Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Binafsi nataka Russia ambangue vilivyo USA maana USA ana maringo na ubabe sana.
Ila kwa jicho la mbali ni dhahiri kabisa vita ni hela kama huna hela imekula kwako ivo.
Ni kweli uchumi wa Urusi uko chini na hiki ndio kitakachowamaliza pia mrusi hana marafiki wa kumsapoti, na ni wachache sana wanaomuunga mkono kulinganisha marekani anae saidiwa na nchi kibao na japo kua yeye ni super power hilo halina ubishi, NATO nzima iko upande wake! haki ya Mungu mrussi keshashindwa.

Ila pamoja na hesa kuwa ni jambo muhimu kwenye vita AKILI NA TECHNIQUES ni muhimu, kisilaha msuri yupo vizuri hasa nyuklia na yale makitu ya kutuma uko angani. sasa kwa kuyatumia hayo naona anaweza kutondosha hapo nchi za nato aifanye majivu at the same time aipimie marekani aifutilie mbali ila kwa kutumia mbinu za hali ya juu, vinginevyo lazima marekani ashinde na hapa ndio tutampata mtawala ya hii dunia yani ile ishu ya serekali moja, dini moja na kushea tamaduni moja itawasili ghafla hapa duniani.

Nawaombea kwa Mungu urusi hata kama itashindwa imchepe ipasavyo USA.
 
hii vita haiwezi tokea labda mjinga Trimph aingie ashinde uchaguzi na akose watu wakumshauri, , , , kina Obama biti nyingi lakini wanauelewa moto wa mrusi, US inaweza ikapigika mpaka dunia nzima ikashangaa. . . na wao wanalijua hilo ndio maana wanatumia mwamvuli wa UN kujikinga
 
hii vita haiwezi tokea labda mjinga Trimph aingie ashinde uchaguzi na akose watu wakumshauri, , , , kina Obama biti nyingi lakini wanauelewa moto wa mrusi, US inaweza ikapigika mpaka dunia nzima ikashangaa. . . na wao wanalijua hilo ndio maana wanatumia mwamvuli wa UN kujikinga
Trump keshasema kuwa akiwa Rais hataki vita na Moscow.
 
la ukweli unabakia pale pale ..marekani na urusi hawatakuja kupigana hata siku moja ..watajjambishana tu kwa masilaha yao ila no vita...Urusi in short hataiweza marekani ila marekani naye hatapona..manake us yeye anataka apigane na mtu huko huko ila sio kwenye ardhi yake,,yani apiganie kwako ili hali yeye anakula bata las vegas..sasa huu upuuzi mrusi hatautaka na yeye atatak wakapiganie huko huko las vegas..na marekani hii kitu haitaki na hatokubali na wala hatoruhusu vita..

Kwa lugha nyingine, Hakuta kuwa na mshindi hapo.
 
Hapa kuna mtu alishashituka mapema sana, akasoma nyakati Mwingereza akaanza kujitoa UE na NATO pia kunafuata nahis, kuingia vitan kwa maslah ya mtu mmoja mmerekan itakiwa risk kwao, wamwache apambane mwenyewe.
Cameroon amekiri makosa makubwa kiutawala yaliyofanywa na uk hivi karibuni ni kuivamia iraq na kuung'oa uongozi wa libya.... ni sawa na kusema anajuta kuwaunga mkono marekani...

uk wanamkimbia us kwenye masuala ya misimamo ya amani, sera za us kwa nchi za kiarabu hazijapata matunda chanya zaidi bara la ulaya ndio wanaathirika nazo.
 
Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
Tumechoka kuishi bora tu iwe hivo !
 
Hakuna vita ya tatu ya dunia. Hii ngoma atakayeshinda vita mjini Allepo ndio mshindi. Kwasasahivi Assad regime na it's allies Rusia, Iran wanaelekea kushinda na kunyakuwa mji wa Allepo.

US anakazi ngumu maana hana wapiganaji waliokuwa organized katika uwanja wa mapambano Allepo. Free Syrian Army si imara kama jeshi la Assad linalopata msaada direct kutoka Rusia. Kingine US anaogopa kuyaendea haya mambo kwa pupa maana mwisho wa siku anaweza kumshinda Assad halafu akajikuta anatengeneza "monster" nchi iendelee kuwa kichaka cha terrorists kama ilivyotokea Libya.

Unajua ISIL na hawa wanajiita al-Nusra na vikundi vingine vya kigaidi navyo vinataka kutwaa madaraka na wanategea kama Assad akiondolewa basi na wao wanaweza kujichomeka ndani ya Free Syrian Army na kuibua matatizo mapya. Hapa US analifahamu hili jambo na anafahamu pia mda unavyozidi kwenda ndio Assad anavyozidi kutwaa ushindi.

Russia na Putin wao wanaona fahari wameweza wachallenge West na hii itaipa Rusia credit. Watu watasema Putin is strong president.....pia itakuwa advantage kwa Rusia atazidi kutengeneza influence middle east.
Na urusi ana nafasi kubwa ya kushinda Syria.
 
Trump keshasema kuwa akiwa Rais hataki vita na Moscow.
yule mzee saizi anatafuta tu kukubalika kwanza, maana aliona upepo haumwendei vizuri.
akiishaingia madarakani ndio tutamfahamu vizuri maana mfumo ya utawala kwa asilimia kubwa ataukuta ni uleule, ikitokea akawa raisi tuombe tu apate washauri wazuri wanaofahamu mambo yanavyokwenda, vinginevyo kwa tabia yake ya kuingilia mambo madogo madogo ya watu inaweza ikamcost...
angalia kitu Obama anachowafanyia urusi, wanaweka makubaliano( ya kinafiki) vizuri halafu mmarekani anakuwa wa kwanza kukiuka (kisiri), hataki wenzake waendelee kujishughulisha na mpango wa nyukilia wakati yeye anaenddelea nao kisiri,,, muda wote huu mrusi katilia ujue kuna point mmarekani hajaigusa ili kuiamsha Urusi, na mmarekani anajua hilo na ndio maana anapiga tu kelele kupitia UN, na UN imekuwa mwamvuli wa uovu wa Marekani kwa sababu inapata ufadhili mkubwa kutoka huko.
Sasa siku US wakienda kichwa kichwa, ndio atajua uwezo wa Urusi.
 
A dire and foreboding Security Council ( SC) report circulating in the Kremlin today states that 200,000 Ministry of Emergency Situations ( EMERCOM) specialists of emergency rescue divisions, with about 50,000 units of equipment, have begun evacuating over 40 million Federation citizens to their assigned nuclear protective bunkersat the same time the Ministry of Defense ( MoD) has reported that the Main Command of the Navy ( MCoN) has stationed their atomic weapons subs at their “strike points” alongboth the East and West Coasts of the United States—while Russia media sources are, likewise warning that the “ schizophrenics from America are sharpening nuclear weapons for Moscow”.


Immediately following the Obama regimes breaking off diplomatic relations, and then having their Islamic terrorists attack the Russian embassy in Syria, this report continues, President Putin suspended the treaty with Washington on cleaning up weapons-grade plutonium—with the Foreign Ministry further warning that the Americans had made “ a deal with the devil ” in supporting these Islamic terroristswho have killed tens-of-thousands of innocents and are preparing to kill even more.
With Syrian army troops under the cover of Federation air power systematically destroying the Obama regimes Islamic terrorists, this report says, the US is rushing Assistant Secretary of State for European and Eurasian Affairs at the United States Department of State Victoria Nuland to Moscow this evening who is expected to issue a “ final threat ” against Russia—but that this report makes clear will not even be listened to.

Whatdoesitmean.com
Uwiiii..wapiganapo mafahali wawili nyasi ndio huumia. tumwombe Mungu kupitia mama Bikira Maria atuepushe na janga hili wakuu.
 
Hapa kuna mtu alishashituka mapema sana, akasoma nyakati Mwingereza akaanza kujitoa UE na NATO pia kunafuata nahis, kuingia vitan kwa maslah ya mtu mmoja mmerekan itakiwa risk kwao, wamwache apambane mwenyewe.
Mkuu unaona mbali sana.
 
Marekani anafanya kama alichofanya Libya. Anasupport waasi na terrorists wa Syria na ISIS wanaojifanya kupinga serikali na marekani wanamsaidia kuteka mafuta na mali za Syria. Kwa kubadilishana na silaha na support.



Mtu akiicheki hii video,na kusikiliza Tsar Putin alivyofunguka,atajua ni hatari gani inainyemelea dunia.ZIPIGWE TU.
 
Back
Top Bottom