Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,283
- 13,453
Niambie USA amepigana na nchi gani zaidi ya vikundi na kwakushirikiana na nchi washirika?Issues sio hayafiki, intercontinental missiles zinafika bara lolote, issue ni ku penentrate ndani na kuleta madhara, America wana dome ya kuzuia makombora yasifikie ardhi yao thou sio lazima dome ziwe accurate 100%,Pili nchi za mwenzetu records nyingi zipo wazi ni chache inakua siri ya nchi hasa technology iliyotumika ila number ya vifaa wengi wanaweka ata man power yao, mfano nikuulize swali dogo tu Russia ana aircraft carrier ngapi na America wapi maana nisije kua nina urge na layman
Na ww una uhakika gani kama Russia hana hizo dome za kudefence nchi au anga yake?
Mm kama mm siwezi kuthibitisha uongo au siwez kuthibitisha jambo ambalo sina uhakika nalo mambo ya ndani ya jeshi la Russia au USA siyajui ..
Hicho unachokitetea ww ni ushabiki tu mambo ya ndani ya jeshi la nchi flan sio rahisi kuyajua kama unavyofikir ww ..
Zaidi zaidi ni stor za vijiweni tu