Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Russia alikuja Syria kupigana kwa miezi michache tu ! lakini cha Ajabu takribani mwaka na siku kadhaa anashindwa kuja na Mbinu ya kumaliza vita isiyojulikana itaisha lini ambayo akiendelea kuwa kichwa ngumu itamgharimu mabilioni ya dola na kushindwa kuiendesha, hapo ndio utajua Russia sio mjinga kama hizo propaganda za WW3.
Russia anachoumiza dunia ni silaha za Nyuklia ila sio powerful kama mnavomjadili
Tangu Rais Assad alivyo muomba masaada Putin, unajua mpaka Leo miji mingapi ipo mikononi mwa serikari ya Syria kutokana mrusi kutembeza kichapo kwa hao waasi wanao fadhiliwa na Marekani.

Mrusi sasa ndio anataka kuwamaliza kabisa hapo Allepo mpaka mmarekani anapiga kelele lakini mwanaume hajali chochote
 
Tangu Rais Assad alivyo muomba masaada Putin, unajua mpaka Leo miji mingapi ipo mikononi mwa serikari ya Syria kutokana mrusi kutembeza kichapo kwa hao waasi wanao fadhiliwa na Marekani.

Mrusi sasa ndio anataka kuwamaliza kabisa hapo Allepo mpaka mmarekani anapiga kelele lakini mwanaume hajali chochote
Mrusi amegundua kuwa silaha zinawafikia waasi kutoka marekani kwanjia ya misafara ya malori ya humanitarian aids , hivi sasa mrusi anachapa hata malori ya misaada, hapo ndipo marekani anapong'aka
 
Kama ukitaka kuwa fair dunia nzima hasa ya wanyonge isimame nyumna ya mrusi. Huyu bwana mkubwa ni chimbuko la maovu mengi kuanzia Mashariki ya kati, amerika ya kusini na kaskazini, afrika. Yuko nyuma ya migogoro ya wayahudi na waarabu ambacho ndicho hasa kiini halisi cha ugaidi unaotusumbua hivi sasa. Kusema ukweli.... we acha tu, hata kule marekani kwenyewe hakuna raha, wamarekani wengi wanaishi kama wakimbizi huku mabwanyenye wachache saaaana wakihodhi kila kitu. Wamarekani wa kawaida kama mimi wanasota sana ndani ya nchi yao wenyewe, wengi wanalazimika kufanyakazi kwa masaa 18 kwa siku, wengine wanalazimika kuishi kwa njia ya ushoga (unaolewa hata kama wewe ni mwanaume) ili upate mahali pa kulala, kula, kutibiwa na mahitaji mengine. Asiyefanyakazi na asile kwelikweli. Masikini hawapewi elimu ili waendelee kuwa cheep labour, na kweli wengi hawakusoma, kama akitaka ajinasue lazima afanye sanaa ya kiukweli sio kama hii ya akina nanihii hapa kwetu wanaoimba kwa kubana pua na uso kuonekana kama wanang'olewa kucha zao kwa kileo.


Wanyonge hawawezi kusimama nyuma ya mrusi kwa sababu anachoweza kuwasaidia ni bunduki AK47 na mizinga tu sio chakula wala dawa! Ambapo USA ataleta unga wa yanga na ngano na dawa, niambie lini uliona shirika la kirusi mfano wa USAID huku afrika likitoa misaada?! Kwa wanyonge bottom line ni tumbo mkuu, mrusi hana chake!
 
Ha ha ha ha wakati ule lilikuwa ganda tu atom, wakatengeza atomic bomb

Sasa hivi hatimae wana kiini yaani original nuclei, sasa wametengeza nuclear bomb, haha haa hapa sipati picha endapo ikatokea vita ambaye ataona kashindwa itambidi atumie nuclei
 
Si marekani na Russia wapigane halafu ulaya nayo iingilie halafu mashariki ya kati yani tena waharibiane miji yao vibaya yawe maafa makubwa kabisa na china na NK nao waingilie halafu na bara la America ya kusini iingilie kisha watumie nuclei wapoteza waanze upya uchumi kisha sisi Africa tubaki hivi hivi tuongoze uchumi wawe wanakuja kutudai madeni yao na kutuomba misaada

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanyonge hawawezi kusimama nyuma ya mrusi kwa sababu anachoweza kuwasaidia ni bunduki AK47 na mizinga tu sio chakula wala dawa! Ambapo USA ataleta unga wa yanga na ngano na dawa, niambie lini uliona shirika la kirusi mfano wa USAID huku afrika likitoa misaada?! Kwa wanyonge bottom line ni tumbo mkuu, mrusi hana chake!
Kwa taarifa yako mkuu marekani hakuna msaada wala kitu cha bure (no free lunch), hiyo misaada unayoiona ndani yake kuna mission fulani kwa faida ya marekani. Kama ni misaada angewapa kwanza wamerekani wenzake ndani ya nchi wenye hali mbaya ya maisha hadi kufikia stage ya kuoana watu wa jinsia moja ili wapate kushirikiana katika kupambana na maisha na kulipa kodi za huduma tofauti. Sio hiari yao kuwa mashoga bali survival strategy. Ndio maana mashoga wa kule ukija na ngonjela zako kuwa ushoga ni mbaya hawakuelewi na wako tayari kukunyonga kwakuwa hiyo ndiyo njia pekee waliyonayo ya kulipa madeni wa matajiri, kulipia huduma mbalimbali, nk. Kupiga vita ushoga kule ni sawa na tangazo la kifo kwa baadhi ya watu kule. hakuna cha bure bwana kutoka kwa wale, wacha kupumbazwa na hayo mashirika ya misaada unayoyasema ndani yake kuna siri kubwa sana.
 
Sadamu huseen angekua hai angemshauri Putin asifanye ujing
 
Hii Ni fursa Africa tujiandae kupiga bao kiuchumi, amerika waliitumia fursa Kama hii wakati WA Vita ya Kwanza ya dunia kwa Kuuza chakula na silaha ulaya na asia
 
Hii Ni fursa Africa tujiandae kupiga bao kiuchumi, amerika waliitumia fursa Kama hii wakati WA Vita ya Kwanza ya dunia kwa Kuuza chakula na silaha ulaya na asia
he, ngoja nikalime matikitimaji na maboga (Halloween) wanapenda sana wale.
 
Vita ni hela anajidanganya tuu huyu mkomunist ngoja wamrudishe stone age na makombora yake ya nuclear
Hela ya nini tena? Hayo makonbora Si yanatumwa kuanzia hapo hapo Moscow? Au kuyaachia ni hela gani yahitajika?! Kumbuka hakuna anayeanzisha timbwili kama hilo ikiwa hana hela. Wanaweza kukosa ya mambo mengine Si ya usalama
 
Russian hawawezi simama na mmarekani kwanza technology inahitaji researches, researches zinahitaji pesa, kwa uchumi huo wa Russia husitegemee kitu kwa mmarekani
Yule kiduku anajaribu makombora kila siku ana hela ya research kumzidi mrusi?!
 
Back
Top Bottom