ...mtasikia matetesi ya vita lakini hakuna cha vita kutokea...
Watanzania kwa ubuyu duuhh!! Yaan Wazungu hata hawawaz huko!! Kutokuelewana kidogo tu na marekani mmeshaleta midomo!! Ukiwaza tuHuko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
Mungu apishilie mbali maana ndio itakuwa mwisho wa duniaHuko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
wengine ni wapumbavu sana sana tena sana ndio mana ikatokea vita kuu ya kwanza,ya pili nk.Watanzania kwa ubuyu duuhh!! Yaan Wazungu hata hawawaz huko!! Kutokuelewana kidogo tu na marekani mmeshaleta midomo!! Ukiwaza tu
Wazungu syo wapumbavu wanaelewa vita ni nn hawakurupuki kuyavaa majanga
Mi sitaki tusalimike...nataka tuwe wa kwanza kupotezwa. Kiukweli kabisa napenda ww3 itokeevita itapiganwa europe,middleeast na marekani.
America kusin,africa,australia na sehemu za asia wanaweza kusalimika.
Russia si iko europe
Umesema kweli marekani siyo mjinga kama mnavyodhani naishia hapo..Vita ni hela anajidanganya tuu huyu mkomunist ngoja wamrudishe stone age na makombora yake ya nuclear
Research za Tanzania za Ku Google hahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mkuu mimi nilifanya reseach ya chuo bila pesa
Hao walichakazwa mwaka 1945 wakaompa po, na hawataman kusikia, hata Tanzania tukitangaza vita nao watatukimbia walipata hasara sanaNdio maana naupaenda nchi ya malikia asee wao BOLI tu mengine yote hawana mda nayo
Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
Duh...USA mjanja kweli. Anataka aendelee kuwa superpower Milele wakati haiwezekani. Inatakiwa taifa lingine liibuke...kama ambavyo imekuwa tangu zamani...UK, France, Italy,...etc.mkataba waliouvunja ni ule ambao marekani na urusi walikubaliana kuwa mrusi atakuwa akipeleka marekani makombora ya nyuklia yaliyochakaa ili mmarekani akayaharibu na ile uranium isiweze tumika tena katika silaha,pia marekani nao wanapeleka russia nao wanaharibu yale ya wa marekani,
sasa kumbe wakati warusi wanafanya kama walivyokubaliana,mrusi kagundua kumbe marekani yeye mjanja kweli,alikuwa akiyaharibu kwa namna ambayo mda wowote anaweza kureverce process na hiyo uranium ikaweza tumika upya katika mabomu,
ndo maana putin kasitisha huo mpango
Hahaha...kweli? Si ukadhurule pale allepo Syria ??? Hahaha...au ukspigwe guruneti hapo Bujumbura...[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tumechoka na vita ya kusimuliwa eti WW1 NA 2, HATUKUWEPO, HATA YA KAGERA HATUKUWEPO SASA NAITAKA HII